Ndoa bila PMU inawezekana?

Ngoja nikuombee dua halafu upate huo mtihani tuone itakuwaje reaction yako

Kwanini anisakame ikiwa sitomng'ang'ania?
Ni kiasi tu cha kuwa mwelewa, hamna haja ya kung'ang'ania mahusiano na mtu ambae sipo nae kwenye ukurasa mmoja.
 
Wengine wanakuja na gia hio ya kuoa na mahari wanatoa ila akisha shake well anakupotezea tu, maana wengine wagumu kutoa mzigo mpaka aone amelipiwa mahari sio.

Binafsi siwezi kuingia kichwa kichwa kwenye ndoa,
Akishatoa mahari riheso lzm,then ndio nijiandae na pafomansi ndani ya ndoa,
Haya mambo ya kujidai nasubiri ndoa unaingia humo unaikimbia ndoa asubuhi ya hane muni.
 
kwani unaoa sababu ya mapenzi juu ya partner wako au unaoa sababu ya kuzaa mnajua watoto ni matokeo ya mapenzi yenu?
 
Kuna vitu vya kuonja kabla ya huduma mf.
Ugoro (mwaipaya) Chumvi
Sukari
Pombe
Chakula (with matter releated)
Lakini kwa unachokisema hapa hakipo katika utaratibu wa ONJA-ONJA kikanuni. Mkionjana ni nje UZINGATIVU WA ITIFAKI.
 
Na ni nani aliyesema mkazaane mkaongezeke mkaijaze dunia? watoto ndio kiunganisho cha ndoa na familia zenu, kwa sababu kama ulikuwa hujui mwanamke sio ndugu yako, ila watoto wakizaliwa ndio wanaziunganisha familia zenu.

SI KWELI HATA KIDOGO!
1. Mke wa ndoa ni zaidi ya ndugu yako. Yeye na wewe ni mwili mmoja. Hakuna ndugu yako mwenye hadhi hiyo.
2. Lengo la ndoa si kupata watoto! Watoto ni matokeo tu. Kama ni watoto, unaweza kupata tu bila ndoa.
Ndoa inatakiwa iwe based kwn mapenzi kati ya mme na mke na si conditions za uwezo wa kuzaa n.k.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom