ndoa inanishinda nipen mawazo yenu

lakini bado nipo na wewe hii case yako ni moja kati ya case kumi za cheating ambazo nimesikia,ivi unawezaje kujustify cheating it is not acceptable at all unaonekana huoneakani umekamatwa hujakamatwa bado risk ya kupata magonjwa ipo pale pale.

Laiti kama tungekuwa tunajua tunavyo safiri leo tutapata ajari basi tungekuwa tunahailisha safari na kusafiri siku ingine.
 
Mwanamke anavumilia ila mwanaume havumilii...hata mama ako hili analijua ukienda Pasaka muulize.

naelewa kabisa kabisa, hata yeye alivumilia yakamshinda, alikuwa na mume kama huyu huyu, yalimshinda akanyanyua mikono juu akatulea wanae...so naelewa ataniambia/anatuambia tuwe tunackiliza mioyo yetu na uvumilivu ni kitu cha muhimu pia lakini yakinishinda hapo tena ctakuwa na mjadala...mie nilioana na huyu msukuma kwa shida na raha lakini sio kwa mateso/manyanyaso/uzinzi...kimoja kikazidi hapo uvumilivu nao una kiac so ntafata akili yangu itakavyonituma kwa wakati huo....
 
kuvumilia mpaka visivovumilika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tunavumilia sana tu nyie hamjui fanyeni research zenu mjue jinsi gani wake zenu wanawavumilia.

NA WABARIKIWE WABABA WOTE WENYE KUHESHIMU VIAPO VYAO VYA NDOA !

Hakika nawaapia enyi akina mama msio kuwa na moyo wa kuvumilia Ndoa zenu zinawashinda.
Mwanamke mwema anaijenga Ndoa na kuirutubisha lakini mwanamke mwenye macho mengi huibomoa ndoa yake.
 
Sawa. Pia Mungu huyu huyu kasema atawapa wale mnaofanana nao kimatendo. Kama wewe si malaya na una mwenzi malaya jua hajatoka kwa Mungu, muvu aut.

Kabla ya kuoana kuna vipindi vingi vya mpito kama Kutongozwa kwanza kabla ya uchumba ukisha tongozwa na kulishwa maneno matamu na mazuri unajua mm ndo mwenyewe alafu kuna kipindi cha kuchunguzana yaani ni hatua mpaka kwenda kutambulishana kwa wazazi hapa unakuwa tayari umesha ridhia kuwa hiki kidume nitaishi nacho sasa iweje baada ya miaka 6 unione mm malaya na unataka kunitosa? Wkt kabla ulisha ridhia mm nikuoe na umesha ijua tabia yangu ni kumega mega
 
naelewa kabisa kabisa, hata yeye alivumilia yakamshinda, alikuwa na mume kama huyu huyu, yalimshinda akanyanyua mikono juu akatulea wanae...so naelewa ataniambia/anatuambia tuwe tunackiliza mioyo yetu na uvumilivu ni kitu cha muhimu pia lakini yakinishinda hapo tena ctakuwa na mjadala...mie nilioana na huyu msukuma kwa shida na raha lakini sio kwa mateso/manyanyaso/uzinzi...kimoja kikazidi hapo uvumilivu nao una kiac so ntafata akili yangu itakavyonituma kwa wakati huo....

Kumkimbia mme na kumwacha sio kutatua tatizo unamkimbia mwanaume mlevi unakuja kupata mzinzi au mwenye manyanyaso tatua tatizo talatibu utazoea nakuona jambo la kawaida....cha muhimu ni uvumilivu tu.
 
kuvumilia mpaka visivovumilika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tunavumilia sana tu nyie hamjui fanyeni research zenu mjue jinsi gani wake zenu wanawavumilia.

NA WABARIKIWE WABABA WOTE WENYE KUHESHIMU VIAPO VYAO VYA NDOA !

...DUUUHHHH! Ngoja nianze kuwafanyia sensa wataosema AMEN!
 
Kabla ya kuoana kuna vipindi vingi vya mpito kama Kutongozwa kwanza kabla ya uchumba ukisha tongozwa na kulishwa maneno matamu na mazuri unajua mm ndo mwenyewe alafu kuna kipindi cha kuchunguzana yaani ni hatua mpaka kwenda kutambulishana kwa wazazi hapa unakuwa tayari umesha ridhia kuwa hiki kidume nitaishi nacho sasa iweje baada ya miaka 6 unione mm malaya na unataka kunitosa? Wkt kabla ulisha ridhia mm nikuoe na umesha ijua tabia yangu ni kumega mega

Very good point. Back to the topic, mleta mada kaolewa akiwa na miaka 17, je unashani alipitia vipindi vingi vya mpito kabla ya uchumba na ndoa.
 
hahaha kweli we klorokwini umenichekesha mpaka mbavu zinauma.embu tupe dawa ya mume mzinifu basi

lakini bado nipo na wewe hii case yako ni moja kati ya case kumi za cheating ambazo nimesikia,ivi unawezaje kujustify cheating it is not acceptable at all unaonekana huoneakani umekamatwa hujakamatwa bado risk ya kupata magonjwa ipo pale pale.
tukiijustify au tusiijustfy, cheating is there to stay! sasa ninachoongelea kwamba kwa mantiki ya kuumizana hisia cheating haikubaliki, lakini cheating hiyo hiyo inatumika kwa mantiki ya kutuliza hisia. kumbuka, hisia ndizo zinakutuma uowe au upende na hisia hizo hizo ndizo zinakutuma ucheat, sasa hapo ndio balaa!. All in all waaminifu ni wachache sana hii dunia ya leo, hapa JF usishangae pengine waaminifu tuko watatu tu, mimi, Mbu na Aspirin.
 
hapa lazima wakimbie wenyewe maana naongelea wale hata tusipokuwa karibu macho yao yapo nyumbani...................!

