Ndege ya emirates yachelewa kufika

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Ndugu habarini za saizi wale wenye ndugu wanaotarajia kufika na emirates leo wasishangae kutakuwa na chelewesho la kufika kwa ndege due to techn prbl,
be patiens thanx for understanding
 
Ndugu habarini za saizi wale wenye ndugu wanaotarajia kufika na emirates leo wasishangae kutakuwa na chelewesho la kufika kwa ndege due to techn prbl,
be patiens thanx for understanding

Nani katoa tangazo hili mkuu?
Reference please.
 
kaka unaitaji tangazo mbona ukiwauliza walikuwa wanajibu tusubiri imechelewa hapa............,infact imetua muda si mrefu ndugu
 
Back
Top Bottom