Ndoa ya Kiserikali+ndoa ya Kanisani

Jee kwa sisi waislam ruksa kuoa wake 4 itakuaje?cheti kitakuwa cha mke wa kwanza tuu?hao waliobaki 3 hawana haki ya kupata cheti cha ndoa toka serikalini?
 
Ukiongelea mambo ya kujulikana kwa kutumia majina broda hapo unaongelea kompyuta, , huenda hujatembelea ofisi za serikali kwa mfano kabidhi-wasii, ambako mafaili yamelundikana toka miaka ya 1950, na hakuna mfuatano wa kumbukumbu.
!

Baadhi ya hizo ofisi si za kuingia ukiwa na allergy!
 
Back
Top Bottom