Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Hao wazazi wa kijana nao ni taahira.
Hukumu inawangoja na watajuta kwa hicho kitendo!
Hao wazazi wa kijana nao ni taahira.
wabongo kwa kujua mambo ya wenzao ni namba moja
Una uhakika gani kuwa walimtengeneza ili wafanikiwe?
Mtu akitajirika na mwanae mmoja mlemavu wa akili basi inakuwa nongwa.
Nani anaweza thibisha kuwa wamemtoa ndondocha,ulemavu wa akili ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Unaweza zaliwa nao au ukakupata ukubwani.
lets change this mentality.
OTIS
si wanasema kuna wachungaji wanaweza kuwaombea na wakapona?
kwa jinsi maisha yalivyo
nina uhakika vibinti vitajitokeza tu vipate mteremko lol
Hapa ngoja nipite tu kwa jinsi nilivyo na hasira naweza jaza watu hapa!
Mimi nina mtazamo tofauti:wana jamvi wenzangu, kuna jirani yangu hapa anamtafutia mwanae wa kiume mchumba. Kijana mwenyewe ni taahira but kwa tetesi hali hii aliipata ukubwani tena baada ya wazazi wake kutaka utajiri hivyo wakamtoa mtoto awe ndondocha. In real ni matajir sana ila situation iliyopo ni kwamba hakuna mfanyakazi anayetaka kumuhudumia tena huyu kaka ambaye ana miaka 26 sasa. hivyo solution ni kwa yeye kuozeshwa mke tu.
wazazi wamemjengea nyumba kubwa sana na nzuri na pia this week wamemnunulia gari toyota Alexus rangi nyeusi. mama kwa kuwa anazo katangaza dau hapa mtaani kwa binti yeyote atakaye kubali kuolewa naye. swali najiuliza hivi kweli hawa wazazi waliwaza vizuri wakati wanyafanya haya? je sisi wengine tunajifunza nini hapa? utajiri huu wa madudu bora niwe maskini tu.