ndege ya rais

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
Ndege ilipita angani.Machizi wakaanza kubishana.wa kwanza akasema, "hiyo ndege imembeba rais!"Wapili akasema, "hapana!hiyo ndege imewabeba wazungu.kama ingekua imembeba Rais,ungeona pikipiki zimetangulia mbele!"
 
Dingi bahili !

MTOTO: Mama nimemwomba baba hela ya kusuka akaninyoa nywele!
MAMA: Una bahati mwanangu ungemwomba hela ya Whitedent angekung'oa meno!
 
Back
Top Bottom