Rog3rz
Member
- Jun 21, 2012
- 44
- 26
Mme anasema, "nikiwa na shida, ki ukweli huwa natoa
picha
yako kwenye wallet yangu na kuiangalia. shida zote
ghafla hupotea! "Mke akajbu, "mmh, sura yangu ya
kupendeza humfanya mtu hadi anasahau shida zake.
"Mme nae akajibu, "sio hivo sweety. nikiangalia pichayako, huwa najiuliza, ni SHIDA GANI KUBWA KULIKO
HII!!!!"
Hehehe Amakwelii