Ndoa ni suluhisho la tatizo la umiliki wa nyumba ndogo?

bbukhu

Member
Feb 25, 2012
58
1
Ndugu wanajamii wa jamiiforum mimi ni mwanachama mpya.

Leo naleta mbele yenu hii mada tajwa hapo juu.
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wengi wakisema kuwa ili kuepukana na kuwa na uhusiano na wanawake au wanaume wengi basi hatuna budi kuingia katika ndoa. Lakini cha kushangaza ni kwamba sasa hivi ndoa imeshindwa kutatua tatizo la wanaume na wanawake walioko kwenye ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wengine walioko nje ya ndoa. Je, ni kwa nini? Mbona ndoa haijasaidia wanaume na wanawake kuanzisha nyumba ndogo?
 
kwa sababu nowadays upatikanaji wa k umekuwa rahisi sana...ukiwa na upenez unaweza pata any time....na pili matamanio yapo mengi...wanawake utangaza uzuri wao wazi wazi
 
Marriage is an institution of the blind......teh teh teh! Nyc weekend folk!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom