Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

Usiwe na mawazo mgando,hizo ndege zinaweza speed up our multiplier effect ona watalii wakija bongo direct tutapata mapato ambayo yaweza kuwa directed into infrastructure like road constr,water, electricity etc
 
Bibi yako anachangia nin kwenye hii nchi...hata kodi tuu halipi sasa hiyo barabara yanini
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Ukiwa na mawazo mafupi ndio utafikiria hivyo na ukiwa mbinafc ndio utafikiri hivyo msaada wa ndege sio lazima apande bibi yako kama bibi yako au ww hauna uwezo watapanda wenzio na mapato ya hapo ndio yatamsaidia bibi yako kipata lami kijijini dawa mahospitalini na mengine mengi
 
Na wewe unajiitaGT?
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Huyo bibi yako akiona ndege anatimua mbio. Apande punda tu ndio saizi yake
 
Huyo bibi yako mwenyewe kazoea kupanda punda au fisi sasa akiona ndege anatimua mbio mwache apande punda na fisi. Hatuwashangai nyie maana huyo bibi yako kuwa hai mpaka leo ni bahati yake maana mnawaua. Bado washamba sana nyie. Itsmsaidia bibi yako siku mkiacha kuwaua. Fankuuuuuuuuro
 
Nadhani mtoa mada alikua anamaanisha wale Watanzania Wanyonge. Kwa maana ya priority ni nini kwa Watanzania walio wengi. Bibi hapo amewakilisha tabaka la wanyonge.
Ni priority za watanzania wepi unazozungumzia? Kwani mahitaji ya watanzania wote yanafanana?
 
Wewe ndo unatakiwa kumsaidia bibi yako kule kijijini.. Alahh unataka asaidiwe na ndege?
 
Kwani haya mabasi ya mwendokasi yanamsaidia vipi bibi yako huko kijijini,au maandamano ya UKUTA yanamsaidia vipi bibi yako huko kijijini.
 
Kwani haya mabasi ya mwendokasi yanamsaidia vipi bibi yako huko kijijini,au maandamano ya UKUTA yanamsaidia vipi bibi yako huko kijijini.
Vichaa wanaongezeka sana tanzania! Swali juu ya swali,mbaya zaidi mi naongelea ndege ajabu wewe unakuja na habari za mwendokasi na Ukuta
 
Uliza pia hostel zinazojengwa chuo kikuu cha Dar es salaam zinamsaidiaje bibi yako. go Magufuli maneno ya watu yasikurudishe nyuma na jitihada zako za kweli kweli...
Acha ujinga ndugu. Hostel hizo wanakaa watoto wa maskini toka pande zote za nchi yetu.
 
Back
Top Bottom