Ndoa ni ushahidi wa kutokuaminiana katika mahusiano

mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.
<br />
<br />

Ndoa na harusi ni vitu viwili tofauti!

Nakubaliana na wewe, kuwa kufunga ndoa ni kuhalalisha uhusiano wenu na kujukisha kuwa mtu wa tatu haruhusiwi so ni ownership waweza ita dalili ya wivu!

Lakini sio lazima harusi ifanyike; ndio maana sheria ya nchi inatambua ndoa pale watu wawili wameishi pamoja kama mke na mume kwa miaka 2 na zaidi!

Watu huoana ili kuanzisha familia. Iwe yenye watoto au Yao wawili tu! Na mara nyingi hupaswa kutokea baada ya mapenzi ya ukweli kiasi kwamba kila mtu anaona kwa kipindi hicho hawezi ishi bila mwenzake au kuwa mbali na mwenzake!
 
Back
Top Bottom