Ndoa kati ya ccm na cuf yaingia nyongo

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Ilikuwa baada ya uchaguzi wa mwaka jana,pale ambapo Chama cha wananchi{CUF} kilipo amua kuingia kichwakichwa
kwenye ndoa ya mkeka na CCM.Bila kutambua mtego uliokuwa mbele yao,MAALIM na wenzake walifurahia kuingia ikulu ya ZNZ,
huku katika bunge la muungano mh.HAMAD na wenzake walikazana kujipendekeza kwa mume wao kwa kushambulia vyama vingine vya upinzani hususani CHADEMA!
Sasa wake hawa wenza wamebaki kuparuana wenyewe!
Yuko wapi mwenye nyumba{CCM} awasuluhishe?
NCCR nao nahc karibu wataelekea hukohuko,kwan KAFULILA na MBATIA ni vibaraka wa ZITTO&CCM.
Hili liwe onyo kwa vyama vingine kufanya ushirika na magamba{CCM}
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
:shetani:
 
mbona hueleweki, naona upo kishabiki zaidi kwa kutegemea upongezwe na chadema, hili jukwaa mpaka tusio na vyama tumo so lete habari yenye mashiko sio tu na wewe uonekane umeanzisha thread, habari za ccm na cuf kuhusu ndoa zao tushadili vya kutosha humu, nccr mpaka saivi unaweza kwenda kuchangia, usikurupuke na kujaza upupu wako.
 
Ukiona mbwa analia kwa uchungu ujue jiwe limempata sawasawa!
 
hapana kaka lengo ni kukusaidia upeo wako wa kufikri ili kesho usichekwe mbele za watu, hata hao wapenzi wa ccm, cdm etal wanasimamia fact na sio upepo tu, kwa mfano, kwa mujibu wa thread yako umeshindwa kuelezea mvutano au iyo nyongo iliopo baina ya iyo ndoa yao, vilevile chanzo umekitoa wapi, mkuu sio kama skupendi najaribu kukusaida, wala sina tatizo na wewe kua mfuasi wa chama fulani ndio mana huoni mtu kuchangia hapa zaidi ya wanaopita njia na mimi kukupa somo.
 
Thank you bro,I hope I have a long way to go!Hata hivyo,nadhani wanaopita pia wanapata idea yangu,na hivyo kufanikisha kufikisha ujumbe.
 
mbona hueleweki, naona upo kishabiki zaidi kwa kutegemea upongezwe na chadema, hili jukwaa mpaka tusio na vyama tumo so lete habari yenye mashiko sio tu na wewe uonekane umeanzisha thread, habari za ccm na cuf kuhusu ndoa zao tushadili vya kutosha humu, nccr mpaka saivi unaweza kwenda kuchangia, usikurupuke na kujaza upupu wako.

Wewe kutokuwa na chama ndo asiweke mambo ya vyama humu? Kama wewe umeona huu ni upupu na sisi tukisema umepost uharo humu tutakuwa tumekosea?
 
hapana kaka lengo ni kukusaidia upeo wako wa kufikri ili kesho usichekwe mbele za watu, hata hao wapenzi wa ccm, cdm etal wanasimamia fact na sio upepo tu, kwa mfano, kwa mujibu wa thread yako umeshindwa kuelezea mvutano au iyo nyongo iliopo baina ya iyo ndoa yao, vilevile chanzo umekitoa wapi, mkuu sio kama skupendi najaribu kukusaida, wala sina tatizo na wewe kua mfuasi wa chama fulani ndio mana huoni mtu kuchangia hapa zaidi ya wanaopita njia na mimi kukupa somo.

Angeelezea kote huko ambapo wengi wanajua habari ingekuwa ndefu sana na ingewabore wasomaji
 
Hivi lipumba alienda wapi? Mbona simsikii hata kuliongelea hili suala la ZNZ?
 
Back
Top Bottom