Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

Back to the thread, kama Lowasa ni mwizi na kuna ushahidi kwa nini hayuko jela? Serikali ni ya CCM. Kwa nini wasimfukuze uanachama kwa sababu chama ni chao na wao ni wasafi? Chama ni chao. Kama mwenyekiti anaogopa kumfukuza, kwa nini mwenyekiti asifukuzwe then Lowassa afukuzwe? Hapo ndipo naconclude CCM wote wezi, wanafki na/au waoga. On top of that, it's evidently they have failed us big time.

Thats whatsup! at the bottom line tatizo letu ni CCM. Watu wanafikiria ati mtu tofauti wa CCM basi atakuwa tofauti na wana CCM wenzake. Historia imeshatuonesha mara tatu sasa kuwa CCM is for CCM na hakuna mwana CCM ambaye anaweza kwenda kinyume na kukiletea sifa mbaya chama chake. Lowassa akiingia madarakani hatafanya lolote dhidi ya viongozi waliokuwa wakati wa Kikwete zaidi ya tokens charges kama Kikwete alivyowafanyia wachache wa Mkapa na Mkapa alivyowafanyia wachache wa Mwinyi.
 
Mzee MKJJ, watanzania wengi tunatarajia Rais ajaye ashughulike na matatizo mengi ambayo maraisi waliomtangulia wameshindwa, mojawapo ikiwa ni ufisadi. Unafikiri Shein ataliweza hilo?

Uzuri ni kuwa tunayo point of reference sasa huko Zanzibar ambako Shein is the CEO. Je anashughulikia vipi mafisadi? Tatizo ni lile lile na yeye ni mwana CCM. Kwa hiyo sidhani kama kwenye ufisadi atakuwa tofauti na hawa wengine. Lowassa hawezi kushughulikia ufisadi kama ambavyo Kikwete ameshindwa. Ufisadi Tanzania utaweza tu kushughulikiwa na watu nje ya CCM.
 
............................................
Back to the thread, kama Lowasa ni mwizi na kuna ushahidi kwa nini hayuko jela? Serikali ni ya CCM. Kwa nini wasimfukuze uanachama kwa sababu chama ni chao na wao ni wasafi? Chama ni chao. Kama mwenyekiti anaogopa kumfukuza, kwa nini mwenyekiti asifukuzwe then Lowassa afukuzwe? Hapo ndipo naconclude CCM wote wezi, wanafki na/au waoga. On top of that, it's evidently they have failed us big time.

Lowasa hata kama ni mwizi hawezi kuwa Jela sababu tayari alishakuwa PM. wa Tanzania na nchi nyingi za kiafrika hatijafiia level hiyo ya viongozi kama RAIS na PM kushatakiwa wachilia mbali kufungwa. Unachohji wewe ni NADHARIA. jibu nalokoupa ni hali halisi ya utendaji ilivyo kwenye hizi seriali zetu. Tanzania is not france, Norway ndi tunataka tufike huko. Mahakama Pekee wa sasa ya Mtu kama Lowasa ni ya kisiasa

Ni sababu hatujafikia level hiyo ndiyo maana unaona hata viongozi maadili yao mabyo yana shaka bado kuna watu waawapigia debe. Kama wewe na wengine unampigia debe lowasa basi elewen hamtatufiish kule miaka 20 ijayo tutasikia wairi mkuu au rais anasharakiwa.

Nimeuliza
  • Huyu Lowasa anayepigiwa debe hivi analinganishwa na nani mpaka aonekane ana nafuu kuliko wengine? Sijaona jibu
  • Je ben Mkapa alichohomolewa wapi mwaka ule. Huko alikochomloewa hakuna wengine?
Cheo cha rais hakitaki mchapakazi, anayeubakubalika na watu kadhaa . Cheo cha uongozi wa Urais kinataka mtu MUADILIFU. So far UADILIFU wa lowasa tayari una maswali megi bora tuletewe kina Mkapa wapya

Hivi CCM imeshiwa hivi
 
kumbe wa Tz hatuna akili hivi kweli kuna mtu anathubutu ku wish CCm izidi kutawala nchi hii . Kwani watu wameisha mpaka Mtu aseme EL awe raisi wa nchi hii

jamani tuwe wazalendo tiuipende nchi yetu
 
Lowasa hata kama ni mwizi hawezi kuwa Jela sababu tayari alishakuwa PM. wa Tanzania na nchi nyingi za kiafrika hatijafiia level hiyo ya viongozi kama RAIS na PM kushatakiwa wachilia mbali kufungwa. Unachohji wewe ni NADHARIA. jibu nalokoupa ni hali halisi ya utendaji ilivyo kwenye hizi seriali zetu. Tanzania is not france, Norway ndi tunataka tufike huko. Mahakama Pekee wa sasa ya Mtu kama Lowasa ni ya kisiasa

Ni sababu hatujafikia level hiyo ndiyo maana unaona hata viongozi maadili yao mabyo yana shaka bado kuna watu waawapigia debe. Kama wewe na wengine unampigia debe lowasa basi elewen hamtatufiish kule miaka 20 ijayo tutasikia wairi mkuu au rais anasharakiwa.

Nimeuliza
  • Huyu Lowasa anayepigiwa debe hivi analinganishwa na nani mpaka aonekane ana nafuu kuliko wengine? Sijaona jibu
  • Je ben Mkapa alichohomolewa wapi mwaka ule. Huko alikochomloewa hakuna wengine?
Cheo cha rais hakitaki mchapakazi, anayeubakubalika na watu kadhaa . Cheo cha uongozi wa Urais kinataka mtu MUADILIFU. So far UADILIFU wa lowasa tayari una maswali megi bora tuletewe kina Mkapa wapya

Hivi CCM imeshiwa hivi

Kina Mkapa tena? duh
 
Mimi ndonafaa kuwa rais.
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
A%20S%20465.gif
 
Duu!!! CCM kwisha habari, Yaani adi Nauye kwa Sasa anaonekana ndie afadhali kuliko wote, ha ha ha...
Kazi IPO, kawapiku mwakembe, mwandosya, Magufuli...nk..uyo mtoa mada katumia vigezo gani?
 
CCM wote ni majembe ya ukweli, yaani waweza sema ni kama jembe la trekta. Nape shujaa sana na ni kiongozi makini huwezi mlinganisha na mpinzani yeyote.
 
Topical, unafikiri nani anafaa kuwa mgombea wa CCM kwa Urais 2015 nje ya Lowassa?
Nafikiri Sitta will make a better President than them all kama atakuwa na Uzalendo wa vitendo maana Watanzania kwa kusema sana husema pale Kitumbua chao kinapotaka kuondolewa..Lakini, I can see, Sitta kuleta mageuzi kuliko viongozi wengine wa CCM waliobakia..
 
Kina Mkapa tena? duh

Topical nadhani hujanisoma vizuri. Au jina Mkapa linakufanya usisome between the line. Nachosema ni hivi
  • Kama From nowhere CCM waliweza kumpata mtu Ben Mkapa kipindi hicho alikuwa Mr clean iweje sasa hivi wakosekane type ya mkapa mpaka watake Kutumika wachafu weye nafuu ( Kina lowasa)
Nadhani umeelewa hapo.?
Kama hujaelewa basi tafuta vicomment vyangu kwenye uzi huu uelee zaidi msimamo wangu.

Yaani sijaona hujaelewa nini kwneye hiyo comment mpaka Jina mkapa liwe issue kwako.
 
Kuna Makataibu wakuu na watendaji fulani kwenye wizara na idara za serikali wanaweza kuisaidi sana CCM. Inawezekana wengi sio makada wa wa juu wa CCM lakini ndio hao wanaotakiwa katika vugu vugu hili nakuvunja mtandao na makundi

Kuna type za jamaa kama huyo alipelekwa kuchukua nafasi ya Jairo (El. Maswi) . Ni kiasi cha TISS sababu inafanya kazi karibu kuwezesha hilo kwa manufaa ya CCM na nchi . Wako wengi tena tunaweza kuwaita vijana.
 
Topical, unafikiri nani anafaa kuwa mgombea wa CCM kwa Urais 2015 nje ya Lowassa?

Binafsi ningependelea mtu ambaye ni Mkali, (no nonsense person) lakini mwenye moral authority kudhibiti uwizi bila kuambiwa kuwa hata wewe ni mwizi..definetely hatakuwa Sitta wala Lowassa

Sina jina kwa sasa lakini nitakuwa very concern katika wagombea watakaojitokeza wakati wa uchaguzi..kuna mvutano wa kifikra ndani wanachama wenzetu..

Kuna kundi linapenda siasa za mwalimu nyerere na kichefuchefu chao cha azimio la arusha (at least hawa tunajua wanapretendi tu) hao wanapambana na kundi la wenye fikra za ki-libarali ambao wamechanganyika na hawa wachafu..katika makundi haya mawili sioni kama kuna atakayeshinda (watakanyaganya wenyewe kwa wenyewe kwenye mchakato

kundi la tatu ambalo wako katikati ya hizo wanaweza kupenya lakini hawana mgombea hadi sasa..kwasababu ya vita inayoendelea wanaweza kupenya kundi hili na kuja na mgombea mzuri..wako hapa kina sumaye, mkapa na wengine..

kwa ufupi sintawaunga mkono (nitashiriki kulimaliza kundi la wanaopretend kupenda siasa za mwalimu na kundi la kina lowassa..
 
kwa ufupi ni kuwa hauna mtu yeyote unayefikiria anaweza kuwa Rais kutoka CCM mwaka 2005. Kwa sababu kiongozi yeyote atakayekuwa RAis 2015 tayari yuko hai na yupo sasa na bila ya shaka atakuwa ameshika wadhifa fulani.
 
Topical nadhani hujanisoma vizuri. Au jina Mkapa linakufanya usisome between the line. Nachosema ni hivi
  • Kama From nowhere CCM waliweza kumpata mtu Ben Mkapa kipindi hicho alikuwa Mr clean iweje sasa hivi wakosekane type ya mkapa mpaka watake Kutumika wachafu weye nafuu ( Kina lowasa)
Nadhani umeelewa hapo.?
Kama hujaelewa basi tafuta vicomment vyangu kwenye uzi huu uelee zaidi msimamo wangu.

Yaani sijaona hujaelewa nini kwneye hiyo comment mpaka Jina mkapa liwe issue kwako.

Asante nimekuelewa sasa mkuu, oh sina shida na mkapa ni best president ever in Tanzania after JK of course

Tutampata mtu utashangaa sana..
 
Hapa ninachokiona ni muendelezo wa mawazo mgando kuwa katika nchi hii yote hakuna mwenye uwezo kama EL. kila siku ni hadithi hizo tu! hivi m*vi yanaweza kugeuka kuwa keki?
 
Back
Top Bottom