Ndege za Mwanza zaleta kizazaa uwanja wa ndege Dar

Nyie Precision, Juzi tu tumenunue hisa zenu halafu mnaanza uharibu, pesa zetu zitasalimika kweli kwa mtindio huu


Hivi bado watu wananunua hisa za makampuni ya bongo...Baada ya kupoteza laki yangu kwa NICOL nilikoma!!
 
Abiria wa ndege wa Tz wanateseka kwa kuwa hawajui sehemu ya kudai haki zao


Kweli kamanda,

Nilitamani nimwite mwanasheria wangu....Wamenisotesha JNIA kwa zaidi ya masaa 5...

Ila bado wamenambia kwamba nishukuru Mungu kwa sababu kuna watu wapo toka juzi na hawajui lini watapanda pipa lao la uongo na ukweli!!
 
Itirafu = hitilafu

halafu ndege inapokuwa na hitilafu mara kwa mara, delays zisizoisha bado unatetea wenye ndege???????????????? Wabongo bwana




wameairisha = wamehairisha

Msamehe bure,

Kuna watu hata wakinyang'anywa mali au wake zao wanaona ni sawa tu!!
 
Huo ndio muda muafaka kwa ATCL kurudisha na kupata wateja wapya, ATCL inatakiwa ijiimalishe zaidi na kuchukua advantage ya failure za Prec na 540

Labda tukishamalizana na hawa wadhaifu hapo 2015. Kuamini kwamba ATCL inaweza kusimama ndani ya miaka 2 ijayo ni kuota ndoto za mchana!!
 
Nawashauri wampigie simu Dr Mwakyembe haraka sana (Namba hiyo ya simu aliyoitoa pale Jangwani ni 0782 242526); si ajabu akapanda helicopter ya jeshi akaenda KIA kuokoa suluhu. Pigeni sasa hivi, keshatoka kanisani kwa Rev Gwajima.
Mama mdogo unavituko! Abiria wamekwama JNIA wewe unataka Mwakyembe aende KIA vipi tena!
 
Mama mdogo unavituko! Abiria wamekwama JNIA wewe unataka Mwakyembe aende KIA vipi tena!
.

Ooops, kidole kiliteleza, Wasizi aende Julius Kambarage International Airport!!! Hata hivyo huko Arusha kuna abiria wa Air 540 wamekwama tangu jumamosi, wamelazwa hotelini, wakala, kuamka jana wakaambiwa, hamtakula hapa hotelini wakabebwa kwa mabus kupelekwa kula kule kunako chakula cha bei nafuu (sijui kwa mama ntilie). Hiyo habari ndiyo ilinichanganya nikawa nachagiza waziri aende KIA. Sasa nabadili aende kote kote, ila sasa jana Waziri kumbe alikuwa anakagua karakana ya Railway Morogoro, sasa sijui itakuwaje kwa hawa wasafiri.
 
Abiria waliokuwa safarini kwenda Mwnza leo kwa ndege za 540 na Precision air wamekwamba uwanja wa ndege wa JNIA na hali ni mbaya.

Precision Air wamebadili ndege yao iliyokuwa iondoke saa 5 asubuhi (kwa kutumia ndege aina ya Boeng) bila taarifa na kusababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria. Baadhi yao wamehamishiwa kwenye ndege za saa 8.30 mchana na saa 12 jioni. Wakati huo huo, kuna abiria ambao wamecheleweshwa hadi kesho.

Jambo ambalo linakera sana ni kwamba wakubwa wa shirika hili hawapo ofisini kutoa majibu kwa abiria ambao wanateseka bila sababu.

Ndege ya 540 imekwama kuondoka toka jana na hadi sasa hakuna maelezo ya maana! Baadhi ya abiria wako airport hadi sasa!



Africa tuna matatizo lukuki sijui ni udhaifuuu au,, bila shaka.ni kweli uyasemayo, ndege zimekuwa kama daladala za kutoka mbezi tangi bovu kwenda goba (zile chai maharage), usafiri umekuwa nikero tupu afadhali hata tena ya usafiri wa basi.
 
Africa tuna matatizo lukuki sijui ni udhaifuuu au,, bila shaka.ni kweli uyasemayo, ndege zimekuwa kama daladala za kutoka mbezi tangi bovu kwenda goba (zile chai maharage), usafiri umekuwa nikero tupu afadhali hata tena ya usafiri wa basi.


Inasikitisha sana kuwa na udhaifi katika kila kitu na especially kwenye biashara!

Ndiyo maana tumeacha karibia kila kitu kiendeshwe na ama wahindi au wazungu. Hadi mtu unajiuliza kwaba kulikuwa na sababu gani ya kudai uhuru?
 
Jamani Frequent flyers waje hapa wamwage uzoefu wote. ,Mimi siwalaumu precisn wala 540. Coz shit happens outta there. Kama umeshwahi kupanda makapuni makubwa Qatar, KLM, na hata shemeji zetu Kenyaairways utaniambia. Kuenda Jo' berg nlisha wahi sota Jomo kenyatta int Airport for good bloody 10 hours. Nafika jo"berg Or tambo int airport connecting flyt yangu ishaondoka zamani. Nikapelekwa 5 star htl. Kesho yake safar ikaendelea.
Nlisha wahi kukaa 13 hours Amsterdam due technical ndege KLM.

Askwambia mtu ni sumbufu. Lakini everywhre in the world this happens. And in most cases it is safety and security that are of paramount importance. Ndege ni mchuma ule. Unaumwa. Ni kama binadamu. Dada [MENTION]Dark City [/MENTION] unataka upande ndege mbovu ambayo imeharibika ghafla from previous flight? Hujali maisha yako!

Na unakuta sidhani kama hawa watu wanakua na ndege zimekaa chini eti zisuburi moja ikiharibika iliyo chini ika-take over.
That will b mis-use of resources I believe.

Dark City lets take a second and think. After all whatever happens I always believe is God's plan. There is always a reason for that, and Almighty knows it all.
 
Kama kulikuwa na hitilafu ni bora walivyo ahirishi kuliko kuwapoteza wa TZ wenzetu!
 
Back
Top Bottom