Ndoa inakubana na unahitaji devorce. Usijidanganye..!

Sidhani kama mtu anavyyoingia kwenye ndoa anafikiria kutoka, ni circumstances zinazomfanya mtu atoke; na wengi (hasa waafrika) huvumilia mambo mengi tu lakini kuna situation zingine ukipima madhara ya kubaki (kisa unaogopa kutopata mwingine) na madhara ya kuondoka ni mara mia kuondoka.

Ni kwamba hapo mwanzoni anakuwa hakufanya uamuzi/uchaguzi sahihi...
Na kama ujuavyo kwa sasa asilimia kubwa ya wadada wana viherehere vya kuolewa....
Katika ndoa siyo kila siku ni FURAHA kuna MIGONGANO na si kwenye ndoa tu ni katika maisha kwa ujumla
Labda umpate mwanaume toka sayari nyengine lakini si hapa duniani , migogoro ipo....... jua namna ya kuishinda...
Kushinda tatizo siyo kulikimbia ni kulikabili na kupambana nalo..............
 
Suluhisho siyo talaka....
Suluhisho ni kuondoa hayo manyanyaso..............
Mwanamke mpaa anafikia kuomba talaka ujuwe kisha maliza yote hayo na kaona hakuna faida....Matatizo sisi wanaume wengi sana tunaingia kwenye ndoa hatujui mana ya ndoa.

Mimi navyo amini mwanamke mpaa akubali kuolewa na mwanaume ujuwe kampenda, vipi ghafla amchukie bila sababu.
 
Lazima uwe na mwanaume wako la sivyo ni changudoa.......

Huo ni umalaya na ukiruka njia ......utaishia pabaya
did u read these posts before replying?? hakuna logic

Suluhisho siyo talaka....
Suluhisho ni kuondoa hayo manyanyaso..............
one of way ya kuondoa manyanyaso ni kuondoka

Sidhani kama mtu anavyyoingia kwenye ndoa anafikiria kutoka, ni circumstances zinazomfanya mtu atoke; na wengi (hasa waafrika) huvumilia mambo mengi tu lakini kuna situation zingine ukipima madhara ya kubaki (kisa unaogopa kutopata mwingine) na madhara ya kuondoka ni mara mia kuondoka.
  1. mumeo anakuletea wanawake nyumbani kwenu.
  2. mumeo analewa na kurudishwa na mkokoteni nyumbani.
  3. mumeo hathamini ndugu zako.
  4. mumeo anakupiga ovyo mbele ya watoto
  5. mumeo ana...........
according to kimbweka, wewe vumilia tuu, maana ukiachika utaonekana kiruka njia.
 
What??ina maana lazima uwe na mwanamme?huwezi kuishi bila mume?acha kupotosha watu na kufanya mume ndio kila kitu.kuna matatizo mengine inafikia stage talaka is the best solution,ingawa ki jamii ni kama taboo fulani.maybe kwa wengine ila kwa experience yangu mimi,najiongelea kama mimi,maneno yako hayana ukweli.

Kibweka kafanya uchambuzi mzuri. Jitazame, unasema hivyo una umri gani? ni rahisi kusema sio lazima kuwa na mume au mke lakini ni lazima. Wakati damu inachemka sio lazima, lakini jua likianza kuzama ndio ule ulazima utauona au wakati wa ugonjwa. Lakini tukumbuke ile natural need (sex) utaipata wapi? labda you will resort to toy sex tools vinginevyo huwezi kuhimili. Talaka mambo yakizidi is a best solution lakini sio ya kukimblia hata kidogo
 
did u read these posts before replying?? hakuna logic

one of way ya kuondoa manyanyaso ni kuondoka

  1. mumeo anakuletea wanawake nyumbani kwenu.
  2. mumeo analewa na kurudishwa na mkokoteni nyumbani.
  3. mumeo hathamini ndugu zako.
  4. mumeo anakupiga ovyo mbele ya watoto
  5. mumeo ana...........
according to kimbweka, wewe vumilia tuu, maana ukiachika utaonekana kiruka njia.

