ndo maana Tangaaa!

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,010
jana nimecheck clip ya baikoko hawa mademu ni nomaa yani wakifanya porn star search tanga itaibuka mshindi, halafu hayo mauno na kunua nguo yanafanyika mbele ya watoto. ndo maana tanga!!!!!!!!!!! malizia
 
umetumwa umeliona hilo tu

*mbona wale wa kwanza kuleta umeme mmewaacha?
*
 
Acha Tanga iitwe Tanga.

Tanga kun shata. Hata maji ya kuoga yawekwa marashi. Ukitoka bafuni utabebwa mgongoni. Hata ukienda na gunia la noti, utaondoka ukiomba nauli.

Kaa chonjo. Saa mbaya. Hiyo ndiyo Tanga.
 
jana nimecheck clip ya baikoko hawa mademu ni nomaa yani wakifanya porn star search tanga itaibuka mshindi, halafu hayo mauno na kunua nguo yanafanyika mbele ya watoto. ndo maana tanga!!!!!!!!!!! malizia

Weka link ya hiyo clip ili nasi tuone hiyo baikoko kama ni noma kweli.
 
Back
Top Bottom