Ndesamburo afutiwa kesi ya Uchaguzi Moshi Mjini!

namwomba ndesa, kama mwenyekiti wa cdm kilimanjaro ahakikishe kwamba majimbo ya same mashariki, vunjo, moshi vijijini na siha yakuja cdm kwasababu kwa sasa hivi wananchi wa haya majimbo wanaikubali cdm, hasa katika jimbo la vunjo ambalo lilipotea kwasababu john mrema alichelewa kujitambulisha kwa wananchi.na uzembe kama huu usirudiwe tena katika jimbo lolote, ni vyema kila menyekiti wa mkoa akahakikisha anaandaa wagombea ubunge wasiopungua wawili katika kila jimbo na kuhakikisha pia kila kata ina wagombea wa udiwani kuanzia sasa.

naomba kuwakilisha.

nakuunga mkono mkuu uzembe na kulewa sifa za kijinga ilipelekea kukosa majimbo hayo lakni matokeo ya last election yametufundisha.
 
Back
Top Bottom