...DUUUHHHH! Ngoja nianze kuwafanyia sensa wataosema AMEN!
 
Kwa MUNGU WA MBINGUNI yote yanawezekana,
usikate tamaa dadayangu, unaweza ukamwacha ukapata mwenye tabia mbaya zaidi.
Nakushauri mgeukie YESU, nenda kanisani utapata maombi na MUNGU WA MBINGUNI atakuonekania na kumbadilisha mumeo
 
tukiijustify au tusiijustfy, cheating is there to stay! sasa ninachoongelea kwamba kwa mantiki ya kuumizana hisia cheating haikubaliki, lakini cheating hiyo hiyo inatumika kwa mantiki ya kutuliza hisia. kumbuka, hisia ndizo zinakutuma uowe au upende na hisia hizo hizo ndizo zinakutuma ucheat, sasa hapo ndio balaa!. All in all waaminifu ni wachache sana hii dunia ya leo, hapa JF usishangae pengine waaminifu tuko watatu tu, mimi, Mbu na Aspirin.

Amen kaka, Amen, Amen ubarikiwe sana wallah, Jazzakallah!
 
Very good point. Back to the topic, mleta mada kaolewa akiwa na miaka 17, je unashani alipitia vipindi vingi vya mpito kabla ya uchumba na ndoa.

Yeah huyu dada kabla ya kuolewa huyo mmewe alikuwa tayari yupo kwenye transition period kutoka mke wa kwanza kuja wa pili na kipindi yupo na wapili akawa anammendea huyu dada na kwa vile alikuwa bado mdogo na uhakika chipsi kuku na soda/redds vilimtamanisha kuishi na huyo mmewe na akajiona kuwa yeye ni mke bora kuliko huyo wa pili akaamua kuolewa na huyo jamaa baada ya kumhakikishia kuwa mke wa pili anamtema. Kwa vile amesha poteza radha kwa huyo jamaa ndo maana sasa anamwona jamaa malaya kama umalaya jamaa alisha ufanya kabla hajamwoa huyu binti.
 
Kumkimbia mme na kumwacha sio kutatua tatizo unamkimbia mwanaume mlevi unakuja kupata mzinzi au mwenye manyanyaso tatua tatizo talatibu utazoea nakuona jambo la kawaida....cha muhimu ni uvumilivu tu.

kijana acha zako hizo, hebu ingia kwanza kwenye ndoa ndio tutapima uvumilivu wako, sasa upo nje unaona mambo marahicccc, ingia wkenye game hili ndio utakuja kuzungumza hapa vzr.
 
Yeah huyu dada kabla ya kuolewa huyo mmewe alikuwa tayari yupo kwenye transition period kutoka mke wa kwanza kuja wa pili na kipindi yupo na wapili akawa anammendea huyu dada na kwa vile alikuwa bado mdogo na uhakika chipsi kuku na soda/redds vilimtamanisha kuishi na huyo mmewe na akajiona kuwa yeye ni mke bora kuliko huyo wa pili akaamua kuolewa na huyo jamaa baada ya kumhakikishia kuwa mke wa pili anamtema. Kwa vile amesha poteza radha kwa huyo jamaa ndo maana sasa anamwona jamaa malaya kama umalaya jamaa alisha ufanya kabla hajamwoa huyu binti.

Hapo kwenye blue hahahaaaa, baadhi wanaume mnaongozwa na lust na sio love kwenye mambo ya mapenzi.

Mdada ameshakua, na dhamira yake imemwambia na ameshuhudia mwenyewe kuwa huyu jamaa ni malaya. Hivyo basi rukhsa kwa dada kuchanganya za kuambiwa na zake ili kujua the way forward.
 
nashukuru kwa ushauri wenu dada zangu mlionishauri niongee nae pia nivumilie mungu awabariki cna
 
kulikuwa na baba na kaka zako pia...
tumia sana busara zako..jitahidi kumbana huyo mwenzio, la sivyo tutakupoteza siku sio zako..
 
23 mbona bado mtoto kabisa? Kama umechoka na tabia hiyo (ambayo haita badilika coz ni mchezo wake) funga vyako, ondoka. Msaada wake utaupata ukiwa unamlelea mwanae (kama vile anavyo dai kumsaidima mzazi mwenzake mngine).
Na kama unaona bado unampenda na utashindwa kuhishi bila yeye, hata kama hajakamilika, basi vumilia tu.
 
Back
Top Bottom