Ndoa Hii Inaweza Kuvunjwa??

first thing... ana uhakika gani jamaa hawezi kupanda mtungi kabisa? inawezekana jamaa ni mwoga na alikua hajawahi kufanya hayo mambo

kujamiiana kwa mara ya kwanza ni very tricky thing inawezekana jamaa ni mwoga kiasi kwamba jogoo haliwiki

i mean inawezekana ushirikiano kati ya downstairs kwa mshkaji na upstairs haupo when in bed,.... anahitaji usaidizi na sio kuachwa!!!
Wameishi muda mrefu bila jamaa kusimama hata kidogo.....

Mi siafiki kitu kama hicho kwani haya mambo yanazungumzika then kama wameshafunga ndo ni ishu ya mazungumzo kati ya mke na mume kwanini nasema ivo ni kwamba mume ili asizalilike na mke asililike mwanamke inabidi awe anatoka nje ya ndoa kukata kiu yake wakati ndoa inaendelea.ila angalizo mwanamke anapokuwa anatoka nje ya ndoa asimweleze uyo mwanaume weaknes za mume wake ili kuweza kujenga heshima ya mume wake.
hii ni hatari, bora tu ndoa ivunjwe!!

Heshima wakuu.....
Kuna kisa nimesimuliwa kutoka kijijini kwetu kilichompata binamu yangu wa kike mtoto wa shangazi.
Kafunga ndoa ya kikristo(katika madhehebu ya katoliki) miezi mitano iliyopita. Kwa kuwa hakuwahi kumegwa na huyo jamaa yake kabla ya ndoa hakujua nini kingetokea baadae. Baada ya muda ndipo aligundua kuwa jamaa hana uwezo wa kufanya kazi kabisa(jongoo hapandi mtungi). Hivi sasa anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa afanye nini, ameshauriwa arudi nyumbani ili taratibu nyingine zifuatwe lakini yeye hataki anaogopa kumdhalilisha huyo mume wake. Anataka ndoa ivunjwe kwa taratibu na sheria za kanisa ndipo ataondoka.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa sheria za ndoa (kanisa na serikali), je ndoa hii inaweza kuvunjwa???
Mchango wenu tafadhali...

Mpe pole binamu yako.
Ndoa itavunjwa ikithibitika kisayansi jamaa hawezi kazi

Kumbe wakati mwingine kuna faida ya kutest kwanza kama (........)hili ni tatizo

nadhani akilifikisha kwa familia upande wa mme na wake watajua namna ya kutatua huu mgogoro..

Utakaaje ndani ya nyumba bila kupewa haki yako?

duh hii kweli ni nzito, maskini ila huruma aibu atakayopata huyo mume jamani laaaaa

Kumbe wakati mwingine kuna faida ya kutest kwanza kama (........)hili ni tatizo

nadhani akilifikisha kwa familia upande wa mme na wake watajua namna ya kutatua huu mgogoro..

Utakaaje ndani ya nyumba bila kupewa haki yako?

hahaha yeah shake before use

Yeah lazima ukague ujiridhishe sasa ishu kama wewe umempenda alafu yeye akakuona unakasoro akasepa ndo ishu.

Kumbe wakati mwingine kuna faida ya kutest kwanza kama (........)hili ni tatizo

nadhani akilifikisha kwa familia upande wa mme na wake watajua namna ya kutatua huu mgogoro..

Utakaaje ndani ya nyumba bila kupewa haki yako?

Kwa mfano ukaingia afu ndo unakuja gundua kuwa rais ana huo ugonjwa we utafanyaje.

aiseeee.. sasa jamaa alioa ili iweje?
Labda kujenga heshima mtaani.....

Kwa hiyo hata wewe ukiugua malaria..then majirani wakagundua kuwa una malaria, utaona aibu..?
Kwa kweli malaria na hiyo issue ni kitu tofauti, na isitoshe jamaa alijua fika kwamba hawezi, alioa ili iweje? au hata hakujua kwenye ndoa kuna nini kinaendelea?na kuongea mbele yawazazi pia, yaan wazee wakae kuongelea hiyo issue ni aibu sana, issue yoyote inayohusu hizo sehemu huwa ni aibu kuongelea

Kuna mkaka alipelekwa kwa mama yake akagusishwa tu kidogo ikaanza kufanya kazi, walisema alidondokewa na kitovu sijui, alipokuwa mchanga
na mama yake akajua kabisa tangu utotoni kuwa mwanawe hayuko sawa,hivi kuna mtu kashasikia hii? huwa kweli inafunction? au tunadanganywa tu

...... mume ili asizalilike na mke asililike mwanamke inabidi awe anatoka nje ya ndoa kukata kiu yake wakati ndoa inaendelea.ila angalizo mwanamke anapokuwa anatoka nje ya ndoa asimweleze uyo mwanaume weaknes za mume wake ili kuweza kujenga heshima ya mume wake.

Kumshauri mtu awe mzinzi nadhani sio jambo jema.

inatetemeana. hii ndo ainaweza kuvunjwa au isivunjwe, kwa wale wanasheria ndo aya aina hii inaitwa voidable marriage, sio void marriage...voidable marriage inaweza kuvunjwa na kujulikana kama hakukuwa na marriage kabisaaa.
1. kama alishalala naye hata maramoja tu baada ya ndoa halafu mzee akazimika, hiyo ndoa ni valid, sio voidable, pamoja na kwamba anaweza kutoa talaka kwa usumbufu mwingi lakini.

2. kama kuanzia pale walipofunga ndoa usiku ule hawakudo hata mara moja, hiyo ndo haipo kabisa, inahesabika haikufungwa. kugungwa kwa ndoa huwa kunakamilishwa na kufanya mapenzi walau mara moja tu baada ya cerebrating the marriage.

3. mwambie hivi, kama siku ile walishafanya hata mara moja tu, basi ndoa, na atatakiw akudumu na tatizo hilo, ambalo wengine huwa wanamaliza haja kwa kupigwa finger na mumewe kama mzigo hausimami...ila kama hakufanya kabisa, aende kuondoa hiyo ndoa afunge na mtu mwingine. huu ndo msimamo wa sheria za tz.

hata kanisa katoliki linatambua hizo void marriages....ni kiasi cha kurudi kwa padri na kueleza tatizo.

Back
Top Bottom