Ndege ya rais ipo kweli?

MATESLAA

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,246
74
et wana janvi ile ndega ya rais iliyo tucost 40bil bado ipo au imeuzwa na kama ipo mbona haitumiki...na kama haitumiki kwanini tusipige bei..na hiyo pesa tuwape wanafunzi walio kosa mkopo vioni
 
mwambie ritz one aongee na mshua. izi ripoti asipuuze.
 
et wana janvi ile ndega ya rais iliyo tucost 40bil bado ipo au imeuzwa na kama ipo mbona haitumiki...na kama haitumiki kwanini tusipige bei..na hiyo pesa tuwape wanafunzi walio kosa mkopo vioni
Wana wa Rombo walikula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe kwa hiyo ipo.
 
Mbona kipindi cha nyuma nilikuwa nasikia Mkulu anaigopa kuitumia? sijui kwasababu watu walikuwa wanachonga sana au ni sababu za kiusalama both traditionally and scientifically. Underscore traditionally.
 
Utaiona saa ngapi kama ipo na mshikaji anashinda Ulaya anatanulia huko?
 
et wana janvi ile ndega ya rais iliyo tucost 40bil bado ipo au imeuzwa na kama ipo mbona haitumiki...na kama haitumiki kwanini tusipige bei..na hiyo pesa tuwape wanafunzi walio kosa mkopo vioni

Nakubaliana na wewe ndege iuzwe lakini pesa zitakazopatikana tuwawezeshe wanafunzi kwenda shule kwa uhakika tofauti na hivi sasa. Njia rahisi ni kutengeneza coupon na kuwagawia wanafunzi wazitumie wanapopanda daladala kwenda shule tu.Atakayeforge sheria ichukue mkondo wake.
Hivi sasa kama taifa tunapanda mbegu ya chuki kwa watoto wanafunzi, wanajifunza kuwa na roho mbaya kama wanayofanyiwa na madereva wa daladala hii ni hatari aisee.
 
kweli wanataka kununua ya pili????? sasa hapa tutakula udongo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom