Ndio maana napenda saaaaana kuangalia huu mchezo

KIMBURU

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
210
189
IMG_2675.JPG IMG_2696.JPG IMG_2703.JPG
 
tuseme wewe unapenda kuona pakiwa pamefunikwaaaaa au pakiwa waaaaziii..? mana sijakupata shekh wangu hapo..!
 
mchezo wa netball ulianza kupoteza umaarufu baada ya kuanza matumizi ya skin tight.nakumbuka enzi zile nasoma tambaza kabla hatujatimuliwa, wakati wa UMISETA tulikuwa tunajaa sana kwenye viwanja vya netball pale jangwani sec tena tunacheki game tukiwa tumekaa chini huku tukiacha kwenda kushangilia timu yetu ya mpira wa miguu
 
Kimburu unahitaji wokovu, nakushauri uende kwenye kanisa la Wokovu (Kakobe, Mwingira, Lwalkatare, Gwajima etc) uombewe, nahisi umetupiwa jini mahaba la kutoka Pemba!!!
 
Mnanikumbusha shimiwi,kuna dada wa uhamiaji hua anavaa ch*** tu!siku ya mechi ya ful watazamaji!
 
Back
Top Bottom