Ndoa nyingi zinavunjika sababu ya abbortion ujanani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Swala sio kupata mtoto swala ni ile damu uliomwaga ama ulishiriki ama ulijaribu kutoa msada
ukisoma somo la damu ya yesu utaona kumbe damu inaongea ...na sishangai hata haya matatizo ya madk wengine ni kutokana na kushiriki kutoa mimba za watu bila kujua madhara ya baadae

ukiwa kama mtarajiwa naomba nikupe ushauri kama ulishiiriki kutoa mimba jitahidi sana sana uombe mungu akusamehe dhambi hiyo ukiingia nayo kwenye ndoa tatizo sio tu kupata mtoto ni ile damu uliomwaga itakunyanyasa kwenye ndoa yako aijalishi uliemwoa ndio alietoa mimba ama ni mwingine

hakuna kitu kibaya kama kumwaga damu ...nimesoma na kupata umuhimu wa kujua kazi ya damu kwa kweli hili ni ushauri tu muwe makini san sana kwa yoyote alieshiriki kutoa mimba ama utapata matatizo kwenye kupata mttoto ama hata ukipata mtoto ndoa yako lazima izungumze na ile damu na moto wake utaujua ..so ni viuri hata kabla ya kuunganisha uhusiano kwenye ndoa mjulishane kwamba mlitoa mimba ama mwenzio alishiriki kuchangia pesa za kutoa mimba gfriend wake wa zamani msali mjitoe na hayo matatizo

mungu awatangulie kwa hili
 
Na inakuwaje kwa mwanaume ambaye ujanani alimpa mimba binti wa sekondari kuambiwa akaruka kimanga ikabidi wazazi wa binti wamsaidie kuitoa?
Na vipi kijana wa chuo anayempa mimba msomi mwenzie akiambiwa anaruka futi mia na matusi juu na mwishowe dada wa watu anaona bora aitoe tu aanze ukurasa mpya,huyu mvulana naye maandiko yanasema nini juu yake?
 
Tupe na utafiti ulioufanya unajua tunapoelekea kila mtu atakuwa mtaalamu kwa mambo ya kufikili.
 
wote mnahusishwa kama ulishiriki katika hilo zoezi kwa namna moja au nyingine..........either ulishiriki kwa mawazo, maneno au kwa vitendo..........

hiyo damu utailipa tu.........tena hapa hapa duniani.
 
Tupe na utafiti ulioufanya unajua tunapoelekea kila mtu atakuwa mtaalamu kwa mambo ya kufikili.
hili ni swala la imani mkuu...........ndo mana amekwambia kama kitendo hiki kilitokea basi umuombe mungu akusamehe hiyo dhambi........sasa hauoni kama iko kiimani zaidi.
 
Bishanga leo nimekukubali; kumbe alhamisi jioni unakuwaga na busara.
 
Last edited by a moderator:
hili ni swala la imani mkuu...........ndo mana amekwambia kama kitendo hiki kilitokea basi umuombe mungu akusamehe hiyo dhambi........sasa hauoni kama iko kiimani zaidi.
Imani kwa hiyo mtu kama huna imani swala hili halikuhusu tell me.
 
Mungu wasamee wote walioshiriki haswa wa hapa jamvini! Na zikemea thread zote za kuachwa kwaajili ya kukosa mtoto, zikashindwe na zisionekane hapa!

Wadada wote wa hapa kama wakina naniiii..................... Mmepokea uponyaji

Amen
 
wote mnahusishwa kama ulishiriki katika hilo zoezi kwa namna moja au nyingine..........either ulishiriki kwa mawazo, maneno au kwa vitendo..........

hiyo damu utailipa tu.........tena hapa hapa duniani.
kabisa sister tena hata kabla ujafika uko unapojipa moyo ukifa ...baibo inasema hukumu baada ya kifo sasawe unasubiri kutubu baada ya kufa shauri zako
 
Wakati nakaribia kuoa nilifundishwa kitu kimoja na mtumishi wa Mungu
Chukua karatasi andika majina yote uliowahi kutembea nao aijalishi umejaza pge chana karatasi nyinge andika wote tena vizuri kama una kumbukumbu ya majina ya wazazi wao ...nnenda sehemu omba yakemeee kemea laana za familia zao mateso ya familia zao else nakwambia ukioa unaweza jua umeoa mkeo kumbe una wake wengi ndani yako na kichapo chao kichapo chako so mume makini sana usikimbilie tu kuoa ukahisi unamaliza matatizo yako ya maisha jikane ujitoe na uzinzi na ndio maana wengi wanaoa ama kuolewa wakiwa kwenye ndoa bado wanazini sio wao n yale maspirit waliokutana nayo
 
Back
Top Bottom