Ndege ya Rais yazuiliwa

Mkutano wa Dunia wa uchumi mwandishi anasema hauna faida? amma kweli makanjanja wapo wengi.
Please tumwagie faida zake ukiwa na mifano hai (vivid examples) ya mikutano iliyoudhuliwa awali.
Sitaki league(blaablaa), nataka facts.
EBU KUNJUKA FF!!
 
Mkutano wa Dunia wa uchumi mwandishi anasema hauna faida? amma kweli makanjanja wapo wengi.
Acha uongo, ni uchumi ama ameenda kutembeza bakuli?
Unaudhi sana kila mara unapo insult other peoples' intellingeces!
Uchumi ndo unavyojengwa hivyo?
 
300k sababu ndege imeharibika kwa hiyo wamekodi ndege ingine au walipanda ya kawaida na watu wengine?

halafu kesho bado wataomba misaada
 
mgodi wa nzega unatoa dhahabu ya bil 130 kila wiki tunashindwa hata kutoa machungu ya kula nyasi?
iptl tunawanunulia mafuta mazito ta mil 120 kila siku tunashindwa kulipa kweli?

r.i.p ccm.


No Barrick Gold mines each week wana safirisha dhahabu ya tshs 831 billion meaning kwa wiki wanazidi pato la Taifa kwa mwezi which is 700 billion as of Nov 2011 Source Gov. Ndullu
 
Waandishi wetu wa habari noma, kwanza sio
Davous ni Davos na muhimu zaidi haipo Sweden ipo Switzerland. Yaani mambo ya kugoogle kwa dakika mbili yanawashinda.

Pole Kang, ndo 'MAKANJANJA' wetu walivyo, hata 'Copy & Paste' pia hawawezi kabisa. Mwenyewe nimeshangaa kusoma kwamba Davos iko Sweden ilhali mji huo uko Uswisi milimani kabisa. Waandishi wetu wana kazi kubwa sana ya kufanya.
 
Back
Top Bottom