Ndizi bukoba zinaongeza fluid?

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Mods please msihamishe hii mana huko mnapopeleka sina access!
Sasa nauliza, ndizi bukoba inaongeza vaginal fluid? Mana there z friend of mine 4rm bukoba alinidokeza kuwa zinachangia sana ndo mana wanawake wakule si haba katika swala zima la maji! Somebody with knowledge, experience? Kuna namna ya kupunguza maji?
 
Kwaupande wangu sio kweli,kwani nakula mara 1 au 2 kwa week since mumewangu anapenda sana ndizi mbichi,mie na mumewangu ni wa znz. na huyo alokwambia kama kwa wanawake inaongeza fluid je kwa wanaume inaongeza nini?
 
Kwa wanaume sikuambiwa! Ila alisema effect zake zinaonekana kwa waloanza kula utotoni! Nadhani inaoperate kama maji ya Arusha. Ukinywa ukiwaumekuwa mtu mzima hayabadilishi meno. Wenye kujua watujuze zaidi
 
Mods please msihamishe hii mana huko mnapopeleka sina access!
Sasa nauliza, ndizi bukoba inaongeza vaginal fluid? Mana there z friend of mine 4rm bukoba alinidokeza kuwa zinachangia sana ndo mana wanawake wakule si haba katika swala zima la maji! Somebody with knowledge, experience? Kuna namna ya kupunguza maji?

Mbona ni simple logic, kama zinaongeza maji basi kutokula ni kupunguza maji! Je, ndizi mshale uongeza ugumu wa shaft?
 
Kwa mimi ninavyojua ni tofauti..Ukila ndizi sana zinaongeza memory/uwezo wa kufikiri..Ila hiyo ya fluid ni ya kutunga tu haina ukweli...
 
Kwaupande wangu sio kweli,kwani nakula mara 1 au 2 kwa week since mumewangu anapenda sana ndizi mbichi,mie na mumewangu ni wa znz. na huyo alokwambia kama kwa wanawake inaongeza fluid je kwa wanaume inaongeza nini?

Nyie ndo hamuutaki Muungano eeh....sasa mnafanya nn bongo??
 
Jamani hebu semeni basi mbona mnaikiwepeshakwepesha hii mada au kuna ka ukweli flani,maana huyu mtoa mada inaonyesha kama ashawahi kukutana na wa-Bukoba akakutana na hayo maji sasa anataka ku-prove kutoka kwa wana JF.
 
Back
Top Bottom