Elections 2010 Ndo kusema watu wanatorokea AIRPORT sasa hivi?

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Kwa matokeo haya hapa JF toka Mbeya, Arusha, Mwanza, nk., lazima hofu kubwa imetanda upande mmoja na kusababisha waelekee AIRPORT.

Au ndo kusema watatumia HELKOPTA?
 
Sisiemu hamuwezi kudanganya watu woote wakati woote ila mnaweza kudanganya watu furani tu wakati furani tu.

Mnaona sasa! CHADEMA hawakutaka kushinda ni UFISADI tu ndo ulosababisha!
 
Mkuu naona umekua kwenye mawazo yangu,nilitaka kusema wana JF tukae mkao wa kula huko mipakani (Holili,Rongai,Namanga,Tunduma nk)nina wasiwasi kuwa watu wataanza kutoroka.Kwa wale wanaokaa karibu na mipakani mtusaidie kuangaza macho.
 
Back
Top Bottom