LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Wenyeji wanne Mkoani Manyara wilaya ya simanjiro wamepoteza maisha juzi ktk juhudi ya kufunga pampu ya maji ktk shimo walilolichimba ili kujinusuru na ukame unaoikabili maeneo hayo. Ktk hao marehemu wawili ni mtu na mdogo wake na chanzo inaeleza wamekosa hewa wakati wakiwa humo shimoni. SOURCE: M/kiti wa kitongoji husika.