Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege Yanguka Ukerewe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Oct 23, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Ndege ndogo Cessna 206(6seater) yenye registation No: 5H-ASA ilianguka jana majira ya saa 10 jioni huko Kisiwani Ukerewe!

  Ndege hiyo inasemekana ilikuwa na abiria wawili wenye asili ya Kiasia, na ambao ni wamiliki, pamoja na rubani mswahili, anayejulikana kwa jina la Shio!

  Ndege hiyo inayomilikiwa na kampuni ya Mount Meru Oil ya jijini Arusha inasemekana ilitokea Entebbe kwa shughuli za kawaida, na habari za awali zinasema kuwa injini ilikosa nguvu kutokana na hali mbaya ya hewa ikiwa juu ya Ziwa Victoria.

  Katika ajali hiyo rubani alijitahidi kuielekeza ndege hiyo kwenye nchi kavu, na kwa bahati nzuri abiria hao pamoja na rubani walinusurika na kukimbizwa Mwanza kwa matibabu zaidi.
  Chanzo: Taarifa za simu.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,788
  Likes Received: 2,183
  Trophy Points: 280
  ohh my my....ni habari mbaya kidogo....ashukuriwe Mungu aliyewaokoa......asante wakwetu kwa habari hii....tunawaombea wapone haraka
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole zao. Get well soon
   
 4. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  We wish them a quick recovery
   
 5. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,001
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 180
  Wow!!!!!!!!! God has done a miracle, pole zao hawa majamaa
   
 6. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,584
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  God is good!!
   
Loading...