ndio ndoa hizi

hicho kiliwauzi sana kaka zake, lakini hawana la kufanya, juzi alivyozinduka akauliza jamani nipo wapi na nafanya nini? mke mwenzangu akamjibu"" upo hosp unamfumania baba nanilii lakini hujaukubali ukweli""...haaa ilibidi nitoke nje kwanza...

alimwagia moto mafuta mbona ulienda kuchekea nje?
 
Yaani wewe kati ya wanawake naowakubali humu wewe ni namba 1. Unaujua ukweli na unausimamia. Mme wako ana bahati sana. leo ukirudi nyumbani mpigie makofi matatu. Mkilala mbarikiwe upate mimba ya mapacha. Sema AMINA.

hapo no!!!!!!!!!!!!!
 
hahahaha!
TATIZO LAKO WE UNAJUA HAPO UTAKUTANA NA penakode...!
hiyo hiyo confessions na denials ndo nilitaka uone,na uone waliochangia na uilinki na hii sredi
kati kati ya mstari sasa....!heheheheheh!
''...TULIFURAHI PAMOJA,TUKATESEKA PAMOJA,NA TUTASHINDA PAMOJA...''

AAh kumbe mi nilikariri nikajua ntakuta LMA huko n stuff!!
 
Nyamayao ila huyo mme wa wifi yako inaonekana ni mtaalam wa haya mambo alikuwa anafanya kwa siri..mungu kaamua kumuumbua
 
hahaaaa me by now kwishnei kabisa wala sitanii!!! huwa napata mawenge hata nikihisi tu naibiwa........mpka naendesha kwa kihoro lol!!



una shughuli pevu mbeleni...nilivyorudi na mtuhumiwa kutoka lunch yani mama alinikata jicho la "shika adabu yako"...lol, kaka mtu ananiuliza kwa jazba ulienda wapi na nani? namwambia fulani alinipeleka lunch ndio tunarudi hivyo.."" umekuja kupelekwa lunch au kuuguza"....nikamwambia mtu akiuguza nae afe na njaa?..."" kwani uliniambia unataka kwenda lunch nikashindwa kukupeleka mpaka uende na huyo?"......nikamwabia tofauti zenu hazihusiani na mie kupelekwa lunch bwana..... yaani wanataka kama watu wote tumtengee jamaa vile...
 
Duh mtapigwa ban nyie na familia zenu.....
127 ni total number of voters (81+46)

ratio ni 63.78% v/s 36.22%
Ngoja nianze kutabiri. Kwenye 81 wapo......Teamo, Asprin, Roya Roy, De Novo, Kaizer, Fidel,Bigirita,GP,Kimey,Maxence Melo, Maskini_Jeuri...............

Kwenye 46: FL1, Nyamayao, Charity, Carmel,Bht,Lily Flower,Preta,GS,JS,MJ1, Mom.Katerelo,Noname.............

Damn! sasa hiyo 63.78% inai nfidelatize na kina nani? Wanawake bana...........Haya bana!
 
Nyamayao ila huyo mme wa wifi yako inaonekana ni mtaalam wa haya mambo alikuwa anafanya kwa siri..mungu kaamua kumuumbua

sana tuuu...nilijua mengi sana nilivyopelekwa lunch...mwanaume c ndugu yako aisee.
 
Ngoja nianze kutabiri. Kwenye 81 wapo......Teamo, Asprin, Roya Roy, De Novo, Kaizer, Fidel,Bigirita,GP,Kimey,Maxence Melo, Maskini_Jeuri...............

Kwenye 46: FL1, Nyamayao, Charity, Carmel,Bht,Lily Flower,Preta,GS,JS,MJ1, Mom.Katerelo,Noname.............

Damn! sasa hiyo 63.78% inai nfidelatize na kina nani? Wanawake bana...........Haya bana!


kwani kwenye hiyo 63% hakuna wanawake??? basi ni wenyewe kwa wenyewe lol!!!
 
