Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Maalim Jumar, Oct 5, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Hi JF!.
  Nimelichunguza mda mrefu...hatimae nimegundua hili: kwa kua njia ya upatikanaji ni rahisi ya watoto ndio maana wamejaa mitaani.

  -unae mke nyumbani lakini unae mwingine mtaa mwingine achilia mbali unaefanya kazi nae.
  -mkeo akiwa mja mzito haupo karibu nae ...kumbe unae anaekupunguzia uzito.
  -ukiwa unamiliki usafir utaekua ukimpa lift kusogeza kazin huyo nae atakusaidia kupunguza uzito...siku ya siku atakupatia zawadi ya kabebii.
  -......................
  -......................

  Endeleza na wewe:
  Tuchangie mtaona ndio sababu ya hawa damu zetu tunazozikana huku zinataabika mitaani.
  Nawasilisha!.
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Damu zako na si zetu!
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,693
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Hebu geukia na upande wa kina dada pia!
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 15,890
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 63
  Kuna mengi zaidi ya hapo.
   
 5. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  .....jamani!
  Mimi nimeanzia hapo na nyie mwaweza elezea hapa ili tuone hizo damu mitaan ......
  Sababu zake ni wepesi waupatikanaji wa hao watoto tu!.
   
 6. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Basi damu zao!
   
 7. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Mimi nimeanzie na hawa baba za hawa vijana ....!
  Nawe weka upande wa hao dada.
   
 8. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Weka hapa!.
  Usifiche haya mambo ni hatari kwa kweli.
   
 9. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  no! basi damu za maalim juma!!
   
 10. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Nmeogopa kukugongea kitufe cha Thanks!
  Nmecheka kweli hapo.
  Ha ha ha ha ha !.
   

Share This Page