Elections 2010 Ndesamburo, Mbowe, Shibuda, Mpendazoe, Zitto vipi?

Sir John

Senior Member
Aug 19, 2010
177
1
Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls!
Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao?
 
Ndesamburo,mbowe tayari wameshachukua, habari kamili leo jioni. ccm wamepata kata tatu tu kati 20 moshi mjini.
 
Back
Top Bottom