Ndege ya klm yashindwa kuruka kia;abiria walala hotelin

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Abiria wapatao 180 wamelazimika kulala mahotelini hapo jana kufwatia ndege ya klm kushindwa kuruka kutokana na technical problem,akiongea kwa huzuni kubwa manager wa klm tanzania alisema kweli tumeshindwa kurusha ndege na kulazimika kulaza abiria mahotelini lakini leo hii tunatarajia ndege itatengemaa na kuelekea heathrow,,,.ndege hiyo ilikuwa na matatizo ya kiufundi na ndipo tulipoamua kuekebisha kwanza,..unajua sisi kwetu uhai wa watu,ndege ni muhimu zaidi,..na ndio maaana atuoni tatizo kulaza ndege na kuhakikisha ikiondoka salama.,......
 
Back
Top Bottom