Ndivyo itakavyokua..!

Mkuu wa kaya na ye wapi jamani?

mkuu wa kaya bhana hakuna kujadili hata yeye anajua akija tu anapata makofi kadhaa alafu mwenyewe bila kuambiwa anajinyookea kiulaiiiiniiii pande za kushoto
 
Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni,
MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa la moto.
MANGI:Sawa bosi,
Wana JF wote walioshiriki kuwaponda wachaga....KUSHOTO....,
wana CCM wote KUSHOTO....
Wachaga wote KULIA...
Wana CHADEMA KULIA.,
Osama KULIA...
Obama KUSHOTO...
Saddam KULIA...
J.K KUSHOTO...
Slaa na kabwe KULIA...
Ila nafasi ya kuingia uzimani ipo,ni wewe tu kunitoa na kiasi chochote cha fedha

meku...!
meri chatanda?
blandina nyoni?
lucy nkya tapata feva ya uchaga (kwa mujibu wako)
haji mponda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom