Ndege za Abiria zakatisha anga la Libya baada ya kifo cha dikteta Gaddafi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
5161-libya_s_colonel_muammar_al_gaddafi.jpg

Kwa miaka kadhaa baada ya Gaddafi kuitungua ndege ya abiria ya Marekani PAN AM ambayo ilipita juu ya anga la Libya, hatimaye ndege hazikuwa huru kuvuka bahari ya kati, zimekuwa zikiambaa kupitia Palestina, Israel na kisha kuingia Ulaya. Sababu ni kumwogopa Gaddafi asijekutungua tena.

Nimeshuhudia siku hizi ninaposafiri ndege za abiria kukatisha anga la Libya na kuvuka bahari ya kati huku tukiangalia visiwa vya Malta, Sisilia hadi tunakuwa juu ya anga la Italia.

Gaddafi licha ya kuwafanyia mazuri Walibya, kimataifa alikuwa tishio na kukosa raha ndege zinapopita karibu na mipaka ya nchi yake.
 
Mkuu nani kakuambia gaddaf ni dikteta? Hv ukipishana na nchi za magharibi tayari unakuwa dicteta?
 
5161-libya_s_colonel_muammar_al_gaddafi.jpg

Kwa miaka kadhaa baada ya Gaddafi kuitungua ndege ya abiria ya Marekani PAN AM ambayo ilipita juu ya anga la Libya, hatimaye ndege hazikuwa huru kuvuka bahari ya kati, zimekuwa zikiambaa kupitia Palestina, Israel na kisha kuingia Ulaya. Sababu ni kumwogopa Gaddafi asijekutungua tena.

Nimeshuhudia siku hizi ninaposafiri ndege za abiria kukatisha anga la Libya na kuvuka bahari ya kati huku tukiangalia visiwa vya Malta, Sisilia hadi tunakuwa juu ya anga la Italia.

Gaddafi licha ya kuwafanyia mazuri Walibya, kimataifa alikuwa tishio na kukosa raha ndege zinapopita karibu na mipaka ya nchi yake.
Ni ndege gani ya Pan Am unayozungumzia mkuu? Ni ile ''flight 103'' iliyokuwa inatoka Heathrow kwenda John F Kennedy? Mbona haikutunguliwa kwenye anga ya Libya?
 
5161-libya_s_colonel_muammar_al_gaddafi.jpg

Kwa miaka kadhaa baada ya Gaddafi kuitungua ndege ya abiria ya Marekani PAN AM ambayo ilipita juu ya anga la Libya, hatimaye ndege hazikuwa huru kuvuka bahari ya kati, zimekuwa zikiambaa kupitia Palestina, Israel na kisha kuingia Ulaya. Sababu ni kumwogopa Gaddafi asijekutungua tena.

Nimeshuhudia siku hizi ninaposafiri ndege za abiria kukatisha anga la Libya na kuvuka bahari ya kati huku tukiangalia visiwa vya Malta, Sisilia hadi tunakuwa juu ya anga la Italia.

Gaddafi licha ya kuwafanyia mazuri Walibya, kimataifa alikuwa tishio na kukosa raha ndege zinapopita karibu na mipaka ya nchi yake.

Ndege ya PANAM iliyotunguliwa na WALIBYA haikuwa inaruka juu ya anga ya nchi hiyo bali ilitunguliwa ikiwa inaruka juu ya anga ya Scotland!!
 
5161-libya_s_colonel_muammar_al_gaddafi.jpg

Kwa miaka kadhaa baada ya Gaddafi kuitungua ndege ya abiria ya Marekani PAN AM ambayo ilipita juu ya anga la Libya, hatimaye ndege hazikuwa huru kuvuka bahari ya kati, zimekuwa zikiambaa kupitia Palestina, Israel na kisha kuingia Ulaya. Sababu ni kumwogopa Gaddafi asijekutungua tena.

Nimeshuhudia siku hizi ninaposafiri ndege za abiria kukatisha anga la Libya na kuvuka bahari ya kati huku tukiangalia visiwa vya Malta, Sisilia hadi tunakuwa juu ya anga la Italia.

Gaddafi licha ya kuwafanyia mazuri Walibya, kimataifa alikuwa tishio na kukosa raha ndege zinapopita karibu na mipaka ya nchi yake.

mkuu, ndege ya panam ilianguka scotland, unataka kuniambia ilitunguliwa libya?
this is new findings?
 
Kumbe unaweza kuanzisha thread itakayo fanya watu wajue uelewa wako wa history!

Mahali ilikotunguliwa ndege sikuwa na hakika nako, ila ni Gadafi aliyefanya hivyo na alikubali na kuwa tayari kulipa fidia kwa Marekani kwa kupeleka mafuta. Matokeo ya kutungua ndege hiyo ndiyo yaliyosababisha ndege zisitishwe kupita katika anga la Libya.

Baada ya kifo cha Gadafi ndege zinapita katika anga la Libya na kwenda kutokea Itali kuvuka bahari ya Kati. Nimeshuhudia hilo mimi mwenyewe kwa kuvuka hapo mara mbili baada ya kifo cha Gadafi na ni ndege hizo hizo ambazo awali hazikuwa zinapita hapo. Huu ni uthibitisho wazi na dhahiri kwamba Gadafi alikuwa tishio kwa ulimwengu ndege kupita katika anga la nchi yake.
 
mkuu, ndege ya panam ilianguka scotland, unataka kuniambia ilitunguliwa libya?
this is new findings?

Nashukuru na samahani kwa kunukuru vibaya ilipoangushwa ndege, lakini tukio hilo ndilo lililosababisha tahadhari ya kuvuka anga la Libya, na hata kama wewe umewahi kusafiri kwenda ulaya toka Afrika anga la Libya lilikuwa likikwepwa na ndege toka East Afrika ziliambaa kando ya bhari ya sham hadi mashariki ya kati kisha zinaelekea Ulaya.
 
Mkuu nani kakuambia gaddaf ni dikteta? Hv ukipishana na nchi za magharibi tayari unakuwa dicteta?[/QUOTE

Dalili mojawapo za udikteta ni uking'ang'anizi wa madaraka na kujiona ni kiongozi wa maisha, kutoruhusu wengine nao watawale ili wafungue madirisha na kuingiza upepo mpya. (Nukuru ya Pope Johannes) alipoitisha mtakuso mkuu kuleta mabadiliko katika uongozi wake.
 
jamaa alikuwa na uchungu sana na nchi yake na bara la africa kwa ujumla,alizisaidia nchi masikini za africa misaada ya maana,alikuwa na wazo la kupigania umoja wa nchi za africa,ni kama ule uliopo ulaya kwa sasa,kitu amabacho kingesaidia kutukomboa katika vita na umaskini kwa kiasi kikubwa kwa kukuza maingiliano ya kisiasa kibiashara na baina ya nchi zote za africa.....lakini siku zote mmarekani na nchi za magharibi wana yao waliyoyapanga kwa bara la africa!!!africa ikitajirika na kujikwamua kiujinga mzungu akale wapi???!!!tutaendelea tu kuwa wajinga ili waheshimiwa waishi kwa rasili male zetu
 
Wapigania haki Waafrika ni wengi, hakuna aliye mbaya tu. Hata Idd Amini alikuwa na mazuri aliyofanya kwa Waganda. Pale New York karibu na United Nation kitovu cha jiji Manhattan, kuna jumba la ubalozi wa Uganda liitwalo Uganda House. Ni Idd Amin alilinunua. Niliweza kulifahamu jumba hili nilipoulizia UN ofisi za ubalozi wa Tanzania. Nikaelekezwa niende pale Uganda House ambalo liko karibu na UN. Idd Amini aliona hitaji hilo tangu miaka hiyo ingawa mazuri yote yamefunikwa na udikteta wake.
 
mahali milikotunguliwa ndege sikuwa na hakika nako, ila ni gadafi aliyefanya hivyo na alikubali na kuwa tayari kulipa fidia kwa marekani kwa kupeleka mafuta. Matokeo ya kutungua ndege hiyo ndiyo yaliyosababisha ndege zisitishwe kupita katika anga la libya.

Baada ya kifo cha gadafi ndege zinapita katika anga la libya na kwenda kutokea itali kuvuka bahari ya kati. Nimeshuhudia hilo mimi mwenyewe kwa kuvuka hapo mara mbili baada ya kifo cha gadafi na ni ndege hizo hizo ambazo awali hazikuwa zinapita hapo. Huu ni uthibitisho wazi na dhahiri kwamba gadafi alikuwa tishio kwa ulimwengu ndege kupita katika anga la nchi yake.

sawa nia yako ilikuwa ni kutufahamisha kama umepanda ndege hongera
 
Ndugu yangu unaishi ulimwengu gani, ndege ni kitu cha kawaida siku hizi. Hata wanaoishi Tanzania tu wanaona kitu cha kawaida sembuse kwa mtu mwenye masafa ya kimataifa mara kwa mara? Kwa taarifa tu tangu nianza masafa ya kimataifa kabla ya karne hii yaani 199---- ndege hazikugusa anga la Libya. Hata British Airline ambayo miaka ya 1995 nilipoingia Getwick London kwa mara ya kwanza na kupanda Speed link bus kuunganisha Heathrow airport kwa ajili ya transfer kwenda bara jingine baada ya Dar na Nairobi ndege iliongoza kando ya bahari ya Sham hadi Middle East na kisha kuingia Ulaya.

Ndege zilikua huru kupita anga la nchi nyingine za kiarabu lakini si anga la Libya.
 
Nashukuru na samahani kwa kunukuru vibaya ilipoangushwa ndege, lakini tukio hilo ndilo lililosababisha tahadhari ya kuvuka anga la Libya, na hata kama wewe umewahi kusafiri kwenda ulaya toka Afrika anga la Libya lilikuwa likikwepwa na ndege toka East Afrika ziliambaa kando ya bhari ya sham hadi mashariki ya kati kisha zinaelekea Ulaya.
Bado hujani-convince na maelezo yako. Sio kweli kwamba ndege zilikuwa zinakwepa anga ya Libya. Kuna ndege nyingi sana zilikuwa ZINATUA Libya wacha kuruka kwenye anga lake. Kama uliwahi kusafiri na ndege na haikupitia anga ya Libya itakuwa ni sababu nyingine tu lakini sio kweli kwamba walikuwa wanaogopa kutunguliwa.
 
Vigumu kukuambia kwamba nimekunywa maji na sina kiu na wakati we umekazana kwamba bado na kiu sijanywa maji.
 
Ndege miaka yote zimekuwa zikipita hapo anga ya Libya, na baadae zinaingia anga ya Sudan.
 
Back
Top Bottom