Ndiyo formula yake au??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Hivi nyie akina Mama nikwanini unapokuwa unatongozwa lazima unizungushee na wakati unajua fika utanikubalia kwa nini usikubali mapema tukaokoa mda??Yaani anakataa mpaka anachojoa!!Mpaka ikifika kwenye shina nakuanza lugha za mapendo ndiyo anaacha kukataa jamani mwe!!Sasa mimi sijui hii ndiyo formula yake kwamba lazima akatae au basi ndivyo mlivyo??Ngoja nisubiri mawazo yenu!:lol:
 
Hivi nyie akina Mama nikwanini unapokuwa unatonozwa lazima unizungushee na wakati unajua fika utanikubalia kwa nini usikubali mapema tukaokoa mda??Yaani anakataa mpaka anachojoa!!Mpaka ikifika kwenye shina nakuanza lugha za mapendo ndiyo anaacha kukataa jamani mwe!!Sasa mimi sijui hii ndiyo formula yake kwamba lazima akatae au basi ndivyo mlivyo??Ngoja nisubiri mawazo yenu!:lol:

lazima tuangalie kama una nia, japo saa zingine tunajua mnatamani lakini habari ndio hiyo
 
Kama ana nia na wadhamini wa kutosha unampa jimbo, au kwanza unataka wawepo wagombea wawili ili uone nani sera zake zinaweza kukunufaisha
 
unasikiliza sera zake kwanza halafu unzifananisha na za mgombea aliyemaliza muda wakekwa maendeleo ya jimbo ukiona zinalipa unapitisha :becky:
 
Tatizo mgombea aliyemaliza muda wake anaweza kumwaga tshirt na kofia halafu watu wakafumba macho na kumpitisha
 
...stak nataka raha!!!! ni jambo la kiakili zaid et ni katika kujitayarisha zaid...mwanamke anambinu nyng za kuvuta hisia ili awe active panapo tendo husika !!!!!!!!!!
kwaiyo wewe KAKAKIIZA km mliingia chumbani saa 5 asubui akaanza stak nataka zake bas we yakupasa umsikilizie tu mpaka sa atakapomaliza ata km saa 10 we subiri tu
labda cha kumwomba apo ni asummarize ayo manjonjo yake!!!!!
au km unaweza akianza izo stak nataka zake zisizoisha bas we shika mkombot wako then unamwambia ukimaliza mama nishtue........hahahaahah m kidng bwana!!!!!!!!!!1mpe sapot bwana wakat anadeka deka ivo bt if its too much madeko we sepa bwna!!!!!!
 
Rose1908 hebu ni pm ili tuone tunafanyaje nataka nione na wewe kama una kashkash kama hizo ulizozitaja hapo, unajua practical ni nzuri sana au unasemaje
 
usishangae wengi ni mpaka akawaulize mashoga zake, au akufanyie research kama una mpunga wa kutosha, siku hizi hela tu.
 
Hap ndio huwa wananifurahisha utafikiri wanataka kushare ndio maana hata INFI haiwezi kuisha
 
hahaha!hah! babu weeeeeee unitue mwana wa mwenzio!
unataka ukanichek afu kesho uje uwaadithie makutano ?holaaaaaaaaaaaa!!!!!!
misiwez bwana mambo izo zilikuwa form twoo enz izo bt nw m big dadaa 27 yrs hainiruhuisu mimi kuplay swaga izo za stak nataka
ni kwamba nikijua tunaelekea kunako pambano rafiki bas naanza kusaula kwenye gari ...........nikifika kule ukumbin nakuwa READY TO KILL ....ndo kwanza nakuimiza wewe ..vp bwana vua basi mbona ivo cz wewe FINEST MDO UTAKUWA UNAMBWELA MBWELA KUVUA vz una aibu...........m kidng bwana msije mkayasimamia bure maneno yangu!!!!!!!1
mh babu wee mbona umenifanya niongee ya sandukuni>????
 
Ndio maana nilikwambia uni PM ni du ze nidful kwako mbona unanichokoza asubuhi yote hii siko mbali na kompyuta yako ukae ukijua halafu mwisho wa wiki hii tuna kikao kwahiyo nitafurahi kama utakuja kuhudhuria.
 
mmh mpendwa mbona nahisi kuna kahibilis kanataka kukunyemelea?
u do the nidful?mh tokapa na ushindwe katika jina la yesu
ako kapepo naona kako chalinze kanakujia so b read in count t
kamsaidie roy kuchinja kajogoo kake!!!!!!!!!
 
Nataka tufanye maombi pamoja, Roy mwenyekiti wangu bwana huyo siwezi kumuangusha
 
ahh km roy included then stak
may b ur freemansor prayer if na roy ndan
stak mie
ntawaombea mwenyew tu na mtapata effect yake bt kukaa pamoja na wanakondoo weus km nyinyi kufanya maomb pamoja hahaahahah stak mie!!!!!!!!!
 
Mianamke ni mijinga.
Sitaki nataka ndio tafsiri yao
hivi nyie akina mama nikwanini unapokuwa unatongozwa lazima unizungushee na wakati unajua fika utanikubalia kwa nini usikubali mapema tukaokoa mda??yaani anakataa mpaka anachojoa!!mpaka ikifika kwenye shina nakuanza lugha za mapendo ndiyo anaacha kukataa jamani mwe!!sasa mimi sijui hii ndiyo formula yake kwamba lazima akatae au basi ndivyo mlivyo??ngoja nisubiri mawazo yenu!:lol:
 
hahaha!hah! Babu weeeeeee unitue mwana wa mwenzio!
Unataka ukanichek afu kesho uje uwaadithie makutano ?holaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Misiwez bwana mambo izo zilikuwa form twoo enz izo bt nw m big dadaa 27 yrs hainiruhuisu mimi kuplay swaga izo za stak nataka
ni kwamba nikijua tunaelekea kunako pambano rafiki bas naanza kusaula kwenye gari ...........nikifika kule ukumbin nakuwa ready to kill ....ndo kwanza nakuimiza wewe ..vp bwana vua basi mbona ivo cz wewe finest mdo utakuwa unambwela mbwela kuvua vz una aibu...........m kidng bwana msije mkayasimamia bure maneno yangu!!!!!!!1
mh babu wee mbona umenifanya niongee ya sandukuni>????
kila nikiingia kwenye jukwaa hili lazima jogoo akorome kama simba dume
 
...stak nataka raha!!!! ni jambo la kiakili zaid et ni katika kujitayarisha zaid...mwanamke anambinu nyng za kuvuta hisia ili awe active panapo tendo husika !!!!!!!!!!
kwaiyo wewe KAKAKIIZA km mliingia chumbani saa 5 asubui akaanza stak nataka zake bas we yakupasa umsikilizie tu mpaka sa atakapomaliza ata km saa 10 we subiri tu
labda cha kumwomba apo ni asummarize ayo manjonjo yake!!!!!
au km unaweza akianza izo stak nataka zake zisizoisha bas we shika mkombot wako then unamwambia ukimaliza mama nishtue........hahahaahah m kidng bwana!!!!!!!!!!1mpe sapot bwana wakat anadeka deka ivo bt if its too much madeko we sepa bwna!!!!!!

afazali yako we dada angu huwa huna madeko mengi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom