Ndevu zitaniharibia uhusiano wangu.

ha ha ha, umenifanya namuona huyo mtu wako kama beberu, afu anamsogelea jike anaamza zile kelele za be be be be ruuuuuu.

Unajua anavyokuwa sijui anamnusa, sijui tomasa? Ila kuna kitu huwa anatafuta mkiani kwa jike lol
 
Na zikiwa kidogo sana mnasema
'tofauti ya mwanaume na mwanamke hakuna'
sasa ilimradi sijui tufanyaje ..

Yaani nimekoma kuwafuatisha hawa viumbe..
Ukiziachia ooh zinaniwasha..ukizinyoa ooh zinanichoma..
Duh..ninafanya sasa kwa nafsi yangu tu!!!
 
si umwambie tu kuwa hizo ndevu zinakuchoma, mapenzi sio karaha ati kisa cha kuchomwa ni nini?
 
Yaani nimekoma kuwafuatisha hawa viumbe..
Ukiziachia ooh zinaniwasha..ukizinyoa ooh zinanichoma..
Duh..ninafanya sasa kwa nafsi yangu tu!!!

We mfuatishe wa kwako comments za wengine ni kuharibiana siku. Kama wa kwako hazipendi nyoa, tatizo litakuja kama wapo wengi wenye interest tofauti itabidi uchague mmoja wa kumsikiliza.
 
Mapenzi yana rangi nyingi aisee..
Juzi kaja mtu hapa anasema yeye bila ndevu hajisikii raha..
Wewe leo tena ndevu ni kero...lol
Sasa sijui tufanyaje sie wajukuu wa Osama!!

Ndo maana na picha yake ingewekwa tungejua. Wabongo ndevu zenyewe zinaanzia ukubwan mbaya zaid wengine hadi30 bado hawana. Ila wenzetu ngozi za ugaibuni kuzaliwa tu Imo...
 
We mfuatishe wa kwako comments za wengine ni kuharibiana siku. Kama wa kwako hazipendi nyoa, tatizo litakuja kama wapo wengi wenye interest tofauti itabidi uchague mmoja wa kumsikiliza.

Hapo kwenye bold kama ulikuwepo aisee..
 
Hata akinyoa wengine yanabaki manundu na yanachoma sana!!! Mpige chini tafuta ambaye hana ndefu
 
Mwanaume bila ndevu nahisi atakuwa siyo!! we unayechukia ndevu una lako jambo!!! jifunze kuzipenda utazoea
 
Back
Top Bottom