Ronn M
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 1,279
- 683
- Thread starter
- #21
Jamani hebu semeni basi mbona mnaikiwepeshakwepesha hii mada au kuna ka ukweli flani,maana huyu mtoa mada inaonyesha kama ashawahi kukutana na wa-Bukoba akakutana na hayo maji sasa anataka ku-prove kutoka kwa wana JF.
Ha ha ha! Ningekuwa 'nimekutana' nao ningekuwa na proof tayari!