FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
kuna picha za ndege ilivyokuwa lakini nimeshindwa kubandika hapa
FL1,Ni kweli Pakajimmy na katika ndege hiyo aliwepo kakaangu hii ndo Coment yake
Thanx to god watu wote wamenusurika sasa tungekuwa tunaongea mengine ..
Taarifazinasema mvua ilikuwa inanyesha kwa hiyo ndege kuteleza ni jambo la kawaida tusiwalalumu ATCL hata kwa vitu vilivyo nje ya uwezo wao.
Unaweza kutupa mifano japo michache tu ya jambo hili la kawaida? Tusijekuwa tunafumbia macho uzembe kwa kusingizia kuwa ni jambo la kawaida kwa ndege kupata ajali wakati wa kutua kukiwa na mvua
Ni kweli ATCL imepata ajali na mimi nilikuwa nisafiri na Precission nimeelekezwa nirudi mjini kutulia mpaka hapo baadaye tutakapojulishwa.Ndege ya hiyo iko imepiga magoti yaonekana undercarriage zimetumbukia/collapse au tairi zimezama! Tumeaambiwa sisi wa Precision mambo yanaweza kuwa mazuri leo leo tuondoke. Wana JF niombeeni, maana sina imani na hizi ndege zetu bongo!!
Damu ya YESU iwafunike woote watakaosafiri leo na siku zote. AMENNi kweli ATCL imepata ajali na mimi nilikuwa nisafiri na Precission nimeelekezwa nirudi mjini kutulia mpaka hapo baadaye tutakapojulishwa.Ndege ya hiyo iko imepiga magoti yaonekana undercarriage zimetumbukia/collapse au tairi zimezama! Tumeaambiwa sisi wa Precision mambo yanaweza kuwa mazuri leo leo tuondoke. Wana JF niombeeni, maana sina imani na hizi ndege zetu bongo!!