ndio..nimeoa na nampenda mbayaaa mke wangu

Sasa kwa nini ulioa, wakati starehe hujamaliza, kha mie ndo maana mahusiano yamenishinda,

ushawahi kujiuliza kwanini watu wanaoa au kuolewa?...concept behind marriage imeanzia enzi za uumbaji wa dunia pale Sir GOD alipomcheck ADAM akagundua huyu bwana anahitaji MSAIDIZI...akamuumbia EVA....

so eva kama mwakilishi wa wanawake ni "msaidizi" wa mwanaume...sasa ndoa au unapo-oa/kuolewa ni kutimiliza hii concept ya msaidizi...starehe zipo na hujakatazwa ku-starehe hata kama umeoa...sasa kaka kama unaamini kucheat ni kufanya starehe...unaweza pia kuamini kuwa ku-cheat ni suala la kuwa na "msaidizi wa wife wa pembeni"...ni maoni tuu wadau
 
jaribu kumshinda shetani

Kwanini unataka kumshinda shetani???...unamfahamu vizuri shetani??...Shetani ambaye zamani alikuwa ni malaika wa karibu sana na mungu alikuwa akiitwa Lucifer...walipotofautiana na mungu (kuasi) mungu akamtimua peponi pamoja na wafuasi wake...

so its like SHETANI SIO MBAYA KAMA WENGI TUNAVYOFIKIRISHWA AU KUBALISHWA KUAMINI HIVYO..dont believe everything u read in books and papers too...Hii issue niliyoitoa sio issue ya kumuhusisha shetani..he's bussy somewhere doin his big things...

hii issue ipo katika misingi ya ukweli wa nafsi ya mtu husika...wewe kuona na kumtamani ulemwona na kumwambia naye akakupa green light inahitaji shetani hapo??...anyway huo ni mtazamo wangu banaaa
 
eti nampenda mbaya mke wangu, nini maana ya UPENDO??? aggrrrrr nini maana ya UPENDO jamani???? eeeh, upendo uvumilia, upendo hauhusudu, upendo hautamani, etc

unasema unampenda mkeo huku unaparamia vimada njee, shame on you:A S angry::A S angry:

ikundaaaaa...naaamini ww ni mwanamke na umeolewa then unaye mme wa ndoa unayeamini kuwa anakupenda sanaa...pia naamini ni mtanzania na umelelewa katika maadili ya kiafrika...

ushawahi kujiuliza kipindi kile umejifungua mzazi unalelewa na kufanyiwa mambo ya kiafrika kabla hujaanzaa kufanya mapenzi na mmeo huyo MPENDWA MMEO HUWA HAFANYI MAPENZI NA msaidizi wako??...au ni kwa vile mie nimeongea ukweli hadharani ndio nalaaniwa kiasi hiki?...

ukirudi nyumbani muulize mmeo kama huwa anajichua kukusubiria utoke likizo ya uzazi aanze kula tunda lako tuu..au huwa anatoka out anajisevia kisha anafuta/pangusa mdomo na kurudi home soo fresh sooo cleannnn...TAKE CARE MAMAAA...huu ni ukweli ambao wanawake wengi huwa hampendi kuujua/kuambiwa.
 
ushawahi kujiuliza kwanini watu wanaoa au kuolewa?...concept behind marriage imeanzia enzi za uumbaji wa dunia pale Sir GOD alipomcheck ADAM akagundua huyu bwana anahitaji MSAIDIZI...akamuumbia EVA....

so eva kama mwakilishi wa wanawake ni "msaidizi" wa mwanaume...sasa ndoa au unapo-oa/kuolewa ni kutimiliza hii concept ya msaidizi...starehe zipo na hujakatazwa ku-starehe hata kama umeoa...sasa kaka kama unaamini kucheat ni kufanya starehe...unaweza pia kuamini kuwa ku-cheat ni suala la kuwa na "msaidizi wa wife wa pembeni"...ni maoni tuu wadau

aaah! Hivi hii issue ya uaminifu unaielewaje wewe
 
Nahisi ndoa yako ni kama familia ya paka... baba, mama, watoto wote wana sharubu... umeumbwa uvishinde vishawishi... na si vikushinde wewe!! Kubaliana na mwandani wako muannze kuhudhuria swingers' parties.
 
nakwambiaje????????huyu ni wa kusemewa tu kwa mkewe na apewe talaka hafai hata kidogo lol!!!!!!:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
Sikutegemea swali kama hili kutoka kwa Who Cares kweli umdhania ndie kumbe sie
haya bwana endelea na matamanio yako:doh:
 
jamani matamanio yapo sema tunatakiwa kujizuia sana na tukishindwa tutumie kondomu ili kuepusha majanga kwenye familia yako mie uwa napata akili kuwa nimetereza baada ya kumaliza pambano. Ila uwa najuta sana kutoka nje tatizo kujizuia ndio siwezi ingawa najitahidi sana niache. Kuna kipindi naenda kanisani kuomba ili niache kupenda nje ya ndoa matokeo yake humo kanisani tena naanza kutamani mademu yaani ni kizunguzungu tupu:bowl:
 
Haya mambo kila mtu ana utashi wake kufanya au kuacha...
 
WC,

Mimi naamini unajali.... hivi huyo unayemwita shori.....vipi angekuwa ni mkeo , dada yako, binamu yako.. Halafu mtu alieoa akamtaka UNGEJALI AU USINGEJALI ? Ungefurahi kwamba basi hiyo ni fastafasta kama ulivyosema... Je mkeo angekubali na vilevile na yeye anakupenda mbaaya?

Wacha hizo za kuona wanawake kama chombo, kumbuka unapofanya zinaa unafanya juu ya mwili na unaita adhabu ya mbingu juu yako, halafu unadai unampenda mkeo...... Huna mapenzi yoyote, mwenye upendo hana ubinafsi kama unaonyesha wa kujali nafsi yako, bila kumjali mwanamke unayempenda, taasisi ya ndoa aliyoiarifu Mungu mwenyewe.

Kumbuka mwanamke ni sehemu ya mwili wa mwanaume, kama hujaweza kudhibiti tamaa unahitaji kufunguliwa kimaombi ili ulishinde pepo la ngono linalozunguka katika ndoa kwa lengo la kuvunja ndoa yako hiyo.. Utubu na kutoipa nafasi hiyo dhambi , muda si muda utakuja humu JF ukiwa mdomo juu na kilio cha ndoa.... mimi sipendi uathirika wa ndoa..... Kamuombe mkeo radhi ili uweze kurudi kwenye upendo wa dhati.
 
jana napiga mdogo mdogo joint ya karibu na home sasa akatokea shory mmoja nikamnunulia kilaji nikamwomba contacts si akang'aka ohhh wee umevaa ring umeoa...nikamwambia kweli nimeoa na nampenda sana mke wangu ila tamaa na matamanio yangu ya mwili ndio yananifanya ni-test utamu wa penzi lako yani ile kitu ya fastafasta..alikuwa kidoogo mgumu kunielewa ..ila hapa wadau hoja ya msingi ni kuwa "kwanini mabinti wanajibaraguzaaa ile kukubali kuwa mwanaume akioa sio mwisho wa matamanio kwa wanawake wengine??"..ndio nimeoa na nampenda mbayaaa mke wangu

sasa umeoa na unampenda mbaya mke wako nataka nikuulize swali kwanini umeoa?.ukishajibu nitakupa dokezo
 
hata akizini na bata dhambi ipo palepale
ahahahaa!! acha uhuni wewe, binadamu anazini na mwanamke au mwanaume!! mambo ya mabata hayakuongelewa kwenye kile kitabu bana!! not a line i can remeber off my head anyway!
 
ahahahaa!! Acha uhuni wewe, binadamu anazini na mwanamke au mwanaume!! Mambo ya mabata hayakuongelewa kwenye kile kitabu bana!! Not a line i can remeber off my head anyway!

kuna wadamu wanawabaka wanyama je si ndio kuzini nao huko?.
 
Yaani kama kungekuwa na 'malaika' wengi kama 'ninaowaona' hapa ukimwi tungekuwa tunausikia kwa wenzetu tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom