Ndoa mbili ni ndoa au doa??? Ushauri

dah! Kwakwel mm nilizan ni mwaume 2 ndo 2nauwezo wa kuoa mara mbil au zaid kumbe hata mwanamke anaoa mara mbil duu! Kwel dunia imekwsha sasa sikia nivzur ukamuacha mana kama hatak kusikia sasa hv msubili akisha shndwa ndo umsaidie ila ni vzur umshaur amuache mume wa pil mana yeye anajua michonjo yote
 
sikubali niaibike nami niseme....junior member hapaa...je huyo dada ni mhindi wa kule kaskazini mwa india ambapo licha ya civilization ya dni na mashirika mbalimbali bado wanang'ang'ana na ndoa ya mke mmoja na wanaume zaidi ya wawili okey labda faraja tofautitofauti au kama sio mhindi basi kaiga mila tofauti na sheria za dini na nchi naomba mmwache jamani maana wapo watu ambao wanataka kufanya mambo tofauti na wengine ili mradi tuone vituko....tu.
 
ipo siku huyo m.me atashtuka tu,huwezi kumdanganya m.me kwa muda mrefu hivyo.hata awe zoba kiasi gani.za mwizi arobaini,au huyo mwanamke ndio mlishaji kwa huyo mume ambae hajui?na hiyo si ndoa,huyo mwanamke anaidanganya nafsi yake

Kisukari itakuwa umepitia M.A.V....na unakufahamu Changarawe..hehe,wanaojua na kutumia neno mlishaji tunafahamiana.
Kwema lakini?
 
Kisukari itakuwa umepitia M.A.V....na unakufahamu Changarawe..hehe,wanaojua na kutumia neno mlishaji tunafahamiana.
Kwema lakini?

mmh,kwa kweli huko unakokusema sikufahamu kabisa.na sijaelewa ulivyoandika M.A.V,jee umemaanisha nini?.
 
Thanks. Kusema "Mlishaji" una maana gani?? Sidhani kama atabanwa na huyo mume>>> alishatengeneza mazingira ambayo mume wake wa kwanza anamwamini tu.

mlishaji,maana yake huyo m.ke ndie anamlisha huyo m.me asiejua kinachoendelea.mara nyingi w.me ndio wajanja kwa mambo hayo.kumbe hata na w.ke nao wapo?
 
mmh,kwa kweli huko unakokusema sikufahamu kabisa.na sijaelewa ulivyoandika M.A.V,jee umemaanisha nini?.

M.A.V=Mzumbe Academic Village,kwa sababu kuna Mzumbe nursery school,Mzumbe Pr School,Mzumbe Sec School,Mzumbe University...hence the academic village.

Vijana wengi walikuwa wanatumia hilo neno mlishaji....,yaani ukifanya sivyo unaitwa mlishaji .
 
hapana,elimu yangu yote nimeisomea dsm,na nimedonoa donoa kidogo nje ya nchi
 
Nimempa ushauri ila amesema, atacheza kotekote na anajua mume wa kwanza hawezi kumgundua. Amesema, unajua PMNBuko, huko kwa wa pili kuna utamu hasa, na siwezi kuacha. Japo hata wa kwanza ananipa ila siko tayari kuacha nafsi yangu iteseke bure kwa kumwacha.
 
Huyu Mke mwenye wanaume wawili sasa maji yamemfika shingoni. Jana Jumapili alikwenda kulala kwa mume wa pili kwa kuaga kuwa anakwenda kwao kukaa siku 3. Kumbe mume wake kakodi pikipik kamfuata nyumba hadi kwa mume wa Pili, ni kama kilometa 30 hivi. Hakuingia ndani, aliishia nje, lakini leo kaamua kumbana kweli. Amenipigia simu kuniomba ushauri. Nimemwambia achana na mume wa pili. Bado yuko njia panda. Anadai, anatafakari!!!
 
Mwehu huyo dada anatakiwa akaombewe kwa kwa nabii flora
 
Kimsingi ndoa ya pili haijawahi kuwepo.......
Ila kisa kimekaa kama cha kufikirika....
 
Back
Top Bottom