Ndoa ya CCM na CUF yazidi kuigharimu CCM-B

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Hili neno limetumika mara nyingi sana na Mh. Tundu Lisu kwenye mdahalo pale MovenPick na hivyo kuonesha kero kwa Mh. Mnyaa.
 
Ni kweli kabisa CCM- B wamekula chaka hata msemo wao wa "ngangari" hawezi kuutumia tena
 
Yaani hata wajitete namna gani cuf ilimalizwa na magamba hawana ujanja wameishia usemi.
 
Back
Top Bottom