Namba tatu (3) jambo hilo linagombanisha sana watu. Kwani asipowathamini ndio uombe talaka???????? Je, wewe unathamini ndugu zake????? ndugu wa nje wasiwagombanishe. Analysis yako inaonekana kama haujaolewa, olewa kwanza halafu ndio uje utuambie
 
did u read these posts before replying?? hakuna logic

one of way ya kuondoa manyanyaso ni kuondoka

  1. mumeo anakuletea wanawake nyumbani kwenu.
  2. mumeo analewa na kurudishwa na mkokoteni nyumbani.
  3. mumeo hathamini ndugu zako.
  4. mumeo anakupiga ovyo mbele ya watoto
  5. mumeo ana...........
according to kimbweka, wewe vumilia tuu, maana ukiachika utaonekana kiruka njia.

Ogopa ukiruka njia utaishia pabaya.............!!!!
 
No fu..ing way aisee, bora nionekane kirukanjia mwenye afya njema na utu; kuliko mke mtiifi ambaye ni muathirika wa mwili, utu na nafsi.
 
Kama unatoka kwenye ndoa wakati uliingia mwenyewe basi jua ulikurupuka kuingia kabla hujamfahamu vyema mwenza wako!!!!!!!!Otherwise wewe ni ukahaba tu utakuwa unakuendesha
 
No fu..ing way aisee, bora nionekane kirukanjia mwenye afya njema na utu; kuliko mke mtiifi ambaye ni muathirika wa mwili, utu na nafsi.

Inaelekea wewe umeachana na mumeo na una-uhalalisha huo muachano.....
Msidanganyike mlio kwenye ndoa pelekeni malalamiko yenu kwa MUNGU yeye aliyewaunganisha anajua namna ya kuwatatulia mashida yenu......
Msikimbilie talaka maana huko ndiko matatizo yatachachamaa ajabu..............
 
Kama unatoka kwenye ndoa wakati uliingia mwenyewe basi jua ulikurupuka kuingia kabla hujamfahamu vyema mwenza wako!!!!!!!!Otherwise wewe ni ukahaba tu utakuwa unakuendesha

Embu baelezeee......
Ndoa ni PINGU za maisha na funguo za pingu anazo MUNGUp eke yakee......
 
...... haujaoa, oa ......
fixed.

kuna waume wanadharau ndugu wa wake bcoz they are poor/uneducated etc. akitembelewa anaanza kulalamika kwa mkewe ''hawa ndugu wamekuja kujaza ch** tuu, wataondoka lini'' nk

Ogopa ukiruka njia utaishia pabaya.............!!!!
msome dada yangu hapa

No fu..ing way aisee, bora nionekane kirukanjia mwenye afya njema na utu; kuliko mke mtiifi ambaye ni muathirika wa mwili, utu na nafsi.

Embu baelezeee......
Ndoa ni PINGU za maisha na funguo za pingu anazo MUNGUp eke yakee......
kwa nini unashikilia kipengele cha pingu na sio cha upendo na kuthamini?? if u have so much experience y don't u be a marriage counselor, according to you utapata biashara 24/7

EDIT: how do you solve problems in your marriage, tusaidie sisi tusiofahamu
 
fixed.

kuna waume wanadharau ndugu wa wake bcoz they are poor/uneducated etc. akitembelewa anaanza kulalamika kwa mkewe ''hawa ndugu wamekuja kujaza ch** tuu, wataondoka lini'' nk

msome dada yangu hapa

kwa nini unashikilia kipengele cha pingu na sio cha upendo na kuthamini?? if u have so much experience y don't u be a marriage counselor, according to you utapata biashara 24/7

EDIT: how do you solve problems in your marriage, tusaidie sisi tusiofahamu

Matatizo hayafanani yanatofautiana kila ndoa.....
Lete tatizo nikutatulie free of charge............................!!!!
 
Huo ni umalaya na ukiruka njia ......utaishia pabaya

PABAYA KWAKO KWANGU PAZURI SANAA. Bora uwe malaya unalala na mwanaume anayekuridhisha na unaenjoy kuliko kijinganganiza kwa mume ambae AMEKUTOKAAAA JUMLA JUMLA! Nipishe mie kuleeee! Akaaaa! Utumwa wa kuona wanaume wamaana sana umenipitia kando. Kaa kwenye ndoa unayopendwa, unathaminiwa, na unaonekana wa maana, sio kujinganganiza kwa mtu huku ukipewa dozi badala ya kuenjoy unashushia panadol ili uonekane una mume????? KILA MTU ALIKUJA DUNIANI PEKE YAKE!
 
kama unatoka kwenye ndoa wakati uliingia mwenyewe basi jua ulikurupuka kuingia kabla hujamfahamu vyema mwenza wako!!!!!!!!otherwise wewe ni ukahaba tu utakuwa unakuendesha

ndoa yako ina miaka mingapi??????????? Kama unayo hiyo ndoa!!!!!!!!!!!
 
PABAYA KWAKO KWANGU PAZURI SANAA. Bora uwe malaya unalala na mwanaume anayekuridhisha na unaenjoy kuliko kijinganganiza kwa mume ambae AMEKUTOKAAAA JUMLA JUMLA! Nipishe mie kuleeee! Akaaaa! Utumwa wa kuona wanaume wamaana sana umenipitia kando. Kaa kwenye ndoa unayopendwa, unathaminiwa, na unaonekana wa maana, sio kujinganganiza kwa mtu huku ukipewa dozi badala ya kuenjoy unashushia panadol ili uonekane una mume????? KILA MTU ALIKUJA DUNIANI PEKE YAKE!

Hakuna ubora hapo......!!!
Ndo kwanza unaingia utumwani na watakuchakaza mpaka uchake kisha wanakutuwa pwaaaa kwishnie.............!!
 
You are of the problematic women! It is very easy to know who is the right Woman to Merry jameni, hemu angalia text yangu niliyoandika hapo juu na majibu yako, HUJALAZIMISHWA, mtu kaandika mawazo yake, wewe kinachokukera ni nini?
 
Hakuna ubora hapo......!!!
Ndo kwanza unaingia utumwani na watakuchakaza mpaka uchake kisha wanakutuwa pwaaaa kwishnie.............!!

WAMCHAKAZE NANI??? Wewe lazima utakuwa umetoka kijijini jana si bure!!!! Hakuna kuchakzana ni kupeana raha tu bila mistress isio na mpango. ANAETOA NA ANAEPOKEA NANI ANACHAKAAA? Kungangania ndoa ndo kujichakaza, unampa mtu huku wala hana hata shida nacho kutwa nyumba ndogo!!! Wewe unajikuta umezeeka kwa mistress. Acha niwape wanaokiona mali!
 
Inaelekea umeshachakazwa tayari......
Na umejikatia tamaa ya maisha na unashindwa kumrudia mpendwa mumeo....!!
Ndoa ni uvumilivu la sivyo uljihereheresha kufunga ndoa za kisanii ili wenzio wakuone... sasa limekushinda.....
Umebaki kubwatuka makelele ya kutetea talaka na kufanya ukahaba wa kulala na mijanadume ya kila aina na kuihalalisha kuwa unapewa raha...
Jiangalie vizuri kwenye kioo na kunako hata rangi imebadilika ndo kuchakazwaa huko na bado.....!!
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE......Waebrania 13:4
kama wewe umeshindwa kuheshimu ndoa yako nani atakuheshimu.....?
Utachakazwaaa sanaaaa tuuuu...............
 
Talaka huumiza kuliko kifo, hata hivyo kwa baadhi ya wanawake walioolewa sasa wanaona talaka ni uhuru na maisha.
Hujiona wao young and beautiful, hakuna mtu wa kumwambia fanya hili au kile, no demands, hakuna kulaumiwa, kuonywa, kusemwa, kuamrishwa, hakuna kumpikia dinner wala lunch, hakuna utumwa, na akiangalia nje ya ndoa anaona mwanga ni mzuri unaopendeza, anajiuliza kwa nini kuteseka wakati huko nje kuna wanaume wengi tu wananihitaji.
Anafikiria namna anaweza kurudi kwenye maisha ya ujana upya, ulimwengu mpya kwani hakuna kuzozana tena, hakuna kulalamikiana tena, hakuna kuulizana umetumiaje fedha.
Mwanamke anafanya kweli, anaachana na mume wake na kila mtu kuanza kivyake.
Kwa mara ya kwanza anaona mambo ni mazuri, baada ya kusuguana na mume kwa muda mrefu sasa anajiona amepata ahueni, uhuru kwa kwenda mbele.
Sasa nikueleze ukweli wenyewe!
Kawaida wanawake wengi (siyo wote) wanaoachana na waume zao umri wao mara nyingi ni kuanzia miaka 28 – 40.
Maana yake huko nje wanakoamini kuna wanaume wa kuwaoa wapo wanaume wa aina mbili tu, kwanza ni wale ambao nao wameachana na wake zao na pili ni wale ambao ni single (hawajawahi kuoa).
Mara nyingi hawa wanawake huwaogopa sana wanaume wa kwanza hapo juu kwa kuwa ndo walewale ambao wameachana nao, hivyo Hujiuliza swali "kwa nini ameachana na mke wake?"
Hii ni dalili kwamba anaweza kuwa ni big trouble!
Hii ina maana sasa amepunguza idadi ya wanaume ambao anaweza kuoana nao tena kwani tumebakiwa na wanaume ambao hawajawahi kuoa yaani wapo single.
Hapa anamtafuta mwanaume ambaye ana sauti nzuri, mtaalamu wa kuongea, romantic, tender, passionate, mwelewa, mwenye fedha za kutosha, mwenye taaluma nzuri kama vile lecturer, Diplomat au millionaire, mwanaume ambaye hata
Watoto wake watajiona wana baba wa uhakika, ambaye si mlalamikaji, anayeweza kuwafanya kusafiri kila Mahali wanapotaka duniani na mwanaume ambaye atavutiwa na yeye tu na si vinginevyo.
Tuseme wewe mwanamke uliyeamua kutimka kwa mume wako sasa una miaka 38, je unadhani ni rahisi kumpata mwanaume wa aina hii ambaye amekuzidi umri au mnakaribia au sawa.
Ni mwanaume gani mwenye sifa kama hizo anaweza kukubali kuoana na mwanamke aliyeachana na mume wake?
Kama amekuzidi umri na wewe una miaka 38 inakuwaje hadi sasa awe hajaoa, utasema alikuwa anasoma PhD, yaani na PhD yake aje akuoe wewe uliyeachika na mume wako?
Si rahisi kama unavyofikiria!
Ukweli ni kwamba mwanaume wa aina hii anapatikana kwenye TV na Movies!
Anapatikana kwenye mawazo, anapatikana fantasy land na si kwenye maisha halisi!
Nafasi ya kumpa mwanaume wa aina hii ni moja kati ya milioni moja.
"Don't permit the possibility of divorce to enter your thinking, even in a moment of great conflict and discouragement, divorce is not a solution"

Unaweza kujikuta wewe mwanamke ndiye unawawinda wanaume, kwa taarifa yako mwanaume hayupo wired kuwa kuwindwa badala yake yeye hufurahia kuwinda.
Utajikuta ni lonely na unazeeka haraka kuliko ulivyotegemea.
Wanawake walioolewa ambao walikuwa rafiki zako wataanza kujisikia uncomfortable na wewe, wanakuona ni mwanamke loose na dangerous kwa waume zao na wanaanza kukukwepa na kuweka ulinzi mkali kwa waume zao, na wanaume ovyo nao wanaanza kukushangaa mbona hutaki kulala nao, wanakuona wewe ni cheap target!
Kutafuta talaka ni kupoteza uraia wako, hadhi yako na uhuru wako.
Utajikuta unakaa nyumbani mwenyewe peke yako usiku hadi usiku, hofu itaanza kukuingia, kujiamini kunaanza kupotea, unaanza kujiona huvutii tena na watu wanakudharau.
Talaka ni kubadilisha matatizo ya zamani na kujipa matatizo mapya.
"Guard your relationship against erosion as if you were defending your lives"
Kumbuka ukishirikiana na mume wako mnaweza kurudi tena kwenye raha ya maisha kama vile mwanzo mlipoanza ndoa yenu.
Hebu itazame hii njia vyema, tafakari chukua hatua.

395345_394431220610204_925042415_n.jpg

AMEN...............!!!!!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...iwa-ukatili-na-mume-wake.html?highlight=nasra

soma kisa hicho na utafakari uliyoyaandika thamani ya mtu anaijua mwenyewe.asipoijua wacha apate shida wang'angania ndoa ulizaliwa na ndoa weye ,piga moyo konde safari iendeleee wanaume wengi wanawanyanyasa sana wanawake ni machache sana tunayofanikiwa kuyaona
 
wewe unajua nasra alimfanyia nini mmewe...?
Halafu ndoa yako siyo ya NASARA.....
Yako ni yako.....
Na ukitoka kwenye ndoa lazima uchakazwe balaaaa.....
Pamoja na kuwa hatukuzaliwa na ndoa ila ndoa ni Mpango wa MUNGU mwenyewe....
Ukitoka kwenye ndoa unakwenda kwa shetani........
Na kazi ya shetani ni kukuchakazaaaa mpaka basii..................
 
Back
Top Bottom