Ndoa au mahusiano hayana ukawaida, na mbaya zaidi kusemea mioyo ya wenzi wenu! Mi nadhani hiyo haina tatizo, cha msingi mshkaji kama bado anampenda bibie warudi wasongeshe maisha yao, ilikuwa ni zoezi la kuchukua uzoefu toka kwa KUKU WA KIENYEJI!

mama kashanunua ugomvi, jamaa anasema mie nawackiliza wao lakini hakuna jipya nililofanya ambalo hata hao ndugu zake hawajawahi kulifanya, hapo mie ni coz nimefanya na ndugu na waniulize nilianzanaje na ndugu then nitawapa jibu...haaa nilibaki nimetoa jicho na hivyo nilikuwa nimepiga tusker za kucndikiza lunch haaaa.....
 
ni yeye aliekuwa natuambia kaka zake wanatu cheat coz sisi wake zao hatuwa handle/wajali kama inavyopaswa ndio mana wanatoka nje, yeye mume wake hawezi kutoka nje coz anampa kila kitu anachostahili kupewa na mkewe ""mie huwa nashangaa sana kila wakati mkalalama kaka zangu wana cheat, kwanini hamjiulizi why wanawa cheat ili mrekebishe tatizo?..mwanaume mwenye kujaliwa na mkewe hawezi kum cheat hata cku 1"...ni maneno ya kashfa ya mdogo wake na mr aliyokuwa anatuambia wakati kaka zake walipokuwa wanatufanyia maruwe ruwe... huwa anasema mume wake ni kwa ajili yake tu, na kila binadamu anaewajua huwa wanajua kwamba wao wawili wameumbwa kwa matumizi ya wao wawili tu, ni j5 nimefika home ucku, cm ya mr inaingia mtu anash2ka kuambiwa dadake yupo I.C.U.... ni kwamba alikuwa safari kikazi dar, nia yake arudi kwake arusha kwa kum surprise mumewe, kafika home kaingia sitting room kamkuta mume na binti anaemsaidia kazi hapo home (ni binti wa mjomba wake kabisa) wapo dunia nyingine, kabisa, wifi alipiga yowe na kuzirai hapo hapo, kakimbizwa Selian hosp muda mfupi kahamishiwa I.C.U...alhamic nilifunga safari kwenda kumuuguza coz mama mpaka atoke shy, maendeleo sio mabaya jana katolewa I.C.U, asubuhi nilimcal mke wa mdogo wake mr ambae ndio anamwangalia kwasasa akasema mambo sio mabaya, kilichonishangaza ni jana asubuhi kaamka vizuri na kuanza kutuomba hayo mambo yaishie kifamilia hataki ma colleague/majirani wajue hilo jambo coz hawatamuelewa na wanajua mr wake ni mwema/safi kabisa na hata hivyo juzi ameteleza tu"... mr jana ndio kajitokeza hosp binti hajulikani alipo, mke anasema bado anampenda sana mumewe, mama amefika jana anasema hataki mtoto wake arudi kwenye hiyo ndoa, makaka wanatutolea macho tu, wakati wenzie ndio tumemaliza misuko suko kama hiyo yeye ndio anaianza tena kwa vibaya kabisa, unaingia moyoni kwa mtoto wa mwanamke mwenzio ukiwa umevaa kandambili mchezo? .....nitarudi.

...hahaha!... utetezi mwingine bana, nakumbukia 'thread' ya teamo!
Ameteleza tu huyo Nyamayao, muombeeni msamaha.
 
mama kashanunua ugomvi, jamaa anasema mie nawackiliza wao lakini hakuna jipya nililofanya ambalo hata hao ndugu zake hawajawahi kulifanya, hapo mie ni coz nimefanya na ndugu na waniulize nilianzanaje na ndugu then nitawapa jibu...haaa nilibaki nimetoa jicho na hivyo nilikuwa nimepiga tusker za kucndikiza lunch haaaa.....

aisee huyu baba ni mtaalamu hasa, keshapanga na majibu na anaona kosa lake moja kutoka na ndugu basi! bahati nzuri huyo mkewe keshayasamehe yote, aliteleza yani hataquestion chochote!
 
kwani kwenye hiyo 63% hakuna wanawake??? basi ni wenyewe kwa wenyewe lol!!!
Tatizo ni kwamba wanawake huwa hawasemi ukweli kwenye mambo ya infidelity!! Unaweza kukuta anayebisha na kulaani sana infidelity anagawa shimo kama zawadi!!!
 
Surprise unajikuta ICU, ana bahati kweli huyo bibie!

Mungu tunusuru, waume zetu tuwapende na kuwaombea whatever they are doing should remain to be a secret.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom