Ndoa kazi...!

Hahaha mleta mada wewe mchokozi kweli....!!
Yani mumewe na mdada kaishiawa kakuomba wewe laki lakini huna......!!
Ukacheki akaunti ya mke wa jamaa ukakuta imenonana......!!
Ukamuomba mke wa jamaa akukopeshe laki.......!!
Na hiyo laki ukampa mme wa mdada......!!
YAANI WEWE UMEJITUMIA KAMA PITISHIO LA HELA TOKA MFUKO HUU WA FAMILIA KUINGIA MFUKO MWENGINE WA FAMILIA.....!!!
Haya hongera bhana..............!!
 
hujaelewa nini bana ni hv kuna jamaa ana mke ,mke anafanya kazi benki na huyu mleta mada. ni rafiki yao
mke wa huyo jamaa yupo maternity leave huyo jamaa akamuomba mleta mada amkopeshe laki.muda huo huo jamaaanaomba laki mkewe ambae yupo likizo akaomba kwa mleta mada aangaliziwesalio kwenye a/c kumbe mkwanja upo wa kutosha..mleta mada akaomba akopeshwe laki kwa mke wa huyo jamaa akapewa
wewe unaona nini hapo?
Sasa hapo ndio nimekuelewa vizuri sana wangu.
Sometimes hivi vichwa vyetu vinakuwaga vizito kutokana na stress ndugu yangu, nisamehe bure.
 
hapana mkuu sio wote wengi..hata huku wapo wanajifanya hawana time na mshahara wa wake zao eti kama sio uboya ni nini? unataka apeleke wapi? kama sio ataishia kukudhalilisha nazo? tafuta ushirikiano

Smile yawezekana pia hizo pesa kw acc ya mkewe zikawa sio za mshahara...Pili kama yale ya msingi tuliyokubaliana (cost sharing) kulingana na vipato vyetu ivi haya ya kuanza tena kupekenyua acc yake na kufuatilia sana hata ka annual increment sioni kama ni sawa.
 
hapana mkuu sio wote wengi..hata huku wapo wanajifanya hawana time na mshahara wa wake zao eti kama sio uboya ni nini? unataka apeleke wapi? kama sio ataishia kukudhalilisha nazo? tafuta ushirikiano

bora umerudi taratibu niltegemea ureact nikutafutie ban ila Smile kaaukijua si wanaume wote waumizaji wa wanawake jifikirie uanze upya dogo!
 
Last edited by a moderator:
Bado hayajawahusu

Dume zima limekalia umbea hadi kumkopa wife wa watu kujithibitishia tu umbea wake

Ovyoo
hajamkopa bwana kamsaidia kutoa hela kwenye a/c yake vile yupo likizo na kumpa mumewe wakatumie
 
leo wanaume mbona mtakoma humu!naona kimenuka kwenu toka asubuhi!poleni mwaya.
 
Bado hayajawahusu

Dume zima limekalia umbea hadi kumkopa wife wa watu kujithibitishia tu umbea wake

Ovyoo

ha ha ha....ticha....unataka kusema hawa ni wale wakikukopesha mtaa mzima utajua.....?
 
ha ha ha....ticha....unataka kusema hawa ni wale wakikukopesha mtaa mzima utajua.....?

Kisha kajileta hapa mikono inamuwasha, hata kuandika vizuri akaeleweka kirahisi hawezi, kisa kusambaza umbea wa wenziwe!

Mtu wa hivi, lake hulipati, anashabikia ya wenziwe asiojua mikataba yao ilivyo ......"yao wao duu, yawenzao midomo juu"
 
hajamkopa bwana kamsaidia kutoa hela kwenye a/c yake vile yupo likizo na kumpa mumewe wakatumie

Kama alikuwa hana pesa alikuwa amuambie huyo mume (shemeji) mapema kuwa hana pesa.

Hichi alichokifanya ni umbea kwa mambo yasomhusu
 
Una access na account ya mke wa mtu?? Hapo najiuliza... Kwenye RED nadhani ulikusudia kuandika LEAVE...

Hiyo ni kawaida sana kwa watu wanaofanya kazi benki,huwa tunawaomba watuangalizie salio.
 
Ya nini ajue account yangu ina nini cha muhimu chakula ndani kipo anatekeleza wajibu wake wa kulipa ada ya watoto,na kutengeneza miradi ya familia ambayo wote tunatakuwa tunaendesha,kaninunulia mkewe gari na nyumba amejenga i dont nd to know abt his account nor he should know mine dears
 
Smile yawezekana pia hizo pesa kw acc ya mkewe zikawa sio za mshahara...Pili kama yale ya msingi tuliyokubaliana (cost sharing) kulingana na vipato vyetu ivi haya ya kuanza tena kupekenyua acc yake na kufuatilia sana hata ka annua increment sioni kama ni sawa.

I stand to be corrected ndugu Mkirua,

Ila kwa wanandoa kutoelezana vizuri au kufichana taarifa za kifedha ni jambo la hatari!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kusema kweli hii stori sijaielewa hata kidogo.
Humo kwenye red ndio imenichanganya zaidi.

mi nimemuelewa,ni hivi,yeye kamkopesha mume wa staff mwenzie(ambae ni rafiki ake) laki moja,lakini huyo staff(mwenye mume aliekopa) anahela kwenye account yake.nae akamjaribu kumkopa huyo rafiki/staff mwenzie laki,na akapewa.Sasa kwa nini rafiki ake/staff hakumpatia mumewe laki moja mpaka mume wake anaenda kukopa kwa mtu mwingine?na ameweza kumkopesha shosti lakini sio kumpa mume wake!!
 
Back
Top Bottom