Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

ureni

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,261
526
Licha ya mkwala mkubwa uliopigwa na serikali ya Tanzania kwa Malawi bado ndege zao zinaendelea na utafiti kama kawaida ndani ya eneo la ziwa.Wananchi kuzunguka ziwa wameanza kuingiwa hofu kuwa vita inaweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa.

Source.Wapo Redio
 
Shamba la bibi kwani inakuwaje? si hivyo hivyo? Labda tuombe tu wayakose hayo mafuta ili watuachie hako ka kipande vinginevyo ni sawa na kumwambia jambazi anayevunja mlango wa nyumba yako usiku kwamba weee mwizi acha kuiba huku umelala kitandani ukitegemea atakuacha.

"Problems cannot be solved by the same level of thinking which created them".... by hon. Peter Mswigwa
 
Malawi ina haki kamili ya kufanya utafiti ktk nchi na ziwa lao, waacheni Tnganyika na kelele na ufisadi wao.
 
Jamani twendeni ludewa 2pige kambi...FILIKUNJOMBE AMEPITIA POLISI so ana utaalam.2wapige
 
Licha ya mkwala mkubwa uliopigwa na serikali ya Tanzania kwa Malawi bado ndege zao zinaendelea na utafiti kama kawaida ndani ya eneo la ziwa.Wananchi kuzunguka ziwa wameanza kuingiwa hofu kuwa vita inaweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa.

Source.Wapo Redio

WAPO Radio haiwezi kuwa source ya tukio la kiusalama. Source inaweza kuwa Mkuu wa Mkoa, TCAA , Makao Makuu ya Jeshi au Wizara ya Mambo ya Nje.
 
Sasa kama wanaziona hizo ndege bado wanaziangalia tu jeshi limeenda huko kufanya nini,au wanamsubiria amiri jeshi mkuu aseme.
 
WAPO Radio haiwezi kuwa source ya tukio la kiusalama. Source inaweza kuwa Mkuu wa Mkoa, TCAA , Makao Makuu ya Jeshi au Wizara ya Mambo ya Nje.

Acha kudharau vyombo vyetu vya habari ambavyo vinajitahidi kutoa habari za uhakika. Wao wameelezea yanayotokea na hofu iliyopo kwa wananchi hivisasa.
 
Malawi ina haki kamili ya kufanya utafiti ktk nchi na ziwa lao, waacheni Tnganyika na kelele na ufisadi wao.

naamini wewe si mtanzania, na kama unajiita mtanzania ni wa kuomba passport.Umepata wapi ujasiri wa kusema hivyo.hata kama watendaji ni wabovu na siasa si ya demokrasia ya uwajibikaji na ni mafisadi; ardhi ya tanzania ni watanzania, ni lazima watanzania tutetee hata kama ni kipande cha ekari moja.Walikuwa wapi miaka yote hiyo kudai hicho kipande cha ardhi kama si ukorofi?tumekuwa marafiki tangia enzi za muluzi, mbigu wa mthalika, huyu mama ana asili kweli ya banda, miaka ya nyuma ndugu banda alikiona kichapo.Mi sitaki kuingia ndani ya dipolomatic intelligency, lakini, naamini, hawa kichapo ni chao.Nasihi watanzania ni lazima kutetea ardhi yetu mpka tonela mwisho wa damu yetu.

naamini wewe si mtanzania, na kama unajiita mtanzania ni wa kuomba passport.Umepata wapi ujasiri wa kusema hivyo.hata kama watendaji ni wabovu na siasa si ya demokrasia ya uwajibikaji na ni mafisadi; ardhi ya tanzania ni watanzania, ni lazima watanzania tutetee hata kama ni kipande cha ekari moja.Walikuwa wapi miaka yote hiyo kudai hicho kipande cha ardhi kama si ukorofi?tumekuwa marafiki tangia enzi za muluzi, mbigu wa mthalika, huyu mama ana asili kweli ya banda, miaka ya nyuma ndugu banda alikiona kichapo.Mi sitaki kuingia ndani ya dipolomatic intelligency, lakini, naamini, hawa kichapo ni chao.Nasihi watanzania ni lazima kutetea ardhi yetu mpka tonela mwisho wa damu yetu

haya maneno matupu kwa wamalawi hayata tusaidia kitu, hata kama yatakuwa makali vipi. kinachotakiwa ni vitendo. kasema sitta, kaja membe, lowasa kesho atakuja mwingine haitatusaidia inaonyesha jamaa they are seriously determined.
 
naamini wewe si mtanzania, na kama unajiita mtanzania ni wa kuomba passport.Umepata wapi ujasiri wa kusema hivyo.hata kama watendaji ni wabovu na siasa si ya demokrasia ya uwajibikaji na ni mafisadi; ardhi ya tanzania ni watanzania, ni lazima watanzania tutetee hata kama ni kipande cha ekari moja.Walikuwa wapi miaka yote hiyo kudai hicho kipande cha ardhi kama si ukorofi?tumekuwa marafiki tangia enzi za muluzi, mbigu wa mthalika, huyu mama ana asili kweli ya banda, miaka ya nyuma ndugu banda alikiona kichapo.Mi sitaki kuingia ndani ya dipolomatic intelligency, lakini, naamini, hawa kichapo ni chao.Nasihi watanzania ni lazima kutetea ardhi yetu mpka tonela mwisho wa damu yetu.

Ardhi yetu ipi??! Tupe evidence kwamba hiyo ni ardhi yetu.
Niko tayari kuitwa Mmalawi, nataka nifahamu ukweli.
 
please, hiyo quote ni ya Albert Einstein.

Shamba la bibi kwani inakuwaje? si hivyo hivyo? Labda tuombe tu wayakose hayo mafuta ili watuachie hako ka kipande vinginevyo ni sawa na kumwambia jambazi anayevunja mlango wa nyumba yako usiku kwamba weee mwizi acha kuiba huku umelala kitandani ukitegemea atakuacha.

"Problems cannot be solved by the same level of thinking which created them".... by hon. Peter Mswigwa
 
Wanacheza kweli hao ka nchi kenyewe kama mkoa wa ruvuma tutatumia mgambo kusambaratisha hizo ndege zao
 
ninayo IMANI kuwa hao wamalawi lazima tutawapiga incase viongozi wetu ambao akili zao si nzuri wakiamua kwenda vitani
Angalizo tukienda vitani viongozi hawata umia bali ni wananchi wa hali ya chini so kabla ya kushabikia kwenda vitani tukumbuke ndugu jamaa marafiki familia zetu walio karibu na ziwa nyasa
Wengi wanao shabikia hili swala ni wakazi wa Dar ambapo ni ngumu kwa wamalawi kufika kwani ndio kitovu cha uchumi wa tz
 
Amri ya jk ,bado mim binafsi ningekuwa jk ningeamua jesh kulipua hizo ndege za utafit wa mafuta himahimahimaaa tanzaniaa
 
Sasa kama wanaziona hizo ndege bado wanaziangalia tu jeshi limeenda huko kufanya nini,au wanamsubiria amiri jeshi mkuu aseme.

Wanacheza kweli hao ka nchi kenyewe kama mkoa wa ruvuma tutatumia mgambo kusambaratisha hizo ndege zao

Amiri jeshi akisema twanga utaona balaa lake. Waache waendelee na ukauzu wao!
 
Hv nyie ambao mnataka Tanzania inyang'anywe hiko kipande hv mna akili timamu? Tena baadhi ni Chadema,angekuwa Slaa angeruhusu kiondoke hk kipande au yeye hiki kipande hakitomhusu akichukua nchi. Bado nina matumaini na Tanzania katika kutetea hiki kipande.
 
Back
Top Bottom