Ndoa imenishinda wana Jf, nipeni mwongozo tafadhali.......!

Sio kuwa namsimanga ila kifupi nilikuwa najaribu kueleza ni jinsi gani namthamini na namjali ili kusiwe na mkakanganyiko kana kwamba hana kazi au namnyanyasa. Ni upendo niliokuwa nao kwake lakini naona inafikia hatua sasa kama najiumiza, I can't feel proud of her any more! yaani dah ! kifupi sioni faida ya ndoa hadi dk hii.

Haha kweli wewe ni mgeni katika maisha ya ndoa na experience ya kuishi na wajawazito. Huyo mama anakupenda sana. Kipindi hiki ni kibaya sana mdau, kwanza tumbo limeshuka, mtoto anacheza tumboni michezo yote, tumbo linabana kama ngoma ya kiangazi, moods zisitokee? Ebu mvumilie 8 months ni kidogo sana atajifungua soon. Ila wewe unavyoongea ni kama una maamuzi yako fulani ya kuchoka, kumwacha.

Huyo shetanii anayekuongoza mwambie ameshindwa na kama una insist kufanya hivyo we fanya na siyo kwa sababu mkeo kakulazimisha.
 
ha ha ha!.....

huo ni mwanzo tu.....

kudadadeki...!mwulize finest alikutwa na maswaibu gani....."the only thing i miss....."

kudadadeki!.....

chezea wanawake wewe....!

kudadadadadeki
 
ha ha ha!.....

huo ni mwanzo tu.....

kudadadeki...!mwulize finest alikutwa na maswaibu gani....."the only thing i miss....."

kudadadeki!.....

chezea wanawake wewe....!


kudadadadadeki
Hahahaha!!! Kudadekiiii Teamo banaa hufai kabisa wewe...benchodi
 
mbona wako kwako ananafuu sana?mwenzio nilihama hadi chumba.ila alipojifungua tu.da alibadilika kama si yeye..ila jaribu kuwa naye karibu kuliko hata ilivyokuwa mwanzo.nadhani ni mimba ya kwanza ndiyo maana unaexperience kitu tofauti katika mapenzi yenu.

Naomba usimwache akawa anatembea mwenyewe jaribu kuwa uanatembea naye pia kuwa mpole hata akiwa mkali namna gani wewe shuka chini jifanye kama haujui kile kinachoendelea.
 
Da mkuu acha hizo bwana,mwanamke akiwa kwenye hali kama hyo mambo hayo niya kawaida kadiri nijuavyo,je kwani hayo alikua akiyafanya hata kabla hajawa na ujauzito? Da usifanye hvyo hata kama ndio tabia,umuache ili iweje wakati tayari ana mimba yako?
 
Wana Jf,

Jioni nimetoka kazini namfuata, ameshukia daladala kituo kingine tofauti na ameamua kutembea kwa mguu hadi home. Hajaongea nami hadi anaamka asubuhi.

Leo nimemuacha atembee kwa mguu kwenda huko kituoni (km 5 hadi kituoni). Nimechukia sana na namuona kero. Najuta kumuoa na nataka nimuache coz sioni kama nina tija naye.

Naombeni ushauri wenu wandugu.

Muachie gari autumie wewe panda daladala kaka, ni tabu sana huko na ukizingatia umemuongezea uzito
 
Hahahaha...

Karibu ktk ulimwengu wa wakubwa, pole sanaa ingawa ww unanafuu, mwenzako nilihama nyumba kabisa maana kila siku ilikuwa hakulaliki ugomvi kwa kwenda mbele. Lakini siku alipo jifungua tuu mtu wa kwanza kumuulizia ni mimi, nakumbuka alisema jamani mme wangu yuko wapi nampenda sanaa...

So hiyo hali ni kitu cha kawaida, wengine wanakuwa naupendo kwa waume zao ila ndo unatumwa kama mtoto mara nahamu cha chips za kwa edoo oo mara leo nahamu na mbuzi choma wa jolly...
 
Sasa huo ndo wakati wa kumuonesha kuwa unampenda! Yani akikasirika fanya makeke hadi acheke na afurahi! uonee huruma na huo ujauzito, sio yeye best hiyo ni kawaida tu!
You are the only one to make her happy, no matter in which situation she is!One important thig, love her more and more.
 
Yaani kakesi ka ovyo hv tena na mjamzito ndo unakaleta hapa? Hujakuwa wewe! Halafu huna huruma! Unamwacha mkeo anawalk 5 km tena mjamzito? Shame on u! Umeoa unatakiwa umeze madhila yote na sio kulia lia ka mtoto hapa! 2mbavu![/QUOTE
Asante kwa maoni yako. Wewe ni mwalimu so unapofundisha darasani na mwanafunzi wako hayupo kupokea unachofundisha je unaweza kuendelea kufundisha darasani au utafanya nini?

