Ndoa inapokuwa ni ya ndugu na wazazi………………

mimi huamini wadada wanao olewa na wanaume wenye kutoka familia tajiri
hujuta.......

mwanaume atafute pesa yake mwenyewe,ajue shida na umasikini ukoje
ndo anakuwa kakomaa.
hao born with silver spoon in their mouth,hawawezi majukumu mengi,hata ya kitandani pia ni wachovu lol
kwa sababu hawajui kuwa rejected au kutokubalika inakuwaje
uki experience hivyo vitu,lazima ujifunze to up your game....na also how to humble sometimes
Ni kweli kabisa, kuna raha sana
kuwa na mahusiano na mtu aliyepitia ugumu wa maisha
pia huwa wanajua kuthamini mtu

Kweli kabisa mkuu maana kuna wanaume wamewaachia mama zao waongoze nyumba zao mpaka huruma

ninapenda mwanaume mwenye msimamo kwa kweli, kuna dada angu mumewe alikuwa anaambiwa na dada

ake eti kilaukifika nyumbani tu unaenda kukaa chumbani na mkeo, na sie tunataka kuongea na wewe

yule shemeji alimjibu kama unamwona anafaidi kuongea na mimi njoo na wewe tuongee, ilikua kesi kubwa

lakini meseji ilifika wakakoma, sasa dada anaishi kwa amani

Dah,aliwaweza aisee.

Back
Top Bottom