Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,438
How much per go & return ticket ? Nishachoka na akina Sumry .
Tunataka Fast Jet nao waanze kupeleka ndege zao MBY
Vichekesho hivi.........ndege ya kibiashara inatua watu mnatoka maofisini kwenda kuichezea ngoma?
Wakati Scandinavia ilipoanza safari kwenda mbeya mbona hamkuichezea ngoma pia.
Bado sana - hayo matumizi ya fedha hapo nani amelipia?
Au ndo zile fedha kutangaza maendeleo ya CCM??
BADO SANAAAA!!!
Miafrica tunapenda kufanya mambo ya hovyohovyo tu!
Hii ni nini sasa....
Acha ufala wewe,kwani maendeleo lazima yaletwe na serikali tuu?ni jambo la kufurahia kuona private citizen anafanikiwa na wanachi wanapata usafiri,wananchi wanachotaka ni usafiri tuu wa kuaminika mambo ya ownership sio issue,acheni mawazo ya 1947 and FYI mashirika mengi duniani ni ya watu binafsi na hata nchia kama america yenye mashirika zaidi ya 100 yote ni ya binafsi na serikali haina hata moja moja
Kwenu Morogoro kuna kiwanja cha ndege?
Wee b-wege ulishaondolewa BAN? maana ulizidi kusumbua wananchi humu,morogoro hatuhitaji airport tuna bahari ya mindu inatosha
Vichekesho hivi.........ndege ya kibiashara inatua watu mnatoka maofisini kwenda kuichezea ngoma?
Wakati Scandinavia ilipoanza safari kwenda mbeya mbona hamkuichezea ngoma pia.
Bado sana - hayo matumizi ya fedha hapo nani amelipia?
Au ndo zile fedha kutangaza maendeleo ya CCM??
BADO SANAAAA!!!
Miafrica tunapenda kufanya mambo ya hovyohovyo tu!
Hii ni nini sasa....
nimeshangaa pia precision air kupokelewa kitaifa as if ni national airline duh!! - nguvu ya pesa!!
Sie tuliokuwa tunalazimika kusafiri kwa masaa 10 kufika Mbeya toka Dar tunajua umuhimu wa kuanza rasmi kwa safari hizi Mbeya.
Sie tuliokuwa tunalazimika kutumia USD 290 karibu 415,000 one way kwa kufika Mbeya kwa FlyLink au Auric tunajua umuhimu wa kuanza kwa safari hizi za leo kwa Tsh 165,000.
Wananchi wa Mbeya walisubiri kwa muda mrefu sana kuifikia siku ya leo,wana haki ya kushangilia na sie tulio mbali lakini tutanufaika kwa hili tunafurahi pamoja nao.
nngu007 kinachoshangiliwa hapa ni ufunguzi wa uwanja kwa maana ya ndege ya kwanza kutua Songwe au ni shere ya PrecisionAir kuanza Safari zake za Mbeya? Sijaelewa
nngu007 kinachoshangiliwa hapa ni ufunguzi wa uwanja kwa maana ya ndege ya kwanza kutua Songwe au ni shere ya PrecisionAir kuanza Safari zake za Mbeya? Sijaelewa
Vichekesho hivi.........ndege ya kibiashara inatua watu mnatoka maofisini kwenda kuichezea ngoma?
Wakati Scandinavia ilipoanza safari kwenda mbeya mbona hamkuichezea ngoma pia.
Bado sana - hayo matumizi ya fedha hapo nani amelipia?
Au ndo zile fedha kutangaza maendeleo ya CCM??
BADO SANAAAA!!!
Miafrica tunapenda kufanya mambo ya hovyohovyo tu!
Hii ni nini sasa....
...thanks man lakini sijui hata kama wanakuelewa,wanalia maendeleo lakini yakija hawaoni mpaka yawe yako owned na united republic.