Usiwe na hasira, ndio mja mzito sasa kwanini anune? nini amechukizwa? home nipo ful time au nianze kulala bar ndio atajua nampenda????


aujakua.
ata km una miaka 40 bt ur nt matured.
una miaka 16 ivi.



kua mwanaume.
elewa stages za mwnamke

sasa kuanza kusema ulimsomesha sjui uon mshahara wake....vina uhusiano na vnuno vyake?
au kwa vile ulimsomesha home kuko full bas atakiwi kununa?achekelee tu mda wote ?


EBU KAA NA WATU WAZIMA WAKUPE TIPS ZA MAISHA YA NDOA
MAISHA WAKAT MKE ANA MIMBA


dahhh wewe ur 1 in a milion et umuache mkeo kisa ananuna?wakat ana mimba?
unaitaj mbolea ili ukue
 
Hahahaha!!! Kudadekiiii Teamo banaa hufai kabisa wewe...benchodi


nina hamu ya kukununia...njo untie mimba bas....!!!!!!

mis u boy....my 1 n only digi digi...mwulize bgrta ni vp sasa apende mke mkali mkali..jamaaa ataka kudekezwa ...demu akimdekeza anakula mbata..dahh!!!!!!!1

mwambie kuna BHOKE uku anatafuta mchumba...
 
nina hamu ya kukununia...njo untie mimba bas....!!!!!!

mis u boy....my 1 n only digi digi...mwulize bgrta ni vp sasa apende mke mkali mkali..jamaaa ataka kudekezwa ...demu akimdekeza anakula mbata..dahh!!!!!!!1

mwambie kuna BHOKE uku anatafuta mchumba...
:eyebrows::eyebrows:Nakutia mimba halafu mimi huyoo natoka ndukiii ukiishazaa mimi huyoo narudii mdogo mdogo:lol::lol:
 
pole sana wakwangu alikuwa mkali sana na alikuwa hadi ananipiga vikumbo lakini nilivumilia tu maana najua ndivyo walivyo....siku susipokuja na Chips haongei na wewe siku mbili. lakini baada ya kujifungua yeye mwenyewe alikua hata hajui alilokuwa anafanya yuko vizuri na tunapendana kama awaida. kwa hiyo be patient
 
vumilia sasa we ukilalamika ye afanyeje. endelea kumliwaza hata kama akujali. mara nyingi (wahenga walisema)ikitokea hivyo ujue huyo ni mtoto wa kiume. mke kubadilika na hata kukuchukia si hoja, vumilia muda c mrefu raha ndani ya nyumba itaongezeka.
 
:eyebrows::eyebrows:Nakutia mimba halafu mimi huyoo natoka ndukiii ukiishazaa mimi huyoo narudii mdogo mdogo:lol::lol:

mhh hatariiiiii....ukirudi na mimi uyooooooooooooooooooooooooooooooo na mtoto atakuwa wa kimey si wako tena:juggle:
 
Mlete kwangu aisee hao wenye mimba wazuri akizalia kwangu naomba nikubalie aitwe jina langu tafadhalieganiwezi pdidysiachiki pdidynashukuru pdidykamautaurhusu hili hata wewe ntakupa hifadhi kwangu ukinihakikishia mnalala vyumba tofauti
 
pole sana wakwangu alikuwa mkali sana na alikuwa hadi ananipiga vikumbo lakini nilivumilia tu maana najua ndivyo walivyo....siku susipokuja na chips haongei na wewe siku mbili. Lakini baada ya kujifungua yeye mwenyewe alikua hata hajui alilokuwa anafanya yuko vizuri na tunapendana kama awaida. Kwa hiyo be patient
hili somo la patient sijui niwafundishe jf mara ngapi..we unaoa huyo dadako msinuniane??kama unataka raha si ungemwuwowa dadako mzazi!!!mi wangu ya kwanza alikuwa kila nkirudi anataka supu ya mbuzi mmh nkaingia mbweni nikanunua mbuzi wa tatu nkajua hawa mpaka waishe mtoto ashatoka tukachinja wa kwanza kila asbh tengeneza supu mtoto katoka shavu hinya usikate tamaaa mpwa ndio wanaume huo
 
Yaani kakesi ka ovyo hv tena na mjamzito ndo unakaleta hapa? Hujakuwa wewe! Halafu huna huruma! Unamwacha mkeo anawalk 5 km tena mjamzito? Shame on u! Umeoa unatakiwa umeze madhila yote na sio kulia lia ka mtoto hapa! 2mbavu![/QUOTE
Asante kwa maoni yako. Wewe ni mwalimu so unapofundisha darasani na mwanafunzi wako hayupo kupokea unachofundisha je unaweza kuendelea kufundisha darasani au utafanya nini?

Usiwe na hasira, ndio mja mzito sasa kwanini anune? nini amechukizwa? home nipo ful time au nianze kulala bar ndio atajua nampenda????

Eti sasa kwa nini anune? si amejisikia kununa? we nawe una umri gani? mwe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom