Ndege ya ATCL Yapasuka Kioo; yazuiwa kuruka KIA

Walitaka kutoa kafara abiria Mungu akaepushia mbali aibu kubwa sana ccm wapuuzi
 
Hii ndo raha ya ubinafsishaji aka utandawazi. A product of the growing ignorance of our leaders! Who seem to know everything and do not like to take any advise from anybody away from their class
 
Habari za uhakika zinadokeza kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi hii kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo na hadi hivi sasa haijajulikana kama kilipasuka ndege ikiwa angani au baada ya kutua KIA. Kioo kilichopasuka ni kile cha pembeni kwa rubani upande wa kushoto kwa mujibu wa vyanzo vyangu JNIA.

Ndege hairuki sasa hivi hadi hali itengemae... kuna delay ya muda usiojulikana..

NB: NIlisema sitaki kugusa tena mambo ya ATCL lakini this one I couldn't pass to inform you.

Updated:

Kioo kilipasuka wakati wanajiandaa kuondoka KIA kwenda Mwanza...

Ndege inaonekana haiwezi kuondoka tena KIA leo; abiria wanatafutiwa usafiri mwingine.. (msiniulize wa chombo gani!)

Doh!nchi yetu kila kitu kibovu,hivi hawa viongozi na wenyewe wanatumia hizo ndege vibandawazi kweli?
 
Habari za uhakika zinadokeza kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi hii kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo na hadi hivi sasa haijajulikana kama kilipasuka ndege ikiwa angani au baada ya kutua KIA. Kioo kilichopasuka ni kile cha pembeni kwa rubani upande wa kushoto kwa mujibu wa vyanzo vyangu JNIA.

Ndege hairuki sasa hivi hadi hali itengemae... kuna delay ya muda usiojulikana..

NB: NIlisema sitaki kugusa tena mambo ya ATCL lakini this one I couldn't pass to inform you.

Updated:

Kioo kilipasuka wakati wanajiandaa kuondoka KIA kwenda Mwanza...

Ndege inaonekana haiwezi kuondoka tena KIA leo; abiria wanatafutiwa usafiri mwingine.. (msiniulize wa chombo gani!)

kwa hiyo ATC kwa lugha rahisi hawana ndege hata moja nzima maana ilikuwa hii moja kumbe na yenyewe ilikuwa mbovu! maisha yetu watanzania yapo hatarini kuliko wakati wowote wa historia yetu, meli linazama kutokana na uchavu, magari kutoka na barabara mbovu sasa ndege ndio hiyo!!Dear comrades we must do something otherwise we will all perish sooner than later!!
 
Tofauti tu za upeo Mwiba . Kwako wewe haihusiani kabisa na siasa hii. Mpaka stori iwahusu akina mwigulu nchemba ndo uone siasa. Hata meli ya uwezo wa abiria X ilipozama ikiwa na abiria 2.5X kwako haikupaswa kuwepo kwenye jukwaa hili kujadiliwa. Haya leo nyingine tena huko huko..... Kuna kaka yako pia anaitwa zomba nimeona anaafiki thread ya kitambulisho kilichopotea na kuponda thread hii. Nadhani ni suala la kiukoo zaidi.
Wengine huelewa kwa kusoma, wengine kwa kusomewa na wengine mpaka kwa picha! Ni watu tofauti na uwezo tofauti. Sitakulaumu kamwe!
MOD Ondoa hii kitu hapa ,haihusiani na siasa wala mikutano ,au wadau mnaionaje ,kuna siasa hapa angalau tone ,jama yupo JF miaka mingi ,anafanya vutuko,uzee umeanza kumpotezea nguvu za macho na fahamu.
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa angani halafu kioo kikapasuka I'm sure huyo rubani angekuwa SUCKED OUT. Ndege ikiwa angani pressure ndani ya cabin inakuwa ndogo kuliko pressure nje ya cabin.

umeongea kinyume!
 
Habari za uhakika zinadokeza kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi hii kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo na hadi hivi sasa haijajulikana kama kilipasuka ndege ikiwa angani au baada ya kutua KIA. Kioo kilichopasuka ni kile cha pembeni kwa rubani upande wa kushoto kwa mujibu wa vyanzo vyangu JNIA.

Ndege hairuki sasa hivi hadi hali itengemae... kuna delay ya muda usiojulikana..

NB: NIlisema sitaki kugusa tena mambo ya ATCL lakini this one I couldn't pass to inform you.

Updated:

Kioo kilipasuka wakati wanajiandaa kuondoka KIA kwenda Mwanza...

Ndege inaonekana haiwezi kuondoka tena KIA leo; abiria wanatafutiwa usafiri mwingine.. (msiniulize wa chombo gani!)

Mkuu ni kweli kioo kimepasuka ila kwasasa ndege imepaki JNIA.
 
Hii ndo raha ya ubinafsishaji aka utandawazi. A product of the growing ignorance of our leaders! Who seem to know everything and do not like to take any advise from anybody away from their class

Raha ya kuwa kila kitu mali ya umma ulishaiona wewe? ulishakaa foleni ya sabuni za punda?
 
hakuna cha kujadili, hitilafu ni kawaida kwa vyombo vya usafiri. kuweni wazalendo, lengo la mwanakijiji always ni kubomoa sio kujenga, nina mashaka na uraia wake
Mkuu najua hii thread hii ni ya ndege ila kwa pst yako nalazimika kukwambia kuwa kama unaona hiyo hitilafu ni ya kawaida, kuna meli imezama mchana huu huko zenji. capacity ni abiria 260 ila taarifa zinasema walikuweo abiria zaidi ya 350. Jana kuna nyingine ilizima engine zote huko Nungwi. Spice Islander iliua watu wasio na idadi Bado ni hitilafu za kawaida au ni uzembe uliotukuka wa serikali yetu na idara na mamlaka zake?
 
Habari zinasema ni Bird strike. Yaani baada ya ku-take off pale kIA kuna ndege(bird) amegonga kioo cha mbele. Vioo vile vipo very strong havitoboki kirahisi. Ni kua kimejikunja tu. And there is nothing dramatic.

Halaf hicho ni kitu cha kawaida sana na wala hakihusiani na uchakavu wa ndege wala nini. Comments nyingi hapa zimekaa kimbumbumbu zaidi kuliko facts. Ndege ya aina yeyote you name it iwe kubwa kiasi gani bird strike ni nouma.

I repeat ma dear great thinkers, this as far as I understand has got nothing to do with the age of the aircraft. Tena bird strikes za kwenye engine ndo hatari sana. Tushukuru tu imetokea kwenye kioo ambacho kina layers za kutosha na strength kubwa tu.
 
Nimewai kuwaambia rafiki zangu kuwa Mwakyembe kapewa ile wizara hili kumfuta kabisa kwenye ramani ya siasa. Ukweli ni kuwa Mwakyembe hataweza kuimili hujuma dhidi ya ile wizara. Utaweza kuimarisha reli ya kati wakati kuna familia za vigogo wanamiliki malori ya mizigo kama njugu? Utawezaje kuimarisha ATCL wakati kuna familia za wakubwa wana hisa kenye airways, precision airways nk. Hakika Mwakyembe atachemsha.

Hii ya kuhujumiwa labda mwenyewe alikuwa hana dhamira ya kweli. Kama kweli umenuia na unadhamira ya kweli hao watoto wa vigogo ni 1/1000000 ya watanzania watakao ku support. Waafrika kwa asilimia 99 tunapiga sana kelele tukiwa nje ya ulingo ili tu kupata fursa kupata kuingia ndani, na ukishafika unatimiza malengo yako na kusahahu ulichokuwa unapingana na cho kwa sababu ulikuwa unaongea bila kukiamini. Na badala yake unakuja na hoja za kuhujumiwa. Wewe waziri nani wa kukuhujumu tofauti na rais na kama unaona rais anakuhujumu sasa ya nini kuendelea kukaa na hicho cheo alichokupa kisha akuhujumu.
 
Ok, thanks kwa kutudadavulia hizo issue!

Back
Top Bottom