Ndizi dawa ya Ukimwi!!

Kutokana na utafiti huu kinachozuiwa ni HIV-1, Afrika na hasa Tanzania kuna HIV-1 na HIV-2 na anayeshambulia sana na kumaliza wengi ni HIV-2. Huenda huko Mbeya na Kagera kuna HIV-2 ambaye hazuiliki kwa ndizi

Huo ni utafiti wako au ni hisia,tupe taaluma yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom