ndoa inanishinda nipen mawazo yenu

yey ana miaka 45 yaani kwake ndiyo kumekucha na visichana ananiboa mpaka basi,

NAtamani niwe wewe ili nikusaidie maana najua wanawake wengi wanaogopaga sana kufanya maamuzi ya kusimama wenyewe......... ila nakuambia tafuta ustaarabu wako na hutojuta kamwe!!!!!!!!!!!!!! mwache ajirushe fainali uzeeni
 
Kwa issue kama yako nisingefikilia mara mbili,hivi huyo mama anayekwambia uvumilie na ukipata gonjwa atakusaidiaje ?Ataweza hata kumlea mwanao wote mkiondoka ?
Yameshamfika haya ??

"A great marriage is not when the 'perfect couple' come together. It is when an imperfect couple learns to enjoy their differences.":bounce:
 
yey ana miaka 45 yaani kwake ndiyo kumekucha na visichana ananiboa mpaka basi,

mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 23
nina mume ambaye nipo nae kwa miaka sita na nimezaa nae mtoto mmoja

kamtumia binti fulani pesa kwa njia ya m-pesa

upande mwingine huyu mume wangu ananijali na familia kwa ujumla lakiniatatizo ni umalaya,
natamani hata nitoke nje coz na mm najijua ni mzuri bado nafikiria nahitaji mawazo yako.

Kwa mahesabu ya haraka haraka alikuoa akiwa na MIAKA 39, wewe ukiwa 17..
Kutokana na quotes hizo juu ninashawishika kusema huenda huyu mumeo ana UCHUMI mzuri kiasi cha kutuma pesa kama anavyojisikia,
Na pia inaonesha familia yako pia ipo mkononi mwake.

Kama ulikuwa na miaka 17 wakati unaolewa inawezekana hukufika chuo (labda alikusomesha, sijui), Nasema hivyo kwa sababu utakapoamua kuondoka utajitegemeaje? nani atakulelea mtoto wako?
Simaanishi kwamba ubakie tu kwa sababu wewe ni maskini, la hasha.. isipokuwa huyo jamaa ni 45, kama utamtia PRESSURE ya kutosha nafikiri anaweza kuja na msimamo mzuri
 
mwanaume kuwa malaya sio tiketi ya mwanamke kutoka njee!
Hapo ukitoka nje ya ndoa watakulaumu.................???? Sitetei uzinzi lakini kwa hali hiyoo mmmmhhh inakuwa ngumu mwaya.......

Ila ushauri wangu ni kwamba VUMILIA mpaka mwisho wa dahali mwanamke hakati tamaa wala kuchoka....................POLE DEAR.............

SIRUHUSU MASWALI KWA HILI
 
NAtamani niwe wewe ili nikusaidie maana najua wanawake wengi wanaogopaga sana kufanya maamuzi ya kusimama wenyewe......... ila nakuambia tafuta ustaarabu wako na hutojuta kamwe!!!!!!!!!!!!!! mwache ajirushe fainali uzeeni
nawe mama d unataka kuvunja ndoa ya mwenzio,unafikiri aliyemshauri AVUMILIE,alikua mjinga kuliko wewe?
 
45 na 23?Mzee huyo kama ni pesa inayokuweka hapo dada angalia isije ikakuua!Mwenzio ujana wake alikula na wengine na bado uzee hakuhusishi alafu bado upo?Angekua kijana tungesema bado utoto unamsumbua...ila kwa umri huo ni kwamba anakutumia na kukunyanyasa kwasababu anaamini huna choice nyingine zaidi yake!Kaa sawa...jipange alafu kimbia!
 
nashukuru sana kwa ushauri wenu siyo kwamba huyu baba nampenda tena kiviile coz tabia zake nimezichoka,,hapa natafuta njia za kuachana nae lakini nashindwa nianzie wapi kwan mim nimuoga cana na wala cjawahi kumueleza mama yangu wala ndugu zangu matatizo niliyonayo kwa sababu mimi huwa ni muoga sana kusema matatizo yangu kwa watu,, naomba kama kuna mama au mdada au mtu yyte anayeguswa na mm anipe mbinu za kufanya ili niachane nae kwan me mwenyewe nashindwa,,email yangu ni salome_kayombo@yahoo.com
 
MISS NORA POLE SANA MDOGO WANGU,
Maoni mengi yametolewa,
YAPOKEE NA CHANGANYA NA AKILI YAKO ILI UPATE MUAFAKA WA TATIZO LAKO.
POLE SANA.
 
habari wana jamii forms, napenda mawazo yenu na michango mnayotoa humu,,mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 23
naomba msaada jamn,nina mume ambaye nipo nae kwa miaka sita na nimezaa nae mtoto mmoja, kiukweli huyu kaka ni malaya cna kutokana na tabia yake hapo nyuma kwani aliowa wake 2 kabla yangu na wakaachan akidai hawafai walikuwa na tabia mbaya

ameshanisaliti mara nyingi sana mpk sasa na ushahidi nikapata lkn aliomba msamaha coz nlikuwa bdo nampenda tukaendelea na maisha,,

hivi sasa kanikataza kushika simu yake yaani tunagombana kila siku, kuna siku nilikuta kamtumia binti fulani pesa kwa njia ya m-pesa nilipomuuliza ni nani tuligombana cna akadai ni mama wa mtoto wake,, lakini nilichunguza nikakuta ni uongo kwani namba ya mzazni mwenzake naijua na hawezi kumuita mpenzi kwani huyo mzazi mwenzake keshaolewa,,

nilimpigia huyo binti nikamuuliza yeye ni nani lakini matokeo yake alinitukana akaniambia sijaona wanaume nini???akasema yy hakumtongoza mume wangu bli mume wangu ndiye aliyemtongoza kiukweli niliumia cna nikalia mpaka nikachoka,,nikataka nirudi kwetu lakini nikaenda kwa mama mmoja rafiki wa familia akanishauri nisiondoke nikae nivumilie,,
kwa upande mwingine huyu mume wangu ananijali na familia kwa ujumla lakiniatatizo ni umalaya,,
natamani hata nitoke jne coz na mm najijua ni mzuri bado nafikiria nahitaji mawazo yako.

Hpo kwenye red, usithubutu ndugu kutoka nje ya ndoa, ushinde ubaya kwa wema, we endelea kuvumilia tu kuna siku Mume wako atabadirika tu. Pia Muombe sana Mungu bila kuchoka. Yeye ni mwaminifu atasikia kilio chako. Polle sana dada.
 
uvumilivu ndiyo lakini kwa kipindi hiki chenye magonjwa ni bora kuepuka mapema kabla hujalikwaa gonjwa, mbona wanawake tunaweza bwana sema basi tu jamani mtu akizidi bora kujivua mapema.
 
lakini mumeo kama ukimkamata anakuomba msamaha inaelekea anakupenda hilo ni pepo tu la uzinzi linamsumbua, Muombe mungu kwa bidii pia.
 
huyo hakufai kwa kuwa kama una miaka 23 alikuoa ukiwa @17. alikubaka na anapaswa kushtakiwa. pili, ukiwa tayari kutoka nje unijuze. swala la umalaya ni hatari muulize kama huwaga anatumia condom na ikiwezkana utest hiv na yeye pia. kama mko neg ataogopa kutoka nje. ila usisahau kunijuza ukianza kale ka mpango ka kumuvu auti.

Mkuu hapo kwenye red nadhani unapaswa ukapitie tena sheria ya ndoa uone kama uko sahihi
 
habari wana jamii forms, napenda mawazo yenu na michango mnayotoa humu,,mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 23
naomba msaada jamn,nina mume ambaye nipo nae kwa miaka sita na nimezaa nae mtoto mmoja, kiukweli huyu kaka ni malaya cna kutokana na tabia yake hapo nyuma kwani aliowa wake 2 kabla yangu na wakaachan akidai hawafai walikuwa na tabia mbaya

ameshanisaliti mara nyingi sana mpk sasa na ushahidi nikapata lkn aliomba msamaha coz nlikuwa bdo nampenda tukaendelea na maisha,,

hivi sasa kanikataza kushika simu yake yaani tunagombana kila siku, kuna siku nilikuta kamtumia binti fulani pesa kwa njia ya m-pesa nilipomuuliza ni nani tuligombana cna akadai ni mama wa mtoto wake,, lakini nilichunguza nikakuta ni uongo kwani namba ya mzazni mwenzake naijua na hawezi kumuita mpenzi kwani huyo mzazi mwenzake keshaolewa,,

nilimpigia huyo binti nikamuuliza yeye ni nani lakini matokeo yake alinitukana akaniambia sijaona wanaume nini???akasema yy hakumtongoza mume wangu bli mume wangu ndiye aliyemtongoza kiukweli niliumia cna nikalia mpaka nikachoka,,nikataka nirudi kwetu lakini nikaenda kwa mama mmoja rafiki wa familia akanishauri nisiondoke nikae nivumilie,,
kwa upande mwingine huyu mume wangu ananijali na familia kwa ujumla lakiniatatizo ni umalaya,,
natamani hata nitoke jne coz na mm najijua ni mzuri bado nafikiria nahitaji mawazo yako.

Miss nora kwanza nakupa pole mpenzi lakini pia nakupongeza kwa kuvumilia...........Miaka sita kweli wewe ni mwanamke unayestahili pongezi ndugu yangu yaani nyie mko wachache sana mpenzi nakuomba usiiiharibu hiyo sifa. Ni wanawakek wachache sana wenye uvumilivu kama wako dada.

Unajua nafikiri tunapokutana na wenzi wetu ni vema tukawa na vichwa vya ziada vya kufikiria...............na huwa twaambiwa kuwa wote tuna nafsi tatu... Mimi nilionavyo, mimi wanionavyo wengine na mimi nilivyo kikwelii.........sasa tunapotokea kupata nafasi ya kujitetea, mimi kama mimi sitazungumzia mimi nilivyo kikweliii wala watu wanionavyo bali nitazungumzia mimi nilivyo kwa jinsi nijionavyo. Huyu Mumeo hukutakiwa kumwamini alipokuwa anakwambia kuwa wake zake ndo waliokuwa wakorofi...unless umepata the other side of story. ...........Nway hilo lishatokea tuachane nalo

Nakuuliza tu Miss nora....unatamani kutoka nje..huko nje wenda fata nini? Maana kwa maelezo yako umesema mumeo anakujali sana......tatizo ni umalaya........ungekuwa hujaliwi ningeelewa but anakujali na kukutimizia haja zako tatizo anagawa tu iyo peremende............so huko nje unakotamani wewe wafata nini mpenzi wangu??

Nakuomba dont step that low kwa kulipiza kisasi cha kujinga I am telling you siku ukinaswa....makosa ya mumeo yote utayabeba wewe na atasafishwa kwa maji yakuchafuayo wewe. Hawa viumbe si wa kubishana wala kushindana nao (kumbuka wanatoa sie twapokea! Hutakaa utakasike ukijulikana.

Ukitaka kuamua amua kimoja................quit that relationship but not mixing.

A tip: Siku nyingine do not confront mwanamke mwenzio unayefikiria ana mahusiano na mumeo.........................deal na mumeo
 
yey ana miaka 45 yaani kwake ndiyo kumekucha na visichana ananiboa mpaka basi,

Kwa age yake he should be so confortable with a young lady like you. That tells me, there might be something missing kwa upande wako.
Huyu mbaba angekuwa na wife mwenye 43yrs tungeweza kusema he is after damu changa.

Naamini kuna kitu unakifanya ambacho kina-fuel hiyo hali. Otherwise kama unadhani umefanya yote yanayowezekana hapo huna jinsi FUATA MOYO WAKO.
 
habari wana jamii forms, napenda mawazo yenu na michango mnayotoa humu,,mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 23
naomba msaada jamn,nina mume ambaye nipo nae kwa miaka sita na nimezaa nae mtoto mmoja, kiukweli huyu kaka ni malaya cna kutokana na tabia yake hapo nyuma kwani aliowa wake 2 kabla yangu na wakaachan akidai hawafai walikuwa na tabia mbaya

ameshanisaliti mara nyingi sana mpk sasa na ushahidi nikapata lkn aliomba msamaha coz nlikuwa bdo nampenda tukaendelea na maisha,,

hivi sasa kanikataza kushika simu yake yaani tunagombana kila siku, kuna siku nilikuta kamtumia binti fulani pesa kwa njia ya m-pesa nilipomuuliza ni nani tuligombana cna akadai ni mama wa mtoto wake,, lakini nilichunguza nikakuta ni uongo kwani namba ya mzazni mwenzake naijua na hawezi kumuita mpenzi kwani huyo mzazi mwenzake keshaolewa,,

nilimpigia huyo binti nikamuuliza yeye ni nani lakini matokeo yake alinitukana akaniambia sijaona wanaume nini???akasema yy hakumtongoza mume wangu bli mume wangu ndiye aliyemtongoza kiukweli niliumia cna nikalia mpaka nikachoka,,nikataka nirudi kwetu lakini nikaenda kwa mama mmoja rafiki wa familia akanishauri nisiondoke nikae nivumilie,,
kwa upande mwingine huyu mume wangu ananijali na familia kwa ujumla lakiniatatizo ni umalaya,,
natamani hata nitoke jne coz na mm najijua ni mzuri bado nafikiria nahitaji mawazo yako.

Kwenye red hapo! Ni Jamiiforums siyo Jamii forms.

Ushauri wangu: Kwanza pole dada, Kuwa na ujasiri,
(1)ongea naye huyo jemba asikutishe na wala usihofu kupoteza mume!
(2)Jaribu kumbadirishia pia mapigo kwenye majambozi,
(3) Jaribu kama unaweza, kujua anapenda nini zaidi huyo mmeo na nini anafuata huko anapotoka ya ndoa harafu uone, wakati mwingine wewe mwenyewe umeridhika, umeacha kujiweka kama ulivyokuwa kabla hujapata mtoto, au umekuwa siyo mbunifu au hufanyi homework zako vizuri dada au kuna kitu kinamkera mmeo. Wewe mchunguze tu, kuna kitu kinamfanya aende nje. Unaweza kuta mashine yako ni tamu, lakini jinsi unavyoiweka/kuitunza/unavyojiweka mwenyewe haimpi radha fulani.
 
Kwa age yake he should be so confortable with a young lady like you. That tells me, there might be something missing kwa upande wako.
Huyu mbaba angekuwa na wife mwenye 43yrs tungeweza kusema he is after damu changa.

Naamini kuna kitu unakifanya ambacho kina-fuel hiyo hali. Otherwise kama unadhani umefanya yote yanayowezekana hapo huna jinsi FUATA MOYO WAKO.

Yeah RealMan nadhani kuna ujumbe kwenye post yako........kwa kuwa amesema kuwa ni malaya sana it seems ana wanawake wengi............so Miss nora hebu chunguza type ya wanawake mumeo anayopenda kuwa nayo then kuwa wewe......... unajua sometimes tunatakiwa kujifanya machizi kwa kile tukipendacho.......mama kama anapenda mini mamito piga mini yako, kama anapenga 'uchangamfu' kunako hebu jivue umakini bana kule kusiwe kama ofisi ya Waziri mkuu pale Kivukoni.

If you love him, go an extra mile but remember to take your head with you.
 
Bado hujamaliza ku-pack mizigo yako tu? Beba mwanao uondoke faster tena macho makavu maana hastahili hata machozi yako. Ile kuacha wawili ilipaswa ikustue ila huwezi kurudisha muda nyuma,achana nae sasa kabla hajakuletea maradhi.
 
Ennie mamma..miaka sita pamoja aondoke hivi hivi tu pasipo kujaribu kurekebisha?? Asa anaenda wapi??
Kwa jinsi nilivyomwelewa yeye yuko soft.............. anamwuliza mumewe kwa nini unanitenda wakati machoni kajaa machozi........
 
Pole sana, since umeweka email yako nitakuemail , nijaribu kukusaidia...ushauri wangu:
Kama huyu bwana anatoa hela bila shida na wewe hujasoma, muombe uende nje kusoma na mwanao walau first degree afund kila kitu...
Kama nje ni shida tafuta shule hapahapa , so u r busy with sth, naomba usiendelee kukutana naye kimwili, the most u can get out of this is quality education, mengine nitakuadvice, kama una ujuzi wowote na huna kazi, nipm nitakusaidia

Eng Nsiande
 
Back
Top Bottom