Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

Kweli Nabii hakubaliki kwao, Watu wanaongea sana nonsense kuhusu hizi ndege kisa tu ndege zimenunuliwa, si ajabu watu wakaendelea kuzihujumu hizi ndege ila JPM aonekane hajafanya kitu!

Yaani kuna watu wana roho mbaya kuliko shetani
 
Nani kakwambia kipimo cha vipaumbele vya nchi ni mahitaji yako na bibi yako? Au kwa vile wewe na bibi yako hamna uwezo wa kupanda ndege basi usafiri wa ndege ufutwe?
Ungemshauri akae kimya tu yeye na bibi yake watapanda ungo unawatosha!! Mxxxius!! Sielewi sisi watanzania nani katuroga au tunaenda shule kufanya nini!!? Mtu anaweza kukurupuka na comment ukiisoma nusra uzimie!!
 
Jibu la YES .... baada ya swali ulilouliza .... "Je ndege hizo zina mchango wowote kwenye kukua kwa uchumi wa nchi? ... lilitakiwa liwepo ili kutengeneza nguvu ya hoja yako ..... then alama (?) hapo ktk aya ya chini isingekuwepo ili kuendelea kumuelewesha vyema huyo mtoa mada pia kujenga POSITIVITY ARGUMENT
JF is supposed to be the Home of Great Thinkers. Mtu anauliza swali. Unaweza kumjibu kwa swali ili ajue kitu gani azingatie.
 
Kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa multiplier effect, kwanini iwe ndege na sio bandari, hoteli za kitalii, treni, kampuni ya TTCL nk. kwa mfano serikali imechukua asilimia 35 zilizokuwa zinamilikiwa na Bhatti ambao ni wamiliki wa Airtel waliokuwa wakiwa sehemu ya umiliki wa TTCL je ununuzi wa hizo hisa uliogharimu zaidi ya billioni 15 unakusaidiaje,
Kwa kesi ya ATCL pamoja na ukweli kuwa si watanzaniawengi wenye uwezo wa kupanda ndege hii haiondoi ukweli kuna faida kama wananchi tutaipata kwa mfano faida ya moja kwa moja miezi 2 kabla ya hizi ndege kuja shirika la ATCL lilitangaza nafasi za ajira takribani 18. japo sio wewe au bibi yako tayari kuna watanzania takribani 18 ambao watanufaika moja kwa moja, hawa watu watapata vipato ambavyo vitaendesha maisha yao yao ya kila siku na jamaa zao, fedha zao zotakuwa chanzo kwa wengine kupata riziki hiyo moja.

Kwa kuwa shirika ni la serikali, tunatarajia kupata kodi ambayo hulipwa na kila abiria anayesafiri, na kila ndege inapotua katika uwanja wa ndege kuna ada inalipia, kupitia hiyo serikali itapata fedha ambazo zitatumika kuagiza dawana bidhaa muhimu kama mafuta ambayo yanaleta bidhaa kwako na bibi yako. hiyo mbili

ya tatu kupitia sekta ya anga kuimarika kutapelekea sekta nyengine kama ya utalii kukuwa na hivyo kuongeza mapato ya kuja kujenga hiyo barabara, badala ya watalii kushukia nchini kenya na kupanda usafiri mwengine sasa watakuwa wanakuja moja kwa moja jambo litakalowapunguzia usumbufu na kuwavutia kuja kwa wingi, lakini pia sekta ya biashara za kimataifa itaimarika kwa kuwa na usafiri wa uhakika ambao wafanyabiashara wengi huzingatia katika kuhakikisha wanafanya biashara kwa wakati ili kuokoa gharama zinazoweza kuongezeka kwa kuwa na mfumo mbovu wa usafiri wa anga. hili litatupelekea kuongeza akiba ya kutosha ya fedha za kigeni ambazo zitasaidia katika manunuzi ya bidhaa na huduma nje ya nchi na kuimarisha shilingi yetu
katka mambo ambyo sitaki kuamin ni hyo
 
Mkuu unasema utalii,kwani miaka yote haKukuwa na ndege?
Ndege zilikuwepo ktk shirika ambalo liliendeshwa kwa HASARA kubwa hadi kutengeneza MADENI kila kona ..... sababu kuu ikiwa ni UONGOZI MBOVU, UBADHILIFU kukosekana kwa UBUNIFU pasi na kusahau kutokuwepo kwa UZALENDO miongoni mwa viongoz na watendaji wa shirika .....

Kwa vigezo hivyo hapo juu don't expect any positive social - economic changes ....

Lakini kama uliwasikia vyema Mh. Rais JPJM, Speaker Job Ndugai, Waziri Makame Mbarawa na wengineo ktk sherehe ya UZINDUZI wa ndege 2 mpya za serikali ..... MABADILIKO CHANYA kwa ATCL yanatarajiwa kuanzia sasa .... by so doing serikali itapata MAPATO YA KUTOSHA hivyo kuwezesha upatikanaji wa huduma za kijamii zitakazokufaidisha wewe na hata huyo bibi yako huko kijijini
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
kama haimsaidii bibi yako wapo wanaofaidika nayo,ni ngumu sana kuwa na kitu kinachomfaidisha kila mtu katika jamii kwa wakati mmoja,na ni mapema sana kujua kama haiwezi kumsaidia bibi yako,na pia inaweza kumsaidia indirectly...kwa mfano inawezekana bibi yako anakutegemea kiuchumi nawe siku moja unaweza kuugua(sikuombei hivyo),watanzania kwa upendo wao wanaweza kukuchangia ukasafirishwa na ndege hiyo unayoiponda leo ukaenda kutibiwa na kurudi na afya njema ukaendelea kumsupport huyo bibi yako,kupitia scenario kama hiyo bibi yako atakuwa amefaidika.kwa hiyo mkuu acha ubinafsi sio kila kitu lazima kikufaidishe wewe na jamii yako tu,ukiona hufaidiki na jambo wapo wanaofaidika nalo.
Halafu kama unamjali sana huyo bibi yako mbona umemwacha kijijini?si ungekaa nae huko au ungemleta huko ulipo umlee?!
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Piga mzigo wa uhakika wa kukupatia tija, achana na vijiwe hasara ambavyo kazi yake ni kuota ndoto za alinacha kuwa maendeleo binafsi yanaletwa na serikali. Fungua macho utambue fursa za kutokea kimaisha. Ukifanya hivyo utapata pato la uhakika ambalo litakuwezesha hata kumudu nauli ya ndege. Kijana achana na propaganda za wanasiasa...Hatma ya maisha na maendeleo yako imo mikononi mwako mwenyewe na si vinginevyo!!
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.
Nashangaa sana unakuja huku jf na mawazo yako ambayo ni local and primitive.?!
 
Duh! siamini kama kuna mtanzania bado anaweza kuzungumza hivyo, yaani hata shule kidogo hamna. hebu jiulize kwanza serikali inapata wapi fedha kwa ajili ya maendeleo? unadhani ni kodi tu? kalagabaho wewe!!

Hao ndio BAVICHA bana na kisha wanatamba kuwa wanaweza kumkosoa Magufuli.
 
Kwanza, nikushukuru kwa kumpa somo halisi huyu mleta mada ili nina wasiwasi kama atakuelewa.

Pili, Usishangae ukisikia huyu uliyemjibu ana elimu ya Chuo Kikuu!

Tanzania kuna vituko!

Hao ndio vijana wa BAVICHA. Mbowe amewamaliza kabisa vichwani.
 
Nani kakwambia kipimo cha vipaumbele vya nchi ni mahitaji yako na bibi yako? Au kwa vile wewe na bibi yako hamna uwezo wa kupanda ndege basi usafiri wa ndege ufutwe?
Unajua nadhani hapa wengi wa wawachangiaji ni wale waliokimbia umande ama waliosindikiza wenzao kwenye majengo ya shule. Nadhani ilitakiwa tuwe tunaweka majina yetu kamili na uwezo wetu wa kufikiri maana kuna madudu yanaandikwa hapa mpaka unashindwa kuelewa kama yanaandikwa watu waliokwenda shuleni.
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.

Kwa narrow vision unaona hasikusaidii. Ila, kwa mtizamo mpana wa kiuchumi usafiri wa ndege ni muhimu kwa uchumi wa nchi. Hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kujigamba kwamba utalii ni sekta muhimu ya kiuchumi ikakosa usafiri wa anga wa uhakika. Tanzania utalii unachangia pato la nchi kwa nafasi ya pili au ya kwanza baada ya madini, utalii una faida nyingi direct na indirect. Direct benefits ni kodi mbali mbali wanazolipa watalii, huduma mbali mbali wanazopata mahotelini, n.k. Indirect benefits ni manufaa utalii kwenye sekta nyingine kama kilimo, sanaa, etc
 
kumsaidia bibi yako si ni jukumu lako wewe mwenyewe
 
Hakuna lami na hajawahi na wala hategemei kupanda ndege,

Je zitamsaidia nini yeye hizi??hata mimi binafsi sielewi zinanisaidia nini maana sina pesa ya kulipia kwenye ndege.

Wataalamu msaada wenu.

Tunataka mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukuza sekta ya utalii...ndege zitawaleta watalii moja kwa moja. zitarahisisha usafiri sio lazima wewe upande...tutasafirisha mizigo na wenye uwezo... zitapanua wigo na kukuza uchumi. wewe utafaidika uchumi ukiwa mzuri bibi yako atapata dawa na huduma nyingine na atapunguziwa makali ya maisha kwa hali moja au nyingine. Uligwa bebesh!!?
 
Yaaani bora mmejibu wanajamvi, watz wengine akili sijui zikoje kama wew mtoa mada umeshindwa kumsaidia bibi yako huko kijijin unafkria nani atamsaidia? Ndo nyienyie hata nyoka akikimbilia ndani mnatoka wote nje mnasubuli serikali ije iwasaidie kumtoa, sisi tnaangalia maendeleo ya nchi kiujumla cyo ya bibi yako kijijin, parafini we
 
Jambo lolote lisilo msaidia bibi yako, linamsaidia bibi yangu!,Kumbuka bibi yako na bibi yangu wote ni watanzania, kwahiyo ndege imewasaidia Watanzania. Pia kuna vitu bibi yako nchi imemsaidia lakini bibi yangu havikumsaidia( mfano , bei ya kuvuta umeme, kijijini kwa bibi yako 70,000/. Mji kwa bibi yangu 325,000/). Lakini bibi yako pia na bibi yangu wote ni Watanzania.
 
Huyu mleta uzi kama hajaelewa mpaka sasa basi ana matatizo,nakushauri uufute Uzi wako unajichoresha,ina maana hujui kua bibi yako atanufaika vipi na ndege? Nakupa tu mfano mmoja,zile dawa kwenye zahanati ya kile kijiji alichopo bibi yako zitanunuliwa kutoka pesa itakayokusanywa kwenye mapato ya Huduma hiyo ya ndege.
 
Back
Top Bottom