Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

Mag3,
Hebu tuangalie nje ya sanduku. Si lazima rais mpya atoke CCM 2015. Natamani sana kukizika hiki chama cha CCM ambacho kimesaliti misingi aliyotuwekea Mwalimu Nyerere.
Jasusi, determinant ya rais mpya wa Tanzania atakuwa ni nani na kutoka chama gani, ni mgombea wa CCM, nashauri tufikirie kwanza CCM itamsimamisha nani, ndipo tuje kutafuta wa kushindana naye. Urais 2015 ni kama mbio ndefu, strategy ya kushinda mbio ndefu, ni kutafuta pace makers wazuri ili wawachagize washindani wengine na kuwachosha kabla ili kutoa mwanya kwa the real winner kujipatia ushindi laini!.

In that light, the best of the best CCM has ni Lowassa, tuunganishe nguvu, tumsafishe hata ikibidi tumloweke kwenye JIK
 
Lowasa hafai hata kwa kulumangia kwa chochote! Kwanza kila kinachopita machoni kwake anataka! Amemnyang'anya mfanyakazi wake nyumba dodoma aliyekuwa anamjengea na kuuza nyumba kisa eti umetoa wapi pesa ya kujenga nyumba nzuri namna hii!, Wakati tunapigwa capacity charge ya mil 152 kwa siku yeye alikuwa anachekelea mavuno!
Tunataka mtu mwenye uzalendo na nchi hii! Kiongozi ambaye hakaula isipokuwa wanajeshi wake wamekula kwanza! Sio Lowasa type! Mtu anagombania mpaka viwanja vya plot 1, moja. Mtu gani huyu asiyeridhika. Tusithubutu kumpa madaraka mtu kama huyu! Yatatukuta kama yaliyotuka kwa BWM.
 
Jasusi, determinant ya rais mpya wa Tanzania atakuwa ni nani na kutoka chama gani, ni mgombea wa CCM, nashauri tufikirie kwanza CCM itamsimamisha nani, ndipo tuje kutafuta wa kushindana naye. Urais 2015 ni kama mbio ndefu, strategy ya kushinda mbio ndefu, ni kutafuta pace makers wazuri ili wawachagize washindani wengine na kuwachosha kabla ili kutoa mwanya kwa the real winner kujipatia ushindi laini!.

In that light, the best of the best CCM has ni Lowassa, tuunganishe nguvu, tumsafishe hata ikibidi tumloweke kwenye JIK
Kwa nini Lowasa. Kwa kuwa anawabebea misalaba watu wengine? Kwa kuwa kaficha hili dogo la Richmond na utajiri wake usioelezeka akiipata IKULU yetu itakuwaje? Nafasi ya Urais bora tuipeleke Zanzibar kwa sasa ili tuwape muda wa kujitokeza Wabara wengine ambao hawana mawaa.
Pasco, tueleze Mwalimu alisema nini juu ya Lowasa. Tuache kwanza hii misalaba mingine mnayosema sio yake.
 
Sifa kuu za kiongozi toka CCM
Sio bure, nahisi ulilipiwa matibabu yako ulivopata ajali ya boda boda..omba japo starlet basi ili ukipata mzinga mwingine usiwe ww ndo bodi.
 
Kusema ukweli ndani ya CCM sidhani kama kuna mtu anaweza kumchallenge Lowassa kwa 2015. Ila ukinipa kama ni viongozi.. chaguo langu litakuwa Dr. Mohammed Shein. I think one of the best underrated leaders katika Tanzania. Ndio mtu pekee anayeweza kugombea akiwa na credential na kuweza kuwa Rais. Tena I can boldly say hakuna Mtanzania ambaye ataenda kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 mwenye qualification ya kuliongoza Taifa kama Shein. Tatizo lake ni lile lile ambalo wengine wanalo - ni mwana CCM. Lowassa hamfikii Shein kwa qualification za kiongozi.
Mzee Mwanakijiji, Dr. Shein ndio chaguo la JK, japo hata akisimamishwa yeye, bado tutapata mabadiliko ya kweli, tatizo vita vya udini vitakuwa vibaya kuliko vile vya 2010. Wakristu wa bara, hawatamchagua rais Muislamu for another term, hivyo mgombea Mkristo wa upinzani, atajipatia easy ride!. Sipendi tupate rais aliyepigiwa chapuo na kanisa! Tuendelee kupiga chapuo la Edward Lowassa tuu!, au hamtaki mabadiliko?.
 
Amesema hivyo ili tusimshtukie ..nakwambia soon utamwona mwanakijiji na makala marefu ku-divert public attention kujitayarisha kwa ajili EL

Ukishajua bei ya mwanaharakati inakuwa tamu sana
Mkuu ungekuwa unaifahamu JF vyema, basi usingejali kihivyo...
 
Kusema ukweli ndani ya CCM sidhani kama kuna mtu anaweza kumchallenge Lowassa kwa 2015. Ila ukinipa kama ni viongozi.. chaguo langu litakuwa Dr. Mohammed Shein. I think one of the best underrated leaders katika Tanzania. Ndio mtu pekee anayeweza kugombea akiwa na credential na kuweza kuwa Rais. Tena I can boldly say hakuna Mtanzania ambaye ataenda kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 mwenye qualification ya kuliongoza Taifa kama Shein. Tatizo lake ni lile lile ambalo wengine wanalo - ni mwana CCM. Lowassa hamfikii Shein kwa qualification za kiongozi.
Mzee Mwanakijiji, unaona mbali sana, Dr. Shein ni spotless hivyo kumtumia kama pacemaker, hatufai!. After all zile kampeni chafu za udini tulizozishuhudia 2010, zitagain momentum na ku triple, Wakristu this time watatoa tena ule waraka wao wa kuwahimiza waumini wao wamchague kiongozi mchaMungu. By that time I doubt kama Moses Kulola atakuwa na nguvu tena, Lusekelo and the like ndilo litakuwa chaguo la kumnadi Muislamu Shein hivyo kutoa easy ride kwa mgombea wa upinzani kama ni Mkristu!

Kwa vile 2015 tunataka mabadiliko ya kweli, Dr. Shein sio ideal candidate kwa sababu baba wa watu ni swala 5 kwa maneno na matendo, sijawahi sikia akimtukana mtu, sijawahi sikia akipokea rushwa, hana makuu, ni down to earth, asa a results, atapata kura nyingi za compassion na kuweza kushinda, tatizo la Shein ni moja tuu, hataweza kutuletea mabadiliko ya kweli tunayoyataka. Mtu wa mabadiliko ni Lowassa tuu!
 
Lowassa mchapakazi bwana, jamaa mkweli. Speech akiongea analeta muamko. Huwezi kusema leo anautajiri kiasi cha kulipa watu wampende ivyo, angalieni akienda sehemu anavyopokelewa na watu, kumbukeni alivyokuwa pm au waziri alivyokuwa anachapa kazi.huwezi tu leo ukasema kila mtu yuko kwenye payroll ndo maana tunamsifia ivyo. Katika viongozi wote, uliza nani hamkubali huyu jamaa.

Kwani nyerere ni mungu, alisema yale 95, ilikua political move tu, nakumbuka tulikua tunapiga ndogo ndogo for mkapa na ile statement ya nyerere ikabadilisha fikra za wengi, mkapa ndo alikua chaguo la nyerere na ndo maana akaongea yale. Ni sawasawa na mkapa 2005 kumfichia siri na kubadilisha sheria ili jk apite.

All in all, mi namkubali lowassa na nimchapa kazi sana, nasikia maendeleo ya monduli kiboko, natamani nfike huko nikajionee.
 
Mzee Mwanakijiji, unaona mbali sana, Dr. Shein ni spotless hivyo kumtumia kama pacemaker, hatufai!. After all zile kampeni chafu za udini tulizozishuhudia 2010, zitagain momentum na ku triple, Wakristu this time watatoa tena ule waraka wao wa kuwahimiza waumini wao wamchague kiongozi mchaMungu. By that time I doubt kama Moses Kulola atakuwa na nguvu tena, Lusekelo and the like ndilo litakuwa chaguo la kumnadi Muislamu Shein hivyo kutoa easy ride kwa mgombea wa upinzani kama ni Mkristu!

Kwa vile 2015 tunataka mabadiliko ya kweli, Dr. Shein sio ideal candidate kwa sababu baba wa watu ni swala 5 kwa maneno na matendo, sijawahi sikia akimtukana mtu, sijawahi sikia akipokea rushwa, hana makuu, ni down to earth, asa a results, atapata kura nyingi za compassion na kuweza kushinda, tatizo la Shein ni moja tuu, hataweza kutuletea mabadiliko ya kweli tunayoyataka. Mtu wa mabadiliko ni Lowassa tuu!

Shein c ndo atakua kapiga term moja tu, alafu hana nguvu ya chama wala ushirikiano na watu. Ni mtu wa kujifungia sana, huku bara hataweza kukimbiza tukamuelewa.

Shein is spotless bcoz hajawahi kuwa threat politically, hii ya zenji walimshika mkono wakampa form tu. Kwa pande zetu sisi wa huku i would prefer lowassa tena atukimbize kweli kweli tuachanae na kujiachia ivi. Its too much, tumelegea sana, tumelala mno.
 
Sio bure, nahisi ulilipiwa matibabu yako ulivopata ajali ya boda boda..omba japo starlet basi ili ukipata mzinga mwingine usiwe ww ndo bodi.
Patali, asante nimekusikia, boda boba ndio the only mode of transport mwandishi wa kijitegemea anaweza kuaford, hata hivyo ndugu, ukoo, jamaa na marafiki, wamechangishana na kuninunulia bajaj, hivyo msiwe na wasiwasi, sasa ni up grade kidogo kutoka kwenye bodaboda mpaka bajaj, na kama Lowassa atapita, basi mimi nitajitolea kuzunguka nae nchi nzima, ili kuipata ile posho ya hamsini hamsini, by the time kampeni inaisha, nadhani zitatosha kununua starlet used, nimeziona zinauzwa US $ 500 website fulani Japan!.

Tusaidiane wandugu ili Lowassa ndio awe mgombea wa CCM! mtakuwa mmepata mgombea safi, na wakati huo huo mmemuokoa mwana jf mwenzenu kujipatia kausafiri, usafiri wangu ni bodaboda, kutokana na hali yangu ya sasa, nimechangiwa hivyo natumia bajaj, Lowassa akipita, nitaweza kununua starlet kama alivyoshauri Patali!
 
Hahahahahahahaaha... Nice one, pole kaka, na mimi mniweke kwenye kampeni nitaongeza upate walau hadi 70 70..:ahahaha
 
Kwa nini Lowasa. Kwa kuwa anawabebea misalaba watu wengine? Kwa kuwa kaficha hili dogo la Richmond na utajiri wake usioelezeka akiipata IKULU yetu itakuwaje? Nafasi ya Urais bora tuipeleke Zanzibar kwa sasa ili tuwape muda wa kujitokeza Wabara wengine ambao hawana mawaa.
Pasco, tueleze Mwalimu alisema nini juu ya Lowasa. Tuache kwanza hii misalaba mingine mnayosema sio yake.
WildCard, kweli hili la Lowassa, nakuomba sana, usitukumbushe Mwalimu, please, utanitia uchungu!.

Tena ni mimi ndio nilifanye nae interview nae ya mwisho the Bundes House ya mjini Bern, mwaka 1998!.

Hivi angekuwepo na kusikia jinsi Mkapa alivyofanya biashara ikulu, angesemaje?.
Angekuwepo na kushuhudia jinsi JK alivyoigeuza ikulu ni pango la walanguzi, angesemaje?.
Unajua alisema nini kuhusu Azimio la Zanzibar?.
Maadam aliwahi kusema "CCM si Mama yangu, si Baba yangu", nashauri tumwache Mwalimu apumzike kwa amani, lets concetrate on Lowassa, sasa Tanzania tunataka mageuzi ya kweli!.
 
Kwani Lowasa kakwambia nataka kuwa raisi? au wabongo wamekuambia kuwa wako kkwenona wewe ye mchakato wa kumtafuta rais mpya? Mbona wewe ni mmbea kiasi hicho kama sio kiherehere. Lowasa kakupa bei gani ili uanze kumpigia debe?
there is everything in the names we a using!!! including yours and mine
 
Sio bure, nahisi ulilipiwa matibabu yako ulivopata ajali ya boda boda..omba japo starlet basi ili ukipata mzinga mwingine usiwe ww ndo bodi.

Patali.... why?? unauhakika sana na maisha yako na kila kitu eh??? haya bhana, wansema Mungu wa sasa kijana, unaweza ukabadnika vineno vyako hapa ghafla puuu.... na wewe mzinga
 
Kama sii UFISADI nadhani wapo watu wengi wanaweza kuwa viongozi bora CCM...Tatizo unapokiuka msingi mkubwa wa uongozi bora ni vigumu kusema nani ana afadhali maana huna kipimo tena zaidi ya sura na longolongo...Kiongozi bora lazima awe visionary, sioni Lowassa akiwa na sifa hiyo hata chembe zaidi ya imani za Umimi, kichawi na kusadikika..

Kama kuna mtu CCM amewahi kujieleza ama kuandika kitabu kueleza kwa nini Tanzania bado ni Maskini? I will consider him/her lakini maadam wote wanatumikia serikali ya Mubarak sii rahisi kumpata mbora toka hawa ni sawa na WaMisri walivyokuwa na matumaini na huyu mzee Prime Minister wao bila kujua kwamba bado wapo chini ya utawala wa kijeshi.. Dr. Shein may be good, lakini hatuelewi anayoyafanya Zanzibar, msukumo umetokana pengine na upinzani wa CUF, imewalazimu CCM wapelekee maendeleo ya kijamii Zanzibar japokuwa Ufisadi upo palepale..

Hivyo hata Dr.Shein anaonekana afadhali lakini - The state wealth ya Zanzibar haijaongezeka isipokuwa hiyo misaada ndio inatumika vizuri ipaswapo kuboresha maisha ya wananchi na bado wanaiba vile vile..Hata sijui nani ana nafuu kutoka CCM na siku zote kinachoendeleza nchi sio mtu bali vision inayoambatana na sera bora, nidhamu na uadilifu ktk utekelezaji. Ukipunguza moja hutapata mafanikio - na UFISADI unaua vitu vyote kabla hata hujaanza! and that's why til today for the last 10yrs tumeshindwa kuondoa jambo dogo sana -Tatizo la dharura (umeme) Dar...Tumeshindwa!
 
Tafuteni raisi wa Tanganyika, kwani inavyoashiria ni kuwa baada ya Kikwete Tanzania kutakuwa na raisi watatu, wa Tanganyika, wa Zanzibar na wa Tanzania, likishindikana hili basi ni kugawana mbao.
 
Back
Top Bottom