Davie S.M
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 748
- 228
Ndesanjo Macha ameibuka mshindi katika mashindano yaliyoendeshwa na Highway Africa http://www.highwayafrica.com/ .
Ushindi huo ameupata kutoka katika taasisi inayoheshimika sana duniani na ni heshima kubwa kwa Ndesanjo.
Check kazi za Rasta (Ndesa)
http://www.globalvoicesonline.org/author/ndesanjo-macha/
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums