Ndg yangu amepanga kuiibia serikali

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
He's holding a certain position in gvt where he can manouvre vijisent. Ktk hali isiyo ya kawaida ameingizwa town na wafanyakazi wengine wa serikali/polisi eti gari lake lina outdated insurance. Akalipa eti ni faini tsh 500,000/=. Alipoomba lisiti kaambiwa ataletewa huku wanaondoa gari lao. Jamaa ameachwa palepale anatafakali gvt anayoitumikia! Kumbe serikali ndivyo ilivyo. Ameondoka kwa hasira akaelekea ofcn kwake kupokea wateja na kukusanya mapato ya serikali. Huyu jamaa anyamaze kimya au nae awalize wtz wengine? Nawasilisha.
 
Inaonekana kama umeandika kitu kilichokutokea wewe mwenyewe!.
 
He's holding a certain position in gvt where he can manouvre vijisent. Ktk hali isiyo ya kawaida ameingizwa town na wafanyakazi wengine wa serikali/polisi eti gari lake lina outdated insurance. Akalipa eti ni faini tsh 500,000/=. Alipoomba lisiti kaambiwa ataletewa huku wanaondoa gari lao. Jamaa ameachwa palepale anatafakali gvt anayoitumikia! Kumbe serikali ndivyo ilivyo. Ameondoka kwa hasira akaelekea ofcn kwake kupokea wateja na kukusanya mapato ya serikali. Huyu jamaa anyamaze kimya au nae awalize wtz wengine? Nawasilisha.

Huyo ndugu yako akapime akili kwanza . La sivyo inawezekana hata hiyo garii yake ni ya wizi ndio ndio maana hajiamini kiasi Polisi wanamchukulia hela kirahisi rahisi. La sivyo basi kwake kutoa rushwa ya 500,000 sio kero na si mara ya kwanza ....

Vile Vile ama anatoa 500,000 inaonyesha na yeye ni mpokea rushwa mkuu wala haitaji ushauri. Ila mtahadhirishe tu mwambie siku zake zinahesabika. Siku anatoa au anapokea atakamatwa tu.

Back
Top